haya

Hidaj (Persian: هيدج; also Haiyeh (Persian: هَيا), also Romanized as Hayā and Khiya) is a city in the Central District of Abhar County, Zanjan Province, Iran. At the 2006 census, its population was 11,798, in 3,011 families.

View More On Wikipedia.org
  1. Afisa_Nkai

    JamiiForums Tanzania Je ni ya kweli haya!

  2. The Palm Beach

    JamiiForums Tanzania UNGA-New York: Samia Suluhu Hassan utakwenda? Basi, get prepared maana utakutana na haya.........

    Tunajua Deogratious Ndejembi ametangulia New York.. Vipi Samia Suluhu Hassan, The Butcher atakwenda kweli kuungana na wakuu wa nchi na serikali zingine halali duniani kwenye mkutano mkuu wa Baraza la Umoja wa Taifa - UNGA huko New York..? Atakutana na zahama hii na CNN, BBC, SkyNews, Al...
  3. Tochuku

    JamiiForums Tanzania Dah, vijana mnanunua magari ya Bilioni 1, mnasema ni forex tu, haya bwana!

    Tena hata sio milioni 700, ni Bilioni Moja hio gari. Na hapo dogo naona anataka kuanza kukodi private jet, itakayokua inampeleka katika safari zake. Eti ni forex tu. Naandika ujumbe huu machozi yakinilenga na naitazama hii baiskeli yangu ya mifupa hapa imepaki juani. Hamna shida bwana. Nchi...
  4. Meneja Wa Makampuni

    JamiiForums Tanzania Kama Kweli Unajua Kiingereza, Tuambie Umepata Alama Ngapi Kwenye Maswali Haya ya Kiingereza. Marks Ulizopata Tuwekee Kwenye Comment.

    Habari za muda huu wana-JF, Kila siku humu jukwaani tunajibishana kwa Kiingereza na wengine tunajiita ma-expert wa lugha ya Malkia. Leo nimeamua kuleta kipimo cha kweli. Kama unajiamini yai halikupigi chenga, jaribu kupambana na hayo maswali ya kiingereza bila kutumia Google wala AI. Kwa...
  5. B

    JamiiForums Tanzania Huu msitu wa amazoni ni kweli haya majoka yapo

    Naomba kujua ,huu msitu haya majoka yapo ,kama yapo mda wote
  6. Financial Analyst

    JamiiForums Tanzania Haya ndio matunda ya kuikataa jihad na kukataa kuwa wahanga wa syndicate ya Moslem Brotherhood. Hongera sana Dubai (UAE)

    Hii ni residential , 🔥🔥
  7. Boss la DP World

    JamiiForums Tanzania Samia Suluhu Hassan ukitoka Eda uje na majibu haya.

    1. Yuko wapi Humphrey Polepole? 2. Nani aliyetoa amri ya kuua raia october 29 na kuendelea? 3. Iko wapi miili ya waliouawa october 29 na kuendelea? 4. Unajisikiaje kuwepo hapo ulipo kwa hali hii? Baada ya maswali hayo, nakupa pole kwa kufiwa na mumeo, hakika KIFO NI KIFO TU.
  8. 1995_No_Ku_Fake

    JamiiForums Tanzania HAYA BHANA 🙏🙏🙏

    Haya bhana… nimekata tamaa kidogo. 😅 Kuna muda unafika unaona umejaribu kila upande, umefikiria kila njia, lakini bado mambo yamekaa kimya. Kwa sasa sina cha kujifanya. Nimechoka, nimebanwa, na nimekata tamaa kwa kiasi chake. Lakini pamoja na yote hayo, bado naamini kuna jambo moja ambalo...
  9. TheForgotten Genious

    JamiiForums Tanzania Haya ndio mafunzo ya Itikadi kwao

    Hili genge a wahuni bwana
  10. 100 others

    JamiiForums Tanzania VIDEO: Huyu ni mama na mtoto, malezi gani haya?

    Nilikuwa napita huko x, nikakutana na hii video... Hii ipo sawa kweli kwa mtoto kuwa na mazoea ya namna hii kwa mama yake mzazi?
  11. D

    JamiiForums Tanzania Chimbuko la maneno haya ni nini?

