haya

Hidaj (Persian: هيدج; also Haiyeh (Persian: هَيا), also Romanized as Hayā and Khiya) is a city in the Central District of Abhar County, Zanjan Province, Iran. At the 2006 census, its population was 11,798, in 3,011 families.

View More On Wikipedia.org
  1. Kicheche mkali

    JamiiForums Tanzania Usianze ujenzi kama hujafahamu haya machache

    🚨 KELVIN Hk: USIANZE KUJENGA KAMA HUJUI NYUMBA YAKO ITAKUGHARIMU KIASI GANI HADI MWISHO! Watu wengi huanza ujenzi wakiwa na pesa ya foundation tu. Foundation inaisha… wanaendelea kutafuta pesa. Walls zinaisha… wanatafuta tena. Roofing… tena wanatafuta pesa Plaster, milango, madirisha...
  2. F

    JamiiForums Tanzania Kwa wajuao uchoyo,ulafi, na uovyo wa CCM, kuna haya ya kumlilia au kumuonea huruma Nchimbi?

    Vita ya kunguru ni neema ya panzi. Ukiona adui yako anakosea msifie na si kumkosoa. Huu ndiyo uoni wangu juu ya ufukuzwa na kupotezwa kwa Emmanuel Nchimbi toka umakamu wa rais. Kwangu ni furaha na raha kuona maadui wa taifa wakitafunana. Ningependa watafunane hata kuuana. Ukiondoa wapinzani...
  3. K

    JamiiForums Tanzania Uanaharakati Usioyumba: Maria Sarungi na Kivuli cha Tundu Lissu wa Zamani. Nini Hatma ya Mapambano Haya?

    Leo naomba tujikite kumwangalia kwa kina mwanaharakati nguli wa haki za binadamu na demokrasia nchini, Maria Sarungi Tsehai. Katika mazingira yetu ya sasa ya kisiasa, kumekuwa na mjadala mkubwa kuhusu uimara wa sauti huru. Hivyo, nawakaribisha wanajamvi wote kutoa maoni, kufanya uchambuzi, na...
  4. H

    JamiiForums Tanzania Haya ndio Maswali Muhimu ya Lissu kwa Mashaidi kuhusu kauli za Raisi Zitakazomlazimisha Samia aitwe mahakamani

    Lisu kwa Golugwa. ' 1. Je baada ya maoni ya Jumuia za kimataifa juu za ubovu wa uchaguzi serikali ilifanyeje Golugwa: Mama alihutubia akasema wasitupangie. Tundu lisu; Je hizo lipoti zilimaanisha nini? Golugwa ; mifumo yetu ya uchaguzi lazima ibadilike ili itende haki labla ha chaguzi nyingine...
  5. Yoda

    JamiiForums Tanzania Nini kingetokea kama binadamu wengi wangekubali hakuna maisha mengine zaidi ya haya?

    Mimi naamini tungepambana sana kwa pamoja kuboresha maisha yetu. Akili za mwanadamu kufikiria kuna maisha mengine baada ya haya hapa duniani kunalemaza kutoshughulika na changamoto na hali halisi ipasavyo na kuishi katika utimilifu wetu wote. Pia kunatupa matumaini hewa kuhusu hali zetu halisi.
  6. min -me

    JamiiForums Tanzania JF sio mtandao wa vilaza, kwa nini wewe humu umegeuka omba omba wa kuomba pesa ?

    Jf sio mtandao wa vilaza ,kwa nini wewe humu umegeuka omba omba wa kuomba pesa ? Jf sio mtandao wa kulea maskini wa akili na kipato ,ndio maana jf ili uwe platinum lazima ulipie pesa🤣 Nalewa nipo bia ya 13.
  7. Bujibuji Simba Nyamaume

    JamiiForums Tanzania Je ni wapi naweza kupata bidhaa za electronics za makampuni haya?

    Toshiba Aiwa Grundig Phillips Panasonic Toshiba Hitachi JVC
  8. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania Unabii Tanganyika: Kwanini tunapitia haya? Nini tafsiri yake kiroho!?

    Kiroho, nyakati ngumu zinazopita katika nchi ya Tanganyika hazitokei kwa bahati mbaya, bali hutafsiriwa kama kipindi cha mageuzi makubwa na mtikisiko wa kiungu ili kuandaa taifa kwa hatua mpya. Katika mtazamo wa kinabii, dhoruba za kijamii, kiuchumi, au kisiasa ni ishara kuwa ulimwengu wa roho...
  9. Gunner11

    JamiiForums Tanzania Wanajamii forums tunzeni haya maneno.

    Mimi de Gunner nasema ya kuwa niko katika maandalizi ya kuja kuwa mtu maarufu zaidi kutokea katika taifa hili, nakujulikana dunia nzima by 2040.. Na naamini miaka ya hivi karibuni by 2030 Nitakuwa maarufu katika hii nchi. Tunzeni haya maneno, nitajitangaza kabisa kuwa ni mimi.. Ili kila...
  10. Tochuku

    JamiiForums Tanzania Hivi hizi familia za kitajiri wanaojiweza kiuchumi huwa wanayapitia haya?

