Kelele zimekuwa nyingi kuhusu kikokotoo, hamna kauli dhabiti iliyotoka toka kwa "Vyama vya Wafanyakazi".
Kazi ya hivi vyama binafsi siioni zaid ya kuvalishwa sare na kuandamana Mei Mosi, serikali tafadhali ongeza kikokotoo mara buku hadi akili ziwakae!
Kila mtu analalamikia chumbani kwake...
Katika maisha yetu ya kila siku, kwa kujua au bila kujua inaweza kutokea mwenza/mpenzi wako, au rafiki au ndugu akatoa maneno kwako au kauli kwako (Huenda bila kukusudia) lakini ukajikuta kauli hiyo imekukera sana na kukusababishia hamaki na kuleta sintofahamu kati yenu.
Wakati mwingine...
Leo nimeshuhudia watu wakitembea kuwashawishi watu wajiunge na chama chao cha siasa, Watu hao walikuwa wawili walinifuata na mimi wakanambia nijiunge kwenye chama chao ili niwe mwanachama nipate na kadi ya chama chao huku wakinishawishi kuwa siyo gharama kubwa kulipia kadi hiyo kwa mwaka.
Jambo...
Leo imetolewa hoja kwamba magari ya serikali yapaki saa kumi na mbili. Unajiuliza hawa watu wanapotoa haya matamko wanashindwaga nini kufanya tathimini?
Nchi hii inawaza kuendesha shughuli zake masaa ishirini na nne; Mama anawaza kuona soko la Kariakoo linafanya kazi masaa ishirini na nne...
Kuna watu wamepoteza ari ya kupiga kura kwenye uchaguzi wa Serikali za mitaa na Uchaguzi Mkuu.
Wapo wanaosema waliacha kwa kuwa hawana imani kama kura wanazipiga ndizo zinaamua mshindi, wanaona kama uchaguzi ni kiini macho tu hivyo wamekata tamaa ya kushiriki.
Wengine wakidai wanajichosha...
Ikiwa ni miezi sita kamili tangu vita vianze baina ya Hamas na Israel,na baada ya vifo vingi vya raia na askari wa Israel,na baada ya Israel kuwaudhi washirika wake, hatimae leo jeshi hilo limeamua kurudisha nyuma vikosi vyake kutoka kusini ya Gaza na Rafah.
Baadhi ya taarifa zinaeleza kuwa...
Kuna wakati Mwaka 2019 nilitumia TCL TV ikiwa na builtin Decorder DVB T/T2 na ilikuwa nikiunga antenna napata channel mbalimbali Bure. Ni muda Sasa TV hiyo Toka iharibike. Sasa katika uchunguzi naambiwa hizo channel Sasa hazipatikani zimezuiliwa na Serikali.
Hivi Sasa Kuna TV nyingi sana...
Suala la Kuoa ama kuolewa bado litaendelea kuwa ni hitaji muhimu miongoni mwa Jamii ya watu wengi Ulimwenguni.
Kwa Tanzania, tunazo Ndoa za aina mbalimbali ambazo zinatambulika kisheria ambazo ni Ndoa za Kidini, Kimila na Kiserikali.
Mara baada ya kufunga Ndoa, maharusi wengi Kwa kushirikiana...
Salaam Wakuu, natumai kaubaridi mwororo kawapapasa vyema huko mliko, twende kwenye mada.
Sehemu yoyote mjini inachukuliwa kama sehemu ya kutolea ushamba, kutokana na kupiga hatua kwenye mambo mengi na muingiliano mkubwa na watu kutoka sehemu mbalimbali ulimwenguni. Naona ndio hata mababu zetu...
Kichwa cha Habari kinajitosheleza.
Miaka ipi tumeanza kuvalisha watoto pempas je ni 90' au 2000'. Na vipi kuhusu chupi na vipi kuhusu boxer naombeni ufafanuzi.
Kiukweli kwa Tanzania ukimwambia mtu huna dini unaonekana mtu wa ajabu sana.
Ila kwangu nimekuwa nikijilazimisha sana na kuishi maisha ya kinafki sana ili tu nionekane nina dini ila kadri muda unavyokwenda najiona kabisa sina mihemko na hizi dini jamani iwe Christian au Islamic au buddha sijui...
Kwanza kabisa nichukue nafasi hii kuwapongeza viongozi, wachezaji, wanachama na mashabiki wa yanga popote pale walipo kwa kuiunga mkono timu yao ndani na nje ya nchi.
Kusema na ukweli yanga imetengeneza timu ambayo inaanza kuwa tishio barani afrika kwa timu zote, pamoja na uchanga wake kwenye...
Salam salam ndugu, jamaa, washkaji na marafiki. Natoa salam hizi nikiwa sina akili zangu timamu kutokana na jambo nililoshuhudia siku chache nyuma.
Kama kichwa cha habari kinavyosema, mimi ni kijana wa miaka 30+ ila sijafika 35, nipo katikati apo.
Sasa kama mnavyojua ndugu zangu wiki hii...
Habari za mchana wakuu.
Kama thread inavyojieleza hapo juu kwanini kama ukikwazika asubuhi basi siku yako nzima utashinda vibaya na mihasira yani siku itakuwa mbaya kweli.
Leo asubuhi kabisa kuingia tu ofisini nimekutana na incidence kutoka Kwa staff mwenzangu, nilikwazika na kuumia sana...
Peace,
Wakuu jirani yangu amekua ananiambia hua anamwoma nyoka mkubwa nyakati za jioni akikatiza katika uzio wake. (Uzio unaotutenganisha) awali nilidhani ananitania maana manawake huwa waoga waoga tu akiona kijiti anaweza kusema nyoka au pia utani na masikhara
Lakini kwa umri wake sio mtu wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.