gani

Gani is both a given name and a surname. Notable people with the name include:

View More On Wikipedia.org
  1. Good doctor

    JamiiForums Tanzania Ni kitu gani mshikaji wako alikufanyia kikakufanya umthibitishe kuwa rafiki wakufa nakufaana

    Rafiki nilienae mimi ameakua akinishauri vitu ambavyo vina matokeo mazuri katika maisha yangu: that why he's my best friend. Share your experience about your best friend na nikitu gani unappreciate kutoka kwake.
  2. Half american

    JamiiForums Tanzania Utachukua uamuzi gani ukigundua watoto uliowalea na kuamini ni wako kumbe sio wako?

    Mchezaji wa zamani wa Chelsea, Real Madrid na timu ya taifa ya Cameroon 🇨🇲 Geremi Njitap, ametangaza kuvunja ndoa yake na mkewe Laure Fotso, ndoa iliyodumu kwa muda wa miaka 12, baada ya kugundua ya kwamba, watoto wawili mapacha (pichani, wa kike katikati na wa kiume kulia), sio watoto wake...
  3. Mjanja M1

    JamiiForums Tanzania Kero gani umewahi kukutana nayo kutoka kwa abiria mwenzio wakati unasafiri?

    Ebana Kuna Jamaa hakupiga mswaki alafu story aziishi na maswali yasiyo eleweka. Vipi wewe Mkuu?
  4. Kaka yake shetani

    JamiiForums Tanzania CCTV zina faida gani ? Tukio linapotokea kuonesha vibaya

    Msaada wa CCTV mimi naona ni bure yani linapotokea tatizo uwezi kuona picha vizuri.
  5. Mjanja M1

    JamiiForums Tanzania Ni biashara gani ambayo huelewi faida wanapata vipi?

    Funguka huenda ukapewa miongozo na wakuu hapa JamiiForums.
  6. Emilio Mzena

    JamiiForums Tanzania Leo ni siku ya maji kimataifa, je kwa siku unakunywa maji kiasi gani?

    Machi 22 kila mwaka ni Siku ya Maji Duniani inayoadhimishwa na Umoja wa Mataifa. Siku hii hutumiwa kuhamasisha usimamizi endelevu wa rasilimali za maji safi. Je, unakunywa kiasi gani cha maji kwa siku?
  7. Beberu

    JamiiForums Tanzania Kwa bajet ya 500 napata simu gani nzuri?

    Wakuu kama kichwa kinavosema, Preferred brands ni Samsung na Xiaomi
  8. Kaka yake shetani

    JamiiForums Tanzania Mlikuwa mna maana gani kwenye tahasusi ya elimu za dini kutumia Divinity?

    Kuna sehemu kama inaonekana wa kristo wamekosewa heshima kuwekwa kwenye kundi divinity maana yake ni uungu. Mean A divinity is a religious being, like a god or angel. It's also a word for the study of religion, which is studied at divinity school. If you know the word divine means holy or...
  9. Rayvanny wa jamiiForums

    JamiiForums Tanzania Ukiachwa unatakiwa usikilize nyimbo gani ili roho itulie

    Hivi ukiachwa unatakiwa usikilize nyimbo gani ili roho itulie?
  10. Mchochezi

    JamiiForums Tanzania Ukiwa kama kocha utaanza na mshambuliaji gani hapa?

    Chagua mshambuliaji mmoja tu wakuanza nae katika kikosi chako kutoka katika list ya washambuliaji waliopo pichani
  11. BigTall

    JamiiForums Tanzania Kuna kitu gani ambacho mtu wako wa karibu anakifanya hukipendi lakini unashindwa kumwambia?

    Kwenye maisha kuna vitu ambavyo mtu anaweza kuw anafanya kila mara na ikawa kero kwa wengine. Hali hiyo anawaweza kuwa anaifanya kwa kujua kabisa makusudi kuwa anawakera watu wengine lakini wapo ambao wanaweza kufanya na wasijue kuwa kitendo wachokifanya ni kero kwa wenzake wanaokuwa karibu...
  12. BigTall

    JamiiForums Tanzania Umebaini tofauti gani Uwanja wa Mkapa na Uwanja wa Samia unaotarajiwa kujengwa Arusha?

