haya

Hidaj (Persian: هيدج; also Haiyeh (Persian: هَيا), also Romanized as Hayā and Khiya) is a city in the Central District of Abhar County, Zanjan Province, Iran. At the 2006 census, its population was 11,798, in 3,011 families.

View More On Wikipedia.org
  1. A

    JamiiForums Tanzania KERO Hapa ni Sinza kwa Mwaibula, haya ni mabomba ya DAWASA yamepasuka saiv takribani miaka sasa lakini mamlaka haijawahi kuja kurekebisha

  2. Kaka yake shetani

    JamiiForums Tanzania Raisi samia na kashfa zake kumbe ile kauli ya kusema kuna watu wamelipwa ndio yeye kufanya haya.

    Kama kuna mungu basi kuna shetani.Uwezi kusema hakuna mchana bila giza. Haya tunaelewa kuna wale washinda doria CCM polisi hapa JF,JWTZ,usalama na chawa. Mshapewa moja ili na lengine huko USA na ulaya mlichokifanya kuonga na kuuza nchi ombeni maraisi wao au wajinga wao wabaki.
  3. Kubwjing

    JamiiForums Tanzania Mi nmeshangaa leo Mama yangu Mzazi akiongea haya maneno hadharani, halafu hata hajajali

    Kuna Walebanese walikuja tangu ijumaa, jana wakamualika Mzee na watu wengine chakula, baada ya kula tukiwa tunarudi nyumbn Mama akasema ujue nguo ya kuazima haisitiri Mat*ak.. Hata hajajali tupo na kina nani au kama na mie nipo hapo, hakutumia Tafsida hata Sasa je angekuwa mlevi ingekuaje...
  4. Mboju

    JamiiForums Tanzania Nimeshindwa kwenda kumzika Mama haya maisha hayako fair naombeni msaada😭

    Habarini za Jioni nimepata pigo jingine ktk maisha baada ya kumpoteza kipenzi changu mama yangu kikubwa kinacho niuma nikushindwa kwenda kumsitiri nikiwa kama mtoto wake mkubwa unajua inauma vipi ombeni yasiwakute haya maisha basi tu Leo nimejua usione mtu anafanya vitu vya ajabu muda mwingine...
  5. youngkato

    JamiiForums Tanzania Unataka kuanza biashara ya vifaa vya simu? Usikimbilie kununua mzigo kabla ya kujua haya!

    Watu wengi wanaingia kwenye biashara ya vifaa vya simu wakiamini kuwa kununua chaja, earphones, cover na screen protector kwa bei ya jumla kisha kuuza kwa faida kunatosha. Lakini ukweli ni kwamba biashara hii inahitaji zaidi ya kuwa na bidhaa dukani! Fikiria umefungua duka la vifaa vya simu...
  6. youngkato

    JamiiForums Tanzania UNAPANGA KUFUNGUA BIASHARA YA NGUO? USIFANYE MAKOSA HAYA YANAYOWAGHARIMU WAFANYABIASHARA WENGI TANZANIA! ⚠️

    Kununua mzigo Kariakoo ni rahisi, lakini kuugeuza kuwa faida ndiyo kazi yenyewe! Watu wengi wanaingia kwenye biashara ya nguo wakiamini kuwa kupata fremu nzuri, kununua mzigo na kutangaza Instagram au WhatsApp kunatosha kufanikiwa. Ukweli ni kwamba, biashara ya nguo inaweza kuwa na mauzo...
  7. youngkato

    JamiiForums Tanzania Biashara ya mbolea Tanzania: faida ipo, lakini usianze kabla ya kujua haya!

    Unajua unaweza kuwa na mtaji mkubwa wa biashara ya mbolea, lakini ukashindwa kupata faida kwa sababu ya makosa machache tu? Tanzania ni nchi inayotegemea sana kilimo, hivyo biashara ya mbolea inaweza kuwa fursa nzuri ya kujipatia kipato. Lakini kabla hujafungua duka la mbolea, kuna mambo muhimu...
  8. comrade_kipepe

    JamiiForums Tanzania Tokea nichukue maamuzi haya, kwa sasa Nina amani sana na utulivu

    Baada ya kuona maisha ya kuishi kwa chuki na kuwachukia ccm na viongozi hayana tija, tangu nianze kuunga mkono juhudi za chama cha ccm nimekua mtu wa amani sana, hata sura imezidi kua na Nuru, kumbe kua na chuki na viongozi bila sababu ni sumu mbaya sana. Sikilizeni vijana, acheni kufuata...
  9. O

    JamiiForums Tanzania 🚢 Gari Likifika Dar Port: Usifanye Haya Makosa 5

    🚢 Gari Likifika Dar Port: Usifanye Haya Makosa 5 Gari kufika bandarini ni habari njema. 🎉 Lakini pia ni hatua ambayo inahitaji umakini. Haya ni makosa ambayo mwagizaji anapaswa kuyaepuka: ❌ Kutokuwa na nyaraka kamili ❌ Kutokujua gharama za clearance ❌ Kuchelewesha mchakato bila sababu ❌...
  10. Think2

    JamiiForums Tanzania Mapya yaibuka kuhusu jane alipigwa risasi na mumewe dada yake bella afichua haya

    Dada wa marehemu Jenifer (Jeni) Urassa ambaye anaitwa Bella Urassa amesema hawezi kusema uongo, ni kweli mdogo wake alimweleza siku chache kabla ya kuuawa kuwa alikuwa na hofu kuhusu usalama wa maisha yake, akihusisha hofu hiyo na mgogoro wa umiliki wa nyumba yao iliyopo Bunju, Dar es Salaam...
  11. Financial Analyst

    JamiiForums Tanzania Hii sio AI. Haya ni matokeo ya kumchokoza mpasua mawe wakati wewe unaishi nyumba yenye madirisha ya vioo.