    Naomba kuuliza jamani Hivi hizi familia za kitajiri amawanaojiweza kiuchumi hua wanapitia shida MFANO za magonjwa ? Au shida tu zozote za kiafya, mwanaume hadindishi, MWANAMKE hapati watoto, mapepo, mara majini, ila unakuta Pesa ipo ya kutosha kabisa tena nyingi, ila magonjwa kama yote...
  11. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Maneno haya yanamhusu Mbowe na genge lake. Hawatafanikiwa kuibomoa Chadema kwa fedha za CCM

    Mbowe anapoteza muda👇
  12. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Kama kijana kabla haujafika miaka 35 tambua haya mambo kumi na moja yafuatayo ili usiishie mhanga wa kulalamika na kujutia

    HAYA NI MAONI YANGU BINAFSI, KAMA YATAKUFAA BASI KARIBU, KAMA UTAONA BATILI, THEN LIVE YOUR LIFE 1: Hakuna jambo lolote la kiroho linalo control maisha yako. Maombi na swalah ni njia za kujifariji ila sio za kumuokoa mnyonge au kubadili mwelekeo wako 2: Hakuna utajiri kwa mganga. Utaishia...
  13. funaku

    JamiiForums Tanzania Katika Mazingira haya haitowezekana tena kuwa na Katiba mpya!!

    Nia nzuri ya CCM kutaka kuondoa kiu ya waliokuwa wanashinikiza na kuanikiza katiba mpya inaenda kuondoka rasmi. CCM kupitia Rais Kikwete ilijaribu mchakato wa kuhuisha Katiba lakini ilishindikana kutokana na mgogoro na tamaa za wanasiasa. Miaka mingi baadaye CCM kupitia Rais Samia ikachukua...
  14. Crocodiletooth

    JamiiForums Tanzania Mambo haya ni janga kubwa sana,(what 50 cent tells...)

    🚨 Breaking News 😳💔💔 50 Cent says marriage is the worst contract a man can sign — “it’s a bad deal!” 😳 50 Cent recently made it clear that he views marriage as a “bad contract” — and he’s urging men to think twice before signing on the dotted line. What He Said: · Marriage is the worst...
  15. O

    JamiiForums Tanzania SI KWELI Sasa tunajua nani ni malaya kati yangu na Omanga asema Karen nyamu

    The image circulating online is a fabricated graphic designed to mimic a legitimate news card, and the vulgar quote attributed to nominated Senator Karen Nyamu is completely fake.
  16. papag

    JamiiForums Tanzania Humphrey aliyasema haya....

    Wewe una maoni gani?
  17. mrxtz2026

    JamiiForums Tanzania Rais Samia Tafadhari tafakari haya.

    Mfululizo wa viongozi kujiuzulu katika awamu yako umeongezeka na unatishia sana Usalama wa kidemokrasia wa taifa, mheshimiwa rais nakushauri kataa Barua yake hii ni aibu kwa taifa letu. Orodha ya walio jihudhuru kwenye muhula wako. 1. tulia 2. ndugai 3.majaliwa 4. mpango 5. polepole 6. Nchimbi...
  18. instinct desire

    JamiiForums Tanzania Haya wale wazee wa kuokoteza okoteza wagombea wa kiti cha Urais kazi kwenu

    Fursa zinapotokea ni kuzichangamkia haya sasa tafuteni wagombea mapema ila kaeni mkijua kuwa.👇🏼👇🏼 CCM NDO TANZANIA YENYEWE CCM NDO MLEZI WA AMANI YA TAIFA LETU. CCM NDO CHAMA PEKEE KINACHOSTAHILI KURA CCM NDO CHAMA PEKEE ambacho return ya kura zetu tunaiona wazi wazi KIDUMU CHAMA CHA MAPINDUZI
  19. Subira the princess

    JamiiForums Tanzania Hapa ukweli uko wapi? Mbona maneno haya ni ya kinabii.

    Wasalaam. Siku zote katika bara letu Africa watu wenye akili kubwa na maono huchukuliwa ni wasaliti, why?
  20. E

    JamiiForums Tanzania Othman: ACT Wazalendo itaingia SUK kama haya yametekelezwa

    Mwenyekiti wa Chama cha ACT Wazalendo Taifa, Othman Masoud Othman, ametaja mambo matatu aliyosema yakitekelezwa ndipo kita kitaingia katika Serikali ya Umoja wa Kitaifa (SUK). Mambo hayo pamoja na kuundwa kwa kamati ya pamoja yenye uwakilishi sawa kutoka vyama vilivyosaini makubaliano, kuundwa...
Back
Top Bottom