Hidaj (Persian: هيدج; also Haiyeh (Persian: هَيا), also Romanized as Hayā and Khiya) is a city in the Central District of Abhar County, Zanjan Province, Iran. At the 2006 census, its population was 11,798, in 3,011 families.
Wanawake kwa wanaume watagawa utamu wao wakati wowote kwa mtu yeyote wamtakae..Basi nawe kijana nenda uitazame mbuye kama kijiko cha mama ntilie. Ambacho mwenzako akimaliza kula kinaoshwa nawew unatumia..
Kamwe usifikirie kujimilikisha uchi mweusi wa binadamu mwenzako mwenye uhuru wake kwa...
Waislamu ni kweli wapo hao? Angalia video
===========
Yaani kama Mwenyezi Mungu angemruhusu mmoja akachungulia duniani basi dunia nzima inakuwa na nuru. Na kama ni usiku mwanga mtupu."
"Hawa mah hawajawahi kuguswa hata kusalimiwa na mwanadamu au jini. Wazuri pisi mwanangu pisi imetulia."...
Masharti ni haya yafuatayo
1 Aondoe sunction zote za Iran na aondoe maheshi yake karibu na Iran
2 Wasimamishe vita mpaa Lebanon (mimi naona hapo Israel akijidai mbabe wamwachilie Iran amtie adabu Israel hahaha)
3 Wasingile mambo ya ndani ya Iran
4 Waondoe sunction ya baharini
5 HORMUZ...
Watanganyika hatukuzoea maisha haya ya askari polisi na wanajeshi kutapakaa mtaani saa 24 wakishinda kwenye vituo vya mwendokasi na makutano ya Barabara, wakiwa na mitutu ya Bunduki pamoja na magari ya kivita shida kubwa nini hasa?
Tanganyika tumegeuka Somalia au Congo DRC pamoja na nchi...
Mtu ukiwa unauwezo wa kujenga nyumba ya zaidi ya million 200.
Basi jitahidi kuwawapa kazi kampuni mzuri ya ujenzi.
Pia Kuleta interior and external designer ili nyumba iwe na mvuto.
Sio nyumba inakuwa ya gharama afu Iko ovyo. Haipendezi.
Huwa najiuliza huu mrundikano wa picha chafu mitandaoni hawa watu wana wazazi kweli? Kama wapo malezi gani ya namna hii au ndio sons of bitch wamejaa mtaani
Binafsi sina dada wala ndugu alieko huko picha zote ni ngeni kwangu, je wewe una ndugu unaemjua au jamaa au rafiki picha zake zinatumwa...
Hivi hawa jamaa wanajiamini sana! Kiasi kwamba wanaweza kuvunja sheria za mamlaka.
Hapa maeneo ya Zakhem Mbagala kuna maroli yanapaki kuanzia service road, barabara ya waenda kwa miguu, mpaka njia moja ya barabara kuu. Hili jambo linasababisha foleni kuwa kubwa na kulazimisha magari ya kawaida...
Mama huyu amelia kwa uchungu sana. Tena Waziri mkuu ameona kwa kauli yake kwa kusema kuwa wanaChadema wanajiteka akimaanisha hakuna utekaji.
Mama amelia kwa uchungu sana maana anadai polisi walifika nyumbani wakijifanya wamachinga na kumteka mtoto wake tangia mwezi wa nne.
My take; hata kama...
Kwenye Uzi uliopita niliandikia neno Moja tu la kutumia ili kuwashishi wateja wako wachukue hatua unayoitaka kwenye Matangazo Yako
Either iwe kupiga simu, kuboyfa link, kuweka order,kujaza fomu ya
Mananuzi,kununua Bidhaa zako nk
LAKINI
Leo nitamalizia maneno mengine matatu ya kuyatumia...
Unapo jisaidia haja kubwa hakikisha unafanya haya ili kuepusha bawasiri ya kujitakia.
1. Hakikisha ukifika chooni unachuchumaa na kutulia subiri haja itoke yenyewe.
.yaan epuka kuisukuma haja yako kwa kujikamua kwa njia yeyote ile. Lakufanya una chuchumaa tu tulia ukikaa sana huja yenyewe...
Habari ndugu wanajamii
Ningependa kushea nanyi list ya majina matukufu ambayo manabii waliyatumia pia, mfano nabii issa(yesu) aliyatumia majina haya kufanya miujiza mingi hata ya kufufua watu, lakini majina haya yalitumiwa na nabii mussa(moses) kuiamrisha bahari ipasuke, lakini majina haya...
1. "Uko wapi?" (The Tracking Syndrome)
Kisaikolojia: Mwanamke huuliza kwa usalama, lakini mwanaume husikia kama anafuatiliwa au haaminiki (distrust).
Ushauri: Badala yake, sema: "Natumai uko salama huko uliko, nakusubiri nyumbani." Hii inampa hamu ya kurudi.
2. "Nipike nini?" au "Tule nini...
"Chokochoko ya nini sahivi tunaliponya taifa acheni maneno ya kukatisha tamaa yaliyopita yamepita tutafute amani swala la Polisi kuua ni kawaida kikatiba we sahivi mrushie polisi jiwe uone kama hatakushambulia maana katiba yetu ndo inavyosema"
🗣️Thabit Kombo akiongea bungeni kuhusu mauaji ya...
Watu weusi tunarudishwa utumwani wa kisasa sasa.
Hakuna waafrika pakukimbilia afrika kila sehemu afrika ni kama ring tone zina fanana kwa ujinga wao.
Hivi mnajua zile muvi za zombie ujumbe ulikuwa afrika itakuwa kama zombies na control na vikundi vya zombie wenye unafuu.
Hii ripoti msije...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.