    Uwanja wa Mkapa ulijengwa kwa ushirikiano wa Serikali ya #Tanzania na #China, mpango uliopo mezani ni mchakato wa ujenzi wa uwanja mwingine wa kisasa ambao Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Elimu Utamaduni na Michezo imesema itawasilisha mapendekezo uitwe Uwanja wa Samia Suluhu Hassan. Pia, Wizara...
  13. Zee la madawa

    JamiiForums Tanzania Elimu ya Tanzania ina shida gani? Eti Physics, Kiswahili na Geography nayo ni combination moja

    Lengo ni nini? Haya maamuzi yamefanyika kwa kushirikisha wataalamu kweli? Tunakusudia kujenga taifa la aina gani? Mtu akisoma Physics, Kiswahili na Economics (PKE) anaadaliwa kuwa nani? Au anayesoma Chemistry, Comerce na Mathematics (CCM) mnamuandaa kuwa nani kama sio kuwa chawa? Nadhani idadi...
  14. Dr Matola PhD

    JamiiForums Tanzania Ni free VPN gani kwa sasa ni nzuri kutumia?

    Kuna App muhimu mahitaji kuinstall ila hila za wazungu wamezibana Kwa device IP za Africa. Nimeingia App store ili NI download VPN Kwa ajili ya kufunguwa zile App lakini kila nikisoma review naona malalamiko ni mengi, sasa nimekuja hapa Kwa Wataalam mnisaidie nipakuwe VPN ipi iko vizuri? bayankata
  15. Desierto

    JamiiForums Tanzania Ni nyimbo gani unaipenda ila huwezi sikiliza mbele ya watu

    Kuna nyimbo unaweza kuta ni tamu ila shida ni huo ujumbe ndo inakuwa ngumu kusikiliza mbele ya watu, Kwangu mm ni ule wimbo wa linah unaitwa fitina
  16. Ester505

    JamiiForums Tanzania Malipo ya kufundisha tuition ni kiasi gani kwa mwezi mtoto akifatwa nyumbani kwao?

    Nawasalimu. Naomba kwa wazoefu wanifahamishe Bei ya kumfundisha mtoto tuition akifatwa nyumbani kwao.wa darasa la tano na darasa la kwanza. Msàada jamani.
  17. Nyendo

    JamiiForums Tanzania Uongo gani unaukumbuka kutoka kwa Wanasiasa kwenye Chaguzi zilizopita?

    Wakati wa Kampeni cha Uchaguzi, baadhi ya Wagombea hutumia mbinu za kuzusha Uongo kwa kuwadanganya Wananchi ili kuongeza Ushawishi wa Kuchaguliwa Je, Uongo gani unaukumbuka kutoka kwa Wanasiasa kwenye Chaguzi zilizopita?
  18. haszu

    JamiiForums Tanzania Jirani yangu anafanya kazi gani?

    Sio kwamba namchunguza, ila natamani namimi niishi life style kama yake, mana wengine tunachapika na maisha huenda kuna watu wana shortcut. Ni miaka miwili tangu amalize nyumba yake na kuhamia, 1. Amejenga ndani ya miezi miwili au mitatu. 2. Tangu ahamie, muda wote yuko ndani, mara kadhaa...
  19. ndege JOHN

    JamiiForums Tanzania Ukija kuamua kuanza kulima utalima zao gani?

    Nimeona jinsi wakulima wakizungumzia mwenendo mbaya wa mazao yao Shambani mfano wa kulima wa Kanda ya Kati wengi walichelewa kumpanda hivyo jua la mwezi wa tatu limezingua kufanya mimea isinawiri huko kusini mvua zinapiga nyingi TOKa mwaka Jana na Wao athari ni kuharibika Kwa mazao mfano ufuta...
  20. Kyambamasimbi

    JamiiForums Tanzania Kabla hujafika Dar es Salaam, ilikuwa ukisimuliwa habari zake ulikuwa unajenga picha gani kichwani?

    Habari wana JF, Binafsi kabla sijafika Dar nilikuwa na picha ya tofauti kidogo kichwani hasa ubungo na wakati huo anayekusimulia ametoka Dar eti amesahau hadi kilugha si unajua wanyakyusa tena kwa mbwembwe ndizi alianza kuuliza eti zinaitwaje kilugha? na amekuja na mikate ile mikubwa huku...
Back
Top Bottom