Heche is a small village located in the Sorab panchayat town of Sagara, taluka in Shimoga district in the Indian state of Karnataka. It is close to Chandragutti, which has an ancient fort and temple. Heche has a few ancient temples, including the Kalikamba Temple, Eshwara (Pachalingeshwara) and Anjaneya temple.
Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, John Heche amesema endapo chama hicho hakitashirikishwa kwenye maridhiano, maana yake itakuwa robo tatu ya Watanzania watakuwa hawajashirikishwa.
Akizungumza Agosti 3, 2026, katika kikao na viongozi wa Chadema Wilaya ya Tarime, Heche alisisitiza msimamo wa chama...
Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, John Heche amemjibu Katibu wa Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM (NEC), Paul Chacha, akisema ni kweli Tanzania hakuna upinzani kwani CCM imegeuka kutoka kuwa chama cha siasa na kuwa genge la Dola lililojivalisha nguo za chama hicho.
Chacha aliitoa kauli hiyo Agosti...
Makamu Mwenyekiti wa Chadema Bara, John Heche, amekausha kumtukana Makamu Mwenyekiti wa CCM, Stephen Wasira aliposema kuwa amezeeka.
Soma zaidi: Heche amchana vibaya Wasira "umri wako huu wote hujui kazi ya mbunge"?
Ameyasema hayo Agosti 3, 2026, katika kikao na viongozi wa Chadema Wilaya ya...
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kimetangaza nia ya kuwachukulia hatua za kisheria watu wanaojitambulisha kuwa viongozi wa chama hicho bila uhalali, kikidai wamekuwa wakikibagaza chama hicho na kumkashifu Makamu Mwenyekiti wa Chadema Bara, John Heche.
Hali hiyo ilianza kujitokeza...
Ndugu zangu Wana Jamiiforums nikiri kuwa mimi ni mshabiki wa siasa za upinzani siyo kosa mimi kukiri nafasi yangu kisiasa, lakini katika yote hayo mashujaa wangu ni Lissu na Heche, watu Hawa wananifanya nihisi kuwa tanganyika iliyochoka ina nafasi kubwa siku zijazo, Mungu awabariki, lengo langu...
Jamani wadau mmeamkaje? Kama kichwa Cha habari kinavyoeleza, imeibuka tabia ya ccm kutumia wale makapuku wa chaumma kupitia yule shehe fake mwenye vikundi vya kigaidi mwaipopo kumtukana heche na hitimisho lao wanasema aachie ngazi kwenye nafasi aliyonayo sasa maswali yangu ni haya;
1. Je...
Tajeni kiasi ambacho John Heche amechukua kutoka CHADEMA.
Elezeeni Heche ilikuwaje akachukua hizo Hela na kwa utaratibu upi?
Tajeni akaunti ambazo fedha hizo zilitolewa , benki husika,siku na kiasi kwa kila muamala.
Pia onesheni kama Heche hizo hela alichukua huku signatories wa chama wakijua...
Bwana Mtafungwa unataka nije kuripoti nini kwako?
Yaani nije kukupa ripoti ya jambo ambalo unalijua ili iweje?
Hiyo gari yenye namba fake ambayo inatoka ofisi ya RCO unataka nije kukuambia nini?
Kama jambo liko kwenye public unahitaji mimi kuja au wewe kufuatilia na taarifa zako za...
Wanasiasa wa Tanzania (hawa wa upinzani) wameshajijengea dhana ya kuwa watakula ofsini kwahyo hawana mubadala wa kupata Hela nje ya Siasa ndo maana ni vigumu sana kuachia madaraka licha ya kuwa wanakashifa za kula Hela za chama.
Heche hakutakiwa kuendelea kuwepo ofsn mpaka muda huu nadhani ni...
Huyu ni kiongozi wa CHAUMA kavaa nguo za Chadema na kujifanya yeye ni Katibu wa Bavicha Mkoa wa Katavi, kaitisha press na kuanza kuishambulia Chadema na Makamu Mkiti John Heche.
Nafikiri wanasheria wa Chadema waanze kuwachukulia hatua za kisheria watu kama hawa wanaojipachika vyeo bandia...
CHADEMA kuna fukuto la ufisadi linaendelea dhidi ya Makamu Mwenyekiti wa chama hicho John Heche. Hili naomba tuliweke sawa, katika siasa, hakuna kiongozi anayepaswa kupewa kinga dhidi ya maswali au kuwajibishwa kwa sababu ya umaarufu wake. Madai ya matumizi mabaya ya fedha yaliyoibuliwa dhidi...
Ukiona mtu anafanya kazi ya kumlaumu Heche, lakini hajawahi kuyakemea/ kuyasemea haya listed below, ujue katumwa na mbogamboga kumchafua Heche. Mfukuze kama ana kadi ya chama
1. Akiambiwa kuna tone tone haongei chochote
2. Akiambiwa free Tundu Lissu haongei chochote
3. Akiambiwa viongozi wa...
Shalom Makamanda,
Lile sakata la Ufisadi ndani ya CHADEMA likimhusisha Makamu Mwenyekiti wa Chama bado halijapoa baada ya wanachama kucharuka wakimuomba msajili wa vyama vya siasa kuingilia kati na Katibu mkuu wa CHADEMA kuunda tume ya kumchunguza wakati huo akiwa pembeni kwani hawawezi...
John Heche amesema amefungua kesi dhidi ya mtu anayedai amekuwa akimtolea kauli za uongo, akisema mhusika atalazimika kuthibitisha madai yake mahakamani. Pia ameonya kuwa watakaoshindwa kuthibitisha madai yao na kulipa fidia wanaweza kupoteza mali zao.
"Nimeanzisha kesi yangu aje kudhibitisha...
Nina taarifa za ndani kabisa kwamba wanataka kunikamata. Mimi siogopi kukamatwa, mimi sio mtu wa kutishiwa. I was born once, I live once and I will die once. Kama unataka kumtisha Heche unagonga pabaya na jipange upya.
Hatuwezi kuishi kwa kunyimana amani. 'Ukitunyima amani tutakunyima amani'...
Makamu Mwenyekiti wa ChademaTz Bara leo Julai 29, 2026 akihutubia kwenye mkutano wa ndani wa chama hicho uliofanyika jijini Mwanza ameeleza kuwa kuna gari aina ya Toyota Land Cruiser (hardtop) nyeupe iliyofika nyumbani kwake asubuhi ikiwa na namba za usajili T 318 EQJ, baada ya kufanya uchunguzi...
Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA akiwa mkoa wa Mwanza amezungumzia masuala mbalimbali ikiwemo suala la utekaji nchini, ambapo ameshutumu kuwa anafuatiliwa na watu wanaotumia magari yenye namba za usajili fake.
Leo asubuhi kuna gari imekuja nyumbani kwangu namba T 318 EQJ, Toyota Land Cruiser...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.