  12. L

    JamiiForums Tanzania CHIVAYO Na Mkewe Kuzikwa Kesho. Pichani Haya Ndio Majeneza yaliyobeba Miili Yao. Bara Zima La Afrika Laomboleza Vifo Vyao. Marais Kutua Zimbabwe.

    Ndugu zangu Watanzania, Mfanyabiashara na Tajiri wa Kiafrika Marehemu CHIVAYO na Mkewe wanatarajiwa kuzikwa kesho . Ambapo baada ya ibada wawili hao watazikwa Eneo moja . Ambapo viongozi mbalimbali na Wananchi mbalimbali wameanza na wanaendelea kumiminika katika kumsindikiza Tajiri huyo wa...
  13. Equation x

    JamiiForums Tanzania Kama haya hamyafanyi mara kwa mara ukiwa na mpenzi wako, juwa mahusiano yenu ni ya kuigiza si ya kweli.

    Jiulize:- Mara ya mwisho kuoga pamoja na mpenzi wako ilikuwa lini? Mara ya mwisho kukimbizana kama watoto wadogo wewe na mpenzi wako ilikuwa lini? Mara ya mwisho kujambiana wewe na mpenzi wako ilikuwa lini? Mara ya mwisho ya kumpiga kalio mpenzi wakoilikuwa lini? Mara ya mwisho kukumbatiana...
  14. Pdidy

    JamiiForums Tanzania Haya matukio ya mauaji ya wanawake ndani ya wiki moja tunaenda wapi wee mapenzi?

    Mwanasheria Keneth Nkiko (28) anatuhumiwa kumuua Magreth Richard (22), mfanyabiashara na mkazi wa Manispaa ya Musoma. Uchunguzi wa awali kutoka Jeshi la Polisi, umebaini chanzo cha tukio hilo ni wivu wa mapenzi ambapo mtuhumiwa alikuwa akimtuhumu mpenzi wake huyo kuwa na mahusiano na wanaume...
  15. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Mahakamani huru ya Tanzania isione huruma, aibu wala haya katika kuwahukumu wakiuka sheria na wasio itii katiba ya nchi.

    In fact, kwa kufanya hivyo uhuru, hadhi na heshima ya mahakama ya Tanzania dhidi ya wakiuka sheria na katiba ya nchi itakua juu, si tu ya wananchi, bali pia hata juu ya vibaraka wa mabwenyenye ya magharibi, ambao wao kwa makusudi wamekosa adabu na utii kwa mamlaka na katiba ya nchi. Sheria na...
  16. Lycaon pictus

    JamiiForums Tanzania Rejesta ya ustaarabu. Usifanye hivi kwenye maeneo haya

    Tufundishane ustaarabu. Mambo ya kufanya na kutofanya kwenye eneo fulani. 1. Kwenye Urinal. Hupaswi kusalimia mtu. Ni marufuku kuangalia chini. 2. ATM. Haifai kusalimiana salimiana.
  17. Brown Mduma

    JamiiForums Tanzania Nichukue gari ipi kati ya haya na kwanini

    Wakuu kati ya gari hizi nichukue ipi; Vitz old model,Funy Cargo,Suzuki swift old model,corrola ya 4E, raum old model
  18. E

    JamiiForums Tanzania Kujaza abiria kuzidi uwezo wa gari, kupiga honi bila sababu, utakatwa points za leseni

    Kwa mujibu wa The Road Traffic (Drivers Licence Point System) Regulations, 2014, G.N. No. 109 of 2014, as amended by G.N. No. 420 of 2025, kosa la barabarani linaweza kukupunguzia pointi 1 au 3, kulingana na aina ya kosa. Yafuatayo ni makosa yanayoweza kukupunguzia points za leseni yako...
  19. Hance Mtanashati

    JamiiForums Tanzania Hivi haya mafundisho ya dini tunayopatiwa misikitini na makanisani na wazungu wanafundishwa mafundisho haya haya?

    Hivi haya mafundisho tunayopewa misikitini na makanisani na wazungu wanafundishwa hivi hivi au kwa wazungu wanapewa mafundisho yao mengine japo dini moja. Kuna vitu ukivisikiliza kwa masheikh au wachungaji haviingii kabisa akilini na mbaya zaidi ukihoji uweze kuelewa na kuondolewa shaka...
  20. R

    JamiiForums Tanzania Kwa malipo haya lazima nipokee maagizo na kupigiwa simu

    300,000 Tsh per day x 30 days = 9,000,000 per month. 9,000,000 x 18 months as of today.....162,000,000 Tsh. Na bado kesi kuisha na kwa malipo hayo, lazima wapokee maagizo.......................all untaxable
Back
Top Bottom