gani

Gani is both a given name and a surname. Notable people with the name include:

View More On Wikipedia.org
  1. vvvv

    JamiiForums Tanzania Mfumo gani mbadala kwa style ya mamelodi waliyocheza first half?

    Kwa walioangalia first half, je ni mfumo gani rahisi kuchukua mpira na kuumiliki kwa mbinu waliyotumia Mamelodi first half? Kama timu imekuja na tricky ile mnafanyaje?au mtumie mfumo gani? Maana kwa timu inayotafuta matokeo ile mbinu yao inakera inabidi kuwasubiria tu waanzishe shambulizi wao.
  2. G

    JamiiForums Tanzania Kipindi mke/ girlfriend yupo siku zake unatumia mbinu gani kupunguza uchu?

    Kun mud Upwiru huwa unabana ila mwanamke ulienae kaumbwa kuwa kwenye siku zake 3 hadi wiki, huo moto unauzimaje? umetoka safarin umerud mke yuko sikuzake afu ndo siku ya kwanza kabisa kaanza na anaenda siku 5 afu kumbuka wiki nzima hamjaonana na mda wa kukaa naye ni siku tatu unarud job...
  3. Root root AE

    JamiiForums Tanzania Unavijua hivi vibanda?

    Wakuu kwema? Hivi vibanda vinasaidia sana wafanyabiashara wadogo kuanza kujitafuta. Naomba kujua yafuatayo: 1- kwa anayetaka kununua, vinauzwa bei gani? 2- kwa anayetaka kukodi, kinakodishwa bei gani? 3- kama nikinunua nikawa nacho nataka kukiweka barabarani, process yake ipoje??
  4. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Mashabiki wa Yanga SC mlioko Mkoani Morogoro semeni leo mtakuwa Ukumbi gani ili GENTAMYCINE nije kuwatizama Wanaojua Yanga SC leo Usiku

    Naenda Kutambika kwa Babu yangu Mkoani Morogoro na kula Pasaka ila napenda Leo nijumuike na wana Yanga SC kuitizama ikicheza na Mamelodi Sundowns FC. Wa Morogoro semeni mtakuwa Ukumbi gani ili nije na hakikisheni huo Ukumbi nje uwe na Mademu na Gesti ziwe Jirani ili nikimaliza Kushangiiia...
  5. Usinifokee

    JamiiForums Tanzania Hichi ni nini na kina maana gani wakuu

  6. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Hivi ni ujinga kiasi gani mtu anapaswa kuwa nao mpaka atume pesa kwa mtu au kampuni hewa?

    Karibu kila wiki nakutana na matapeli wa mtandao kwa style tofauti. Huwa nawaacha mpaka waone pesa hizi hapa ndipo nawachana kuwa njia zao za utapeli ni za kitoto hivyo wanapaswa wabadili njia au waache hiyo kazi haramu wamrudie Mungu. Wengi wanaishia kunitukana na kuniblock maana nakuwa...
  7. Gulio Tanzania

    JamiiForums Tanzania Kuna haja gani ya muungano polisi kukamata wakristo huko Zanzibari wanaokula mchana?

    Nimesikitishwa na hali inayoendelea Zanzibari kukamata watu wanaokula mchana nakupewa kipigo hali hii imekuwa inajitokeza kila mwaka mwezi huu wa ramadhani Kilichonisikisha mwaka huu vyombo vya dola kuendelea na zoezi hili la kukamata watu wanaokula mchana ni jambo baya sana halileti afya kwa...
  8. Mhafidhina07

    JamiiForums Tanzania Wacheza kamari hivi mnajua Yanga kapewa odds ndogo dhidi ya Mamelodi, kuna ishara gani hapa?

    Wadau kama kichwa cha habari kinavyojieleza YANGA 2.45 vs 2.90 MAMELODI hapa kuna ishara gani? Ila wale Ijumaa kuu fc wamepewa 2.75 Vs 2.40 Taifa la Ahly . Wacha inyeshe.
  9. I

    JamiiForums Tanzania Hii picha Ina tatizo gani

    Imepostiwa na Page ya club ya Al Ahly katika kurasa zao je? Ina shida Gani!
  10. N

    JamiiForums Tanzania Hivi kuna ushahidi gani wa kwamba mimea haipati maumivu inapokatwa?

    Mnisamehe na swali langu hilo wadau, lakini naomba tu mnijulishe au mnikumbushe! Ahsante.
  11. C

    JamiiForums Tanzania Picha: Hili ni tatizo gani la ngozi?

  12. Mwanadiplomasia Mahiri

    JamiiForums Tanzania Motto/ Kauli mbiu gani ya taasisi gani huwa inakuvutia?

    Mimi napenda sana motto kuhusu US Navy SEALs, usemao “The only easy day was yesterday” “It pays to be a winner” “Never out of the fight”. Kauli mbiu hii ina lengo la kuwatia moyo wapambanaji wa kikosi hiki. Ukija katika maisha ya kawaida, hautakiwi kukata tamaa, pambana sana na usifikirie...
  13. Greatest Of All Time

    JamiiForums Tanzania Mchezaji gani anastahili tuzo hii?

    Jaribu kufikiria kama kungekuwa na tuzo ya mchezaji anayekaa sana benchi (bench d’or) nani angeshinda tuzo hiyo?
  14. vibertz

    JamiiForums Tanzania Msaada hii ni app gani?

    Wakuu naomba kufahamishwa hii app inaitwaje? Ni app kwaajili ya habari za michezo au ni kwaajili ya kununua tiketi pekee?
  15. CotterPin

    JamiiForums Tanzania Ni tukio gani la kunusurika usiloweza kusahau?

    Harrison Okene alinusurika kwa siku mbili na nusu akiwa amenaswa ndani ya mashua chini ya bahari, mita 30 (~ 100ft) chini ya maji. Alikuwa mpishi Mnigeria mwenye umri wa miaka 29, akifanya kazi kwenye mashua ya kuvuta kamba ambayo ilikuwa takriban kilomita 32 kutoka pwani ya Nigeria. 2013...
  16. Nyendo

    JamiiForums Tanzania Stori gani uliwahi kusimuliwa kuhusu mchezaji wa mpira kumbe 'kamba'?

    Kuna stori niliwahi kuambiwa na jamaa mmoja kuwa Bekham alikuwa anafanya mazoezi hata siku mbili mfululizo bila kupumzika akiwa nyumbani. Kipindi hicho nilikuwa mdogo nikamuamini ila sasa nimekuwa nimemfata kumwambia yule jamaa achukue kamba yake sifungiki tena.
  17. Mjanja M1

    JamiiForums Tanzania Kama ungekuwa kiongozi wa nchi ni watu gani ungewafukuza?

    Husika na kichwa cha habari hapo juu. Mm ningekuwa kiongozi wa nchi ningewafukuza wala Rushwa, na mafisadi wote waende wanakokujua maana wanaharibu sana Maendeleo ya Taifa kwa ujumla. Vipi wewe ungewafukuza watu wa aina gani?
  18. Desierto

    JamiiForums Tanzania Ni tabia gani uliweza kumbadilisha mke au mme wako?

    Kwenye maisha ya mahusiano Mara nyingi hutokea watu wakakutana na hawajuani wala hakuna mwenzake ana fahamu mwenzake kakuaje au kapitia maisha gani, Ni Mara chache sana hutokea wakakutana au kuoana waliokulia sehemu moja na kujuana, Mm kuna baadhi ya tabia ambazo nilimkuta nazo mke wangu na...
  19. Technophilic Pool

    JamiiForums Tanzania Kitu gani bei rahisi naweza kurudi nacho jijini kutoka mkoa wa Kagera?

    Wataalam wa huu mkoa wa Kagera ni kitu gani bei rahisi naweza kurudi nacho jijini? Nipeni ABC
  20. kiwatengu

    JamiiForums Tanzania Mjadala: Ni jambo gani kwenye Maisha yako lilichelewa sana? Ila sasa unaona kawaida sana

    Wakuu, Kwenye haya maisha tuna mambo mengi sana ambayo ni matamanio, na kila mtu nafikiri wanayo. Sasa ni vitu gani ambavyo ulivitamani sana kuwa navyo, yaani ile tu unajiambia I wish, I wish... Ila sasa unavyo au unavifanya na unaona ni kawaida kabisa yani!! Kuna watu walitamani kuwa na...
Back
Top Bottom