Nilienda sehemu moja ugenini, kama ilivyo ada ugenini hata ukae siku mbili Lazima ujibane usiende chooni hovyo hovyo, siku ya tatu nikaona hali sio poa acha niende chooni kufanya harakati muhimu.
Cha kushangaza nikakuta choo cha kukaa, sijawai kukitumia before, nikapiga mahesabu maana...
Nimpongeze Karibu Mkuu aliyetanguliwa wa Wizara ya Mambo ya Ndani mdogo wetu Gaspar Mamuya kwa utumishi wa kukumbukwa katika wizara hiyo. Huyu Bwana niliwahi kukutana naye kwenye mgogoro flani wa taasisi za dini, alitoa ushauri kama mzazi na hakuwa na majivuno.
Pamoja na hayo wizara ilitulia...
Wadau wa kilimo naomba ushauli ninashamba la mapunga liko kati ya mita 6000 Hadi MITA elf 1 ,je pump zipi ninunue?JE petrol nch 3 hadi 4 au pump ya diesel nchi ya Bomba la nchi 3 u nne au unavyoona inafaa
Nakumbuka jioni ya siku kama ya leo kuelekea weekend nilimuita aje tuspend kwangu.
Mida kama hii nashangaa msosi naoukuta mezani sio kawaida yake kuniandalia akija, aliandaa juice nzito, pilau la nazi na njegere.
nimemaliza kula namsifu kwa mapishi yake ajiandae nae nimle, ndio akanifungukia...
Habari wadau,
Naomba kufahamu sababu inayofanya mji wa Gairo kuwekwa matuta mengi kuliko mji wowote Tanzania.
Matuta yanaanzia pale unaingia mjini mpaka unapoumalza mji zaidi ya km 10.
Kuna majina ya wachezaji huwa yanavutia hasa pale yanapotamkwa.
Yapo mengi yanayonivutia miongoni mwao ni haya,
Juan Roman Riquelme
Kevin Prince Boateng
George Magere Masatu
Jina gani huwa linakuvutia?
Nimesoma malalamiko ya wananchi wengi kulalamikia utendaji usiokidhi viwango wa Madawati ya Jinsia yaliyopo vituo vya polisi nchini.
USULI
Ujio wa Dawati la Jinsia ulishereheshwa na kukithiri kwa vitendo ukatili kwenye jamii, na ikaonekana sehemu kubwa ya ukatili umejaa kwenye mahusiano ambapo...
Takwimu zilizotolewa hivi karibuni na Idara Kuu ya Forodha ya China zinaonesha kuwa, kuanzia mwezi Januari hadi Februari mwaka huu, thamani ya jumla ya biashara ya bidhaa kati ya China na nchi za nje ilikuwa dola bilioni 930.86 za Kimarekani, ambalo ni ongezeko la asilimia 5.5 ikilinganishwa na...
Jamani nimeambatanisha picha za maelezo ya generator mbili za kuvuta na kusukuma maji .Naomba mtaalamu aniambie generator hizi Kila Moja inaweza kuvuta maki kutoka vhanzo kwa umbali Gani na kutupa majo Kwa umbali Gani?na kiwango cha maji yakusukumwa kwa dakika ni kiasi gani?
Naombeni muongozo. Sina connection TRA.
Jana nimeenda mchana kuna foleni kali sana.
Shida yangu ni kupewa tax clearance ya mwaka huu kwa biashara inayoendelea.
Katika hili pambano mimi binafsi kusema ule ukweli nikiangalia ukanda wa maziwa makuu hapa Afrika Mashariki, kwa ujumla inapokuja swala la shepu hasa mpindo mzuri wa makalio ama Matrakoo Wanyarwanda hadi sasa wanaongoza kwa mbali sana, japo hawajazagaa sana huko Dubai na Arabuni ila hawa viumbe...
Katika taarifa ya ripoti ya utafiti wa REPOA unasomeka kwamba uchumi wa nchi yetu unakua kwa kasi lakini nao umaskini wa wananchi unaongezeka kwa kasi.
Hoja yangu ni kwamba huu uchumi usio na manufaa kwa wananchi unatengenezwa na nani na kwa manufaa ya nani?
Niombe msaada wa elimu kwa...
Kitu gani watu wananunua kwa pesa nyingi kwa lengo la kupata STATUS, lakini ili mtu a recognize hicho kitu ni cha gharama ni either awe nacho au ni mfatiliaji sana wa vitu hivyo?
Wakuu kwema?
Wajuvi noamba mtujuze kwenye jambo hili. Toka Biteko ateuliwe kuwa Naibu Waziri Mkuu amefanya mambo gani mpaka sasa kulingana na nafasi yake hiyo?
Huu mshahara tunaomlipa kutoka mifukoni mwetu kama Naibu Waziri Mkuu anaula kutokana na kazi gani alizofanya mpaka sasa? Anautendea...
Tusikwepe ukweli kwamba kipindi cha mfungo wa mwezi Mtukufu Ramadan, kimekuwa ni kipindi kinachokuja na neema ya unafuu wa maisha kwa jamii hususani hata wale wasiofunga yaani Wagalatia na wasio na dini.
Unafuu wa maisha unatokana na kwamba, Wachuuzi wengi wanachuma rehma na fadhila zitokanazo...
Binafsi kuna collab natamani zingetokea sio kwa bongo tu mpaka mbele, kwa mfano;
1. Jay Melody ft Mbosso
2 Diamond Platinumz ft Yemi Alade(najua wamewahi fanya ila ilikuwa ni zamani wakati mond hana umaarufu)
3. Kaligraph Jones ft Darassa
4. Ruger ft Rema
5. Jason Derulo ft Chriss Brown
6...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.