    Hakunaga ushemeji tunakulaga Shemeji kanunua pastora ngoja nimpende dada yake WAUNGURUMA WAILIPUA KIMENUKA WAIBANA WAJILIPUA AMLIPUA Yote yapo kwenye kamusi ya BaKITA waliochukia page 66
  12. Pfizer

    JamiiForums Tanzania Haya ndo Maswali Tundu Lissu atamtwanga CDF Mkunda wa JWTZ kuhusu Kapteni Tesha Mahakamani

    Salaam, Wote tunajua Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi Tanzania (CDF), Jenerali Jacob Mkunda ni shahidi wa Tundu Lissu. Hivyo kutokana na kesi inavyoendelea, haya ni maswali ya dodoso na ambayo naamini afande atakutana nayo. 1. Tundu Lissu: Afande CDF, Umeamka salama? Jambo afande. Nitakuuliza...
  13. Tajiri Tanzanite

    JamiiForums Tanzania Kwa nini manabii na mitume hawakuona mambo haya

    Hapo vip! Binafsi naheshimu na kuamini dini zote zinazomtambua na kumuamini Mungu. Ila binafsi nimejikuta mimi ni mkristo na naamini nipo eneo au katika imani sahihi na ya kweli pasina shaka. Ila nina swali huwa najiuliza,biblia yetu pendwa na iliyojaa hekima,unabii,upendo ,unyenyekevu na...
  14. Meja Jenerali Isamuhyo

    JamiiForums Tanzania Haya ndio majibu ya Research yangu

    Nimefanya research yangu ndogo wakitoka Wasukuma, watu Arusha (Chuga) ndio wanafata kwa ushamba.
  15. Komeo Lachuma

    JamiiForums Tanzania Je kwa hili imani inasemaje kabla haya ya Eda kuisha? Ni sahihi au kwa wakubwa hizi imani hazifanyi kazi?

    Kumbato kama hili tena na eda haijaisha hapa si ni kuharibu imani au kuingiza uzungu? Je ni halal?
  16. Burn the bridge _Tz

    JamiiForums Tanzania Nilikuwa na ndoto ya kuwa polisi ila kwa haya maoni ya wananchi juu ya jeshi la polisi HAPANA SITAKI.

    Nilikuwa nimeandaa 3m mwaka huu niweze kuingia PT Ila nazidi kufunguka akili kutokana na maoni ya wananchi juu ya polisi Lakini pia hali ya uchumi na mishahara naona kabisa hii kazi Ngoja nitafute connection TAMISEMI sasa
  17. Chizi Maarifa

    JamiiForums Tanzania Ally Kamwe yupo sawa kweli? Haya maneno yamekuwa mengi sana

    https://www.instagram.com/reel/DdBxoJsNrnj/?stkn=MTZuZ2Z3aWIzYmduMg== Kuna maneno wanamsema msemaji wetu kuwa ni HASARA. Je kuna ukweli? Maana watu wa karibu yake pia huzungumza.
  18. murthehelp

    JamiiForums Tanzania Ushauri kwa Makamu wa Rais mpya, Mhe. Deogratius Ndejembi - safari yako inaanza, haya ni maoni yangu

    Wakuu, kama tunavyofahamu, hivi karibuni tumeshuhudia mabadiliko makubwa katika uongozi wa juu wa nchi yetu baada ya Dkt. Emmanuel Nchimbi kujiuzulu wadhifa wa Makamu wa Rais, na Bunge kumthibitisha Mhe. Deogratius John Ndejembi, aliyekuwa Waziri wa Nishati, kuwa Makamu mpya wa Rais. Ndejembi...
  19. Nikifa MkeWangu Asiolewe

    JamiiForums Tanzania Wakuu haya Madini Yana thamani yoyote hapa Tz?

    Nimeyaona sehemu yapo Kwa wingi. Nahitaji mtu aliye serious na uhakika tutete naye. Ni hayo mekundu hako kengine kana mng'ao sana zaidi ya shaba na ulanga. Mimi nimebobea kwenye dhahabu na shaba na hata ulanga ila hii sio ulanga Wala shaba. Nimejaribu ku search mtandaoni nakutana na Red...
  20. Kicheche mkali

    JamiiForums Tanzania Usianze ujenzi kama hujafahamu haya machache

    🚨 KELVIN Hk: USIANZE KUJENGA KAMA HUJUI NYUMBA YAKO ITAKUGHARIMU KIASI GANI HADI MWISHO! Watu wengi huanza ujenzi wakiwa na pesa ya foundation tu. Foundation inaisha… wanaendelea kutafuta pesa. Walls zinaisha… wanatafuta tena. Roofing… tena wanatafuta pesa Plaster, milango, madirisha...
Back
Top Bottom