gani

Gani is both a given name and a surname. Notable people with the name include:

View More On Wikipedia.org
  1. Expensive life

    JamiiForums Tanzania Neno gani la kwanza huwa unamwambia mwenza wako baada ya kumaliza faragha?

    Baada ya minyanduano ya hapa na pale, neno gani la shukurani huwa unamwambia mwenza wako?
  2. P

    JamiiForums Tanzania Naombeni msaada wakuu kufahamu hii miwani lens gani

    Msaada wakuu naomba kufahamu hii miwani ni lens gani na bei yake Kwa anauefahamu
  3. sanalii

    JamiiForums Tanzania Namuonea huruma binti yangu, sijui ataolewa na kijana wa aina gani

    Vijana wa kiume wanazidi kuchanganyikiwa, 1. Wabahili 2. Wanapenda mtelemko 3. Wanalishana ujinga sana 4. Hawana hofu ya Mungu Wamekuwa na wivu kama wake wenza, yaani mwanaume anataka mke achangie kibapo, bado awe romantik na apendeze, how is that possible? Vidume vya zamani vinaenda porini...
  4. R

    JamiiForums Tanzania CHADEMA mna mpango gani na Dodoma?

    Salaam, Shalom!! Tumeona maandamano katika majiji ya Dar es Salaam, Mbeya, Arusha na Mwanza. Nia ya maandamano ni kuamsha umma kudai HAKI zao na kushinikiza Serikali kupunguza Kodi Ili kuondoa mfumuko wa bidhaa, Kupata Tume huru ya Uchaguzi na KATIBA mpya kabla ya Uchaguzi wowote, nk nk Na...
  5. Adolph Jr

    JamiiForums Tanzania Nitumie vigezo gani kununua pikipiki used

    Jamani nimetafakari kuhusu biashara zangu nikaona bila kuwa na usafiri wangu binafsi nitaendelea kuteseka mno kwa kudandia dandia za watu. Nimeamua kutafuta usafiri wangu binafsi kutoka kwa mtu (watu) yaani used nimepata tatu zote tvs. Moja namba D sikusoma speedometer ya pili namba C...
  6. Governor of Bettors-GB

    JamiiForums Tanzania Naombeni bei ya Laptop yenye specifications hizi

    Naombeni bei ya Laptop yenye specifications hizi Mwenyenayo
  7. GoldDhahabu

    JamiiForums Tanzania Hili ni zao gani?

    Linastawi Tanzania? Linatumikaje?
  8. L

    JamiiForums Tanzania Je, mikutano miwili ya China ina maana gani kwa Afrika?

    "Wakati Mikutano Miwili" inafanyika wiki hii, dunia nzima sasa inaangazia tena China. Mikutano Miwili yaani Bunge la Umma na Baraza la Mashauriano ya Kisiasa ya kila mwaka ni dirisha muhimu kwa dunia kutazama na kuifahamu China. Hivi karibuni, mkutano wa pamoja wa wataalam wenye kaulimbiu ya...
  9. P

    JamiiForums Tanzania Happy Women's Day: Una ujumbe gani kwa wanawake leo Siku ya Wanawake Duniani?

    Wakuu mpo salama? Siku ya Kimataifa ya Wanawake tarehe 8 Machi, ni muhimu katika kutambua jitihada, harakati na mchango wa Wanawake Duniani kote Tunasherekea mafanikio ya Wanawake katika nyanja mbalimbali za Maisha kama vile mafanikio binafsi, kihistoria, kiuchumi, kisayansi, kisiasa na...
  10. Suley2019

    JamiiForums Tanzania Una tabia gani za kizee?

    Salaam Wadau? Katika maisha yetu tunajikuta tunafanya matendo mbalimbali kila siku. Kuna namna fulani unaweza kujikuta wewe ni kijana lakini baadhi ya matendo yake ukijitafakari unaona kabisa hayaendani na umri wako. Kwa upande wangu najikuta mtu mzima kwa kupenda nyimbo za Wazee wa zamani...
  11. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Zitto Kabwe alikuwa na nafasi gani ndani ya ACT Wazalendo?

    Haya wajuba wazee wa siasa za Bongo muje munieleze vizuri. Zitto Kabwe alikuwa na nyadhifa gani ACT Wazalendo? Wanahabari wetu wanaishia tu kutuambia kuwa alikuwa kiongozi wa chama.
  12. G

    JamiiForums Tanzania Offgrid forever: Kwa Tanzania unahitaji pesa kiasi gani kuwatolea nje Tanesco ujitegemee umeme wako kwa matumizi ya nyumbani?

