gani

Gani is both a given name and a surname. Notable people with the name include:

View More On Wikipedia.org
  1. K

    JamiiForums Tanzania TV gani smart nzuri nitapata kwa bajeti ya 600k-700k?

    Wakuu msaada wenu hapa. Nataka nivute TV ya bei ndogo naomba ushauri wenu. Ipi nitapata kwa bajeti hiyo na itakuwa na ubora kiasi wa kuridhisha?
  2. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Kiungo gani cha mwili kinakupa sana pesa?

    Kiungo gani cha mwili kinakupa sana pesa?
  3. SPECIAL TMN

    JamiiForums Tanzania Je, umri ulionao una tafsiri gani na maisha uliyonayo?

    Wakuu habari za leo: Naenda kwenye maada kamili hivi kuna umri ukifikia hata kama hauna kiwanja ndo basi tena? Au kila mtu na bahati yake tu kulingana na umri uliofikia?. Na je, kuna ukweli wowote ule kuhusu kuandikiwa wewe hautapata vitu vikubwa maishani mwako?. Nawasilisha.
  4. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Kama unaenda Taifa Kwa Mkapa leo sema utakaa wapi / jukwaa gani ili uoshe Nyota kwa kukaa Jirani na GENTAMYCINE

    Ila sitaki tu tukikaa uanze kuomba kupiga Picha nami kwani hapo Utanikera sana kwani hakuna Kitu nakichukia duniani kama Kupiga au Kupigwa Picha.
  5. B

    JamiiForums Tanzania Mshtuko: Mwanaume hata uishi Miaka Mingi kiasi gani lakini Utakufa na Utamwacha Mkeo akiwa Hai

    Sina maelezo mengi ila nyote mnajionea wenyewe mfululizo wa matukio. Kweli wanaume tumeumbwa mateso. Maisha tunahangaika sisi ili familia ziwe na ustawi mzuri wa kuhaki na kiuchumi lakini vyote tunaviacha wanafaidi wengine. Yaani hata ukiishi miaka mingi kiasi gani utajikuta tu lazima Mke...
  6. monotheist

    JamiiForums Tanzania Perfume gani isiyo na harufu kali inafaa kwa mwanaume

    Mimi ni mwanaume nina allergy na vitu vyenye harufu kali, mimoshi ya sigara na vumbi napenda sana kujipulizia perfume lakini zinanishinda naishia kupata mafua makali Je, perfume ipi ambayo imepoa itafaa kwa matumizi yangu bila kuniletea shida ya mafua makali bajeti yangu isizidi 30,000
  7. Suley2019

    JamiiForums Tanzania Je, utamkumbuka Hayati Ali Hassan Mwinyi kwa mambo gani?

    Salaam, Leo Februari 29, 2024 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan ametangaza kifo cha aliyekuwa Rais wa awamu ya pili wa Tanzania Ali Hassan Mwinyi. Soma: Rais wa awamu ya pili, Ali Hassan Mwinyi afariki dunia Kunako Utawala wake Hayati Mwinyi alifanya mambo mengi...
  8. K

    JamiiForums Tanzania Kampuni Gani inatoa bima Bora ya afya kwa mwananchi anayejilipia yeye binafsi?

    Kama nilivyosema wadau naomba ushauri
  9. Mto Songwe

    JamiiForums Tanzania Ungepata nafasi ya kuchagua kuzaliwa wapi na race gani, ungechagua hapo ulipo ?

    Challenge. Binafsi ungepata nafasi ya kuchagua uzaliwe wapi na race gani ? - Je, unge chagua kuzaliwa katika hiyo race uliyopo ? - Je, ungechagua kuzaliwa katika hilo eneo ulilopo( nchi & bara ) ? Binafsi hapana kwa maswali yote. Wewe je ? Na sababu zako zingekuwa ni zipi ?
  10. JamiiCheck

    JamiiForums Tanzania Unachukua hatua gani unapokutana na taarifa potofu mtandaoni?

    Kupata habari ndani na nje ya mtandao imekuwa sehemu ya maisha yetu, ni kawaida kwenye mitandao ya ijamii na kwenye makundi sogozi ya WhatsApp, Facebook na Telegram kukutana na habari za uongo au zinazotia mashaka. Je, huwa unachua hatua gani unapokutana na habari za uongo au zinazokupa mashaka...
  11. Mto Songwe

    JamiiForums Tanzania Wanaume mliooa na bado mna michepuko nje mmeoa kwa ajili gani?

    Hivi wanaume mliooa na bado na michepuko nje mmeoa kwa ajili gani sasa? Au mihemko na mkumbo wa ndoa ndio uliowasukuma kufanya hivyo? Huwa nashangaa sana mwanaume anasema ameoa na bado yupo busy na michepuko, sasa nini maana ya ndoa? Ndoa ni fashion?
  12. U

    JamiiForums Tanzania Huu ni ugonjwa gani kwa kuku wakubwa?

    Kichwa cha habari chajieleza!Mwenye kuujua Ninaomba anijuze ni ugonjwa gani na unatibiwaje? Nimeshatumia dawa nyingi zote nikishauriwa na "wataalamu"!! Nina imani JF ni baba wa wataalamu! Karibuni mnishauri! Nimeambatanisha na picha.
  13. Meneja Wa Makampuni

    JamiiForums Tanzania Ubalozi wa Korea ya Kusini upo sehemu gani hapa Dar es Salaam

    Habari wakuu, Nahitaji kufika ubalozi wa Korea ya Kusini mida hii. Naombeni location, nimejaribu kutafuta Google naona picha picha.
  14. Ghost MVP

    JamiiForums Tanzania Unakumbuka Mchezo gani ukiwa Mtoto?

    Nikiwa mtoto bhana, Nilikuwa napenda sana michezo, moja ya mchezo ni Kuendesha lingi, Kuwinda ndege kwa manati. Kuna ile Unatengeneza gari la mbao na mipira inakuwa kama spring na unaweka kamba mbele na mti inakata hadi kona, na kukata malapa (Kanda Mbili) kama matairi Kingine bhana Niliwahi...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Kuna tofauti gani kati ya TV ya Hisense ya boksi jeupe na ya boksi la kaki?

    Habari za asibuhi wakuu, Natamani kujua utofauti uliopo kwenye TV ya Hisense ya boksi jeupe na ile ya boksi ya kaki, na between the two ipi ni bora kuliko mwenzake? Waatalamu wa electronics na wajuzi wengine naomba mnijuze.
  16. Prakatatumba abaabaabaa

    JamiiForums Tanzania Ungepewa milioni 12 uwekeze, ungefanya uwekezaji gani? Wafanyabishara waheshimiwe, ajira ni bora zaidi ya biashara

    Wafanyabishara wote, na wapambanaji wote walioweza kutoka chini, bila kitu na wakafanikiwa kuona Mwanga, aisee ukimpita mtu wa hivyo jaribu kumheshimu sana maana hustling zake sio za kitoto. Nimeelewa kwanini Baba yangu alikuwa ananikazania nisome, biashara sio kwa ajili ya watu dhaifu, ila...
  17. Uhakika Bro

    JamiiForums Tanzania Je, ndimu za unga zile za dukani ni kemikali gani?

    Naomba kujuzwa na wajuzi👂 Yaani mfano ningeuliza ugali ni kemikali gani unasema ni kabohaidrati (CxHxOx) Sasa je, hii ndimu huwa ni nini. Ile ya unga ya dukani?
  18. K

    JamiiForums Tanzania Kuna hasara gani endapo mtu atasoma form 5&6 (A level) kwa shule za private,?

    Naomba mnipe majibu jamani, Kuna hasara gani endapo mtu atasoma form 5&6 (A level) kwa shule za private,?
  19. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Ulipata Hisia gani baada ya wewe na mkeo kupima Ukimwi na kukuta mpo Salama?

    Kwema! Katika vitu nilikuwa naogopa ni kupima VVU. Ukimwi sio poa aseeh! Kwa sisi tuliouona miaka hiyo Watu wakiugua huo ugonjwa tumeathirika kisaikolojia. Hasa sisi wanaume ndio tunaogopa zaidi. Haya. Embu eleza hisia ulizopata baada ya wewe mkeo kupima na kupata matokeo negative, yaani mpo...
  20. JamiiCheck

    JamiiForums Tanzania Umewahi kusikia dhana gani kuhusu hali ya Ujauzito ambayo ungependa kufahamu undani wake?

    Kuna dhana nyingi ambazo watu huishi wakiamini kuhusu hali ya ujauzito. Dhana hizo hutofautiana kati ya jamii moja hadi nyingine. Je, mdau wetu wa JamiiCheck unafahamu dhana zipi kuhusu hali ya ujauzito? Zitaje upate undani wake
Back
Top Bottom