gani

Gani is both a given name and a surname. Notable people with the name include:

View More On Wikipedia.org
  1. H

    JamiiForums Tanzania Ni kitu gani kinasababisha usiku mitandao ya internet inakuwa na spidi ya konokono?

    Habari wataalam. Nilikuwa nawaza labda ni simu yangu ina shida. Sasa ina maana simu yangu inasumbua usiku tu mchana haisumbui. Nilisikia pia watu wanasema usiku watumiaji ni wengi sijui traffic inafanyaje sijui inagoma ndio inasababisha hiyo mitandao inakuwa bize..Hilo mi sijui wanajua wenyewe...
  2. R

    JamiiForums Tanzania Ni Waziri gani anaona amefeli na kwanini?

    Kwenye Baraza la Mawaziri la sasa ni yupi kati yao unaona kabisa hana tija? Kwanini unaona kwamba amefeli kutimiza wajibu aliopewa? Je, amefeli kwa sababu amekabidhiwa sekta asiyo na uzoefu nayo au hana sifa kabisa yakuwa Waziri? Nani ungetamani achukue nafasi yake?
  3. P

    JamiiForums Tanzania Hivi inawezekana wananchi tukajulishwa vyanzo vyote vya mapato na kiasi gani tunapata kwa mwezi?

    Tumekuwa tukisomewa budget za wizara zote ila sina kumbukumbu kama wananchi tuliwahi kujulishwa vyanzo vyote vya mapato na kiasi kinachopatikana kwenye kila chanzo kwa mwezi au mwaka. Usikute tunaenda kuomba misaada au kuingia madeni na wakati tunajitosheleza. Hizi taarifa zinapatikana wapi...
  4. HaMachiach

    JamiiForums Tanzania Ukikosa pesa unakuwa na hali gani au mood ipi?

    Mimi nikikosa pesa Huwa najishangaa nakuwa mkali mkali sio kwa watoto hata kwa watu wengine wanao nizunguka huwa sielewi hii hali
  5. Planet Data bundles

    JamiiForums Tanzania Ni dawa gani ya fangas ya kunywa yakuondoa mautango utango mwilini?

    Nimebata vibarango naona vinanirudia rudia nimeambiwa labda viko ndan bora itafute dawa ya kunywa ndo vitaisha Sasa ni dawa gani yenye uhakika kwa ambao mmeshatumia
  6. Genius Man

    JamiiForums Tanzania Vitu gani vya muhimu unatakiwa uwe navyo ili kutuma au kupokea mzigo bandarini?

    Habari, Kwa wale wazoefu wa kutuma mizigo na kupokea kutoka nje ya nchi kwa njia ya bandari hapa Tanzania, hivi ni vitu gani ambavyo ni vya muhimu mtu anatakiwa awe navyo wakati wa kutuma au kupokea mzigo kutoka nje ya nchi?
  7. Trubarg

    JamiiForums Tanzania Wadau mnatumia mbinu gani kupambana na matangazo kwenye Android Phones?

    Habari wadau, Matangazo kwangu mimi yamekuwa kero kubwa sana. Yaani huwezi fanya jambo bila kukutana na adds, apps ambazo haina adds ni Whatsapp, Insta na X. Zingine kufungua kabla hujafanya lolote lazima ukutane na tangazo kama siyo video basi pop ups. Video zingine zinaenda Hadi dakika...
  8. K

    JamiiForums Tanzania Shughuli Gani inaweza nipa faida ya 10Pct net profit Kila mwezi kwa mtahi WA million 20 hapa Dar au kwingineko?

    Wadau naomba mawazo,,ni shughuli Gani naweza kuwekeza 20 million ikawa inanipa faida ya 2million kwa hapa Dar au kwingineko? Ushauri ndugu kwa usoefu wenu
  9. Mjanja M1

    JamiiForums Tanzania Picha: Hili geto ni la mtu kutoka mkoa gani?

    Unahisi mmiliki halali wa hili ghetto atakuwa anatokea mkoa gani?
  10. R

    JamiiForums Tanzania Usingizi umekata nasubiri uteuzi na utenguzi; Je, mimi ni waziri gani?

    Nipo zangu nimegoma kulala nasubiri uteuzi na utenguzi. Mimi nawakiliisha Mawazri wengi waliokata tamaa na waliopoteza focus kwa sababu awajui mteuaji anaambiwa nini na nani. Nitaendelea kulala mchana na kukesha usiku hadi mkeka wa mawaziri utoke. Endapo utatoka na jina langu likawepo si...
  11. meghan markle

    JamiiForums Tanzania Je kwa Tanzania kuna soko la city gani hasa toka nchi kama US?

    Nipo huku kwa Biden najaribu kuangalia fursa za kuleta nyumbani ila ni vizuri kujua demands za soko la nyumbani. Naomba maoni yenu juu ya bidhaa, biashara au huduma zinazoweza kuletwa Tanzania toka USA. Currently nafanya issue ya kupokea oda ya vitu mbali mbali toka kwa watu kisha kuwatumia...
  12. aBuwash

    JamiiForums Tanzania Nina milioni 10, biashara gani mnanishauri nifanye maeneo ya Kahama?

    Wana jamii kwanza habari zenu, Mimi ni kijana naombeni ushauri wenu ni fursa zipi za biashara mnanishauri nifanye kwa hapa Kahama, maana mimi ni mgeni. Naombeni miongozo yenu, naamini hamtaniangusha.
  13. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Mwanamke kama huna bikra na hujaolewa wewe ni chombo cha starehe. Acha kuulizauliza eehh una mpango gani na Mimi au unataka kunichezea?

    Bahati mbaya binti mwingine ana watoto wawili baba tofauti anauliza una mpango gani na Mimi. Mwingine chuchu zimeshaanguka anakuambia sitaki unichezee. Wewe mwenyewe ndiyo umeyachezea maisha yako sisi tunafanya mwendelezo tu. Ungekataa kufanya tendo la ndoa kwa sharti mpaka uolewe kuna kijana...
  14. Mjanja M