    Ni kuhusu kung'oa kabisa nyaya zao za Tanesco, Mita yao iwe toy ya mtoto kuchezea. Ni nyumba yenye watu 7 TV ipo on kuanzia saa mbili asubuhi hadi saa nne usiku, Fridge haizimwi, Pasi asubuhi na usiku Kucharge simu kwa sana kwa siku ni kama unit 4
  13. profesawaaganojipya

    JamiiForums Tanzania Simu za Google Pixel zina shida gani?

    Wadau wiki mbili zilizopita, dada mmoja, simu ya google pixel 4 ilizima ghafla, akaipeleka aliponunua China plaza. Walipompeleka kwa fundi, fundi akamwambia anazo zingine 2 nazo zimezima ghafla, wanajaribu kupasha motherboard kwa masaa 24 labda zitawaka. Juzi rafiki yangu, google pixel 7...
  14. Buzi Nene

    JamiiForums Tanzania Msaada je asome kozi gani katika hizi?

    Kuna ndugu yangu ni mtumishi wa serikali anataka kwenda kujiendeleza/kuongeza maarifa mengine anaomba msaada wa mawazo je ni kozi gani akasome kati ya hizo? NB: Ana vigezo vya kusoma hizo kozi zote. 1. Bachelor of Human Resource Management -mzumbe Dar 2. Bachelor of Science in Software...
  15. Pres61

    JamiiForums Tanzania Hali gani ilikufanya ujiulize uwepo wa Mungu?

    Najua wengi tunapitia changamoto mbali mbali zinazopelekea kujiuliza kama kweli Mungu yupo. Binafsi kuna changamoto nazipitia ambazo mara kadhaa zimenifanya nijiulize hili swali. Lakini kitendo cha kwamba bado naishi na sijapata hata nguvu za kuumaliza uhai wangu mwenyewe naamini kweli Mungu...
  16. Expensive life

    JamiiForums Tanzania Ulijitafuta ukajipata kwenye maisha ukiwa na umri gani?

    Ndugu zangu safari ya maisha ni ndefu sana kila mmoja ana safari yake, wapo waliotusua kwa mateso makali sana. Wapo waliotusua kiurahisi hawa huenda walikuta tayari njia imeshatengenezwa hivyo kufanikiwa haikuwa kazi kubwa sana. Lengo la kuleta uzi huu ni kuwatia moyo wale ambao wanajiona muda...
  17. P

    JamiiForums Tanzania Ni katika hali gani Askari anaruhusiwa kutumia bunduki?

    Sijawai kuwa Askari ila naona kuna matumizi yasiyo sahihi ya nguvu na risasi kwa wahalifu au watuhumiwa. Kwa kisa hiki kilichomsababishia majeraha makubwa binti wa miaka 16 kwa kupigwa risasi na askari utaona kabisa hapa kuna kitu hakijakaa sawa. Risasi zinazopigwa hovyo hovyo zimegharimu...
  18. Desierto

    JamiiForums Tanzania Ni umri gani mtu akifikisha bila ya kumiliki nyumbani aachane tu na mpango wa kumiliki nyumba

    Mimi Kama Mimi nikifikisha miaka 45 sijamiliki kwangu ni heri tu nimalizie huo muda uliobakia hapa duniani kwa kuendelea tu kupanga. Haiwezekani niteseke kujenga nyumba ambayo sitaishi zaidi miaka 20 nijisapie zangu.
  19. African Geek

    JamiiForums Tanzania Je, Gari hii inafaa kwa kufanyia BOLT, Uber, Faras, Nk?

    Habari za muda huu waungwana. Kuna hii gari ndogo inayo fahamika kwa jina la Daihatsu Mira (year 2007/2008). Nimeipenda jinsi ulaji wake wa mafuta ulivyo mdogo kulinganisha na gari nyingi ndogo ndogo kama ist, vits, nk. Ningependa kufahamu kama gari hizi zinatambulika na Bolt, Uber, nk. Uimara...
  20. Desierto

    JamiiForums Tanzania Ulianza kujamiiana ukiwa na umri gani?

    Mimi nimeanza ngono nikiwa na miaka 21 sababu zipo nyingi ila mojawapo ni kutojichanganya na makundi yasiyofaa. Muda huo nilikuwa nashuhudia vijana wadogo zaidi yangu wakizichakata. Mwanamke wa kwenda kulala naye ile naingiza tu hata sijui ilikuwaje nikajikuta nshamaliza, na sikuweza tena...
Back
Top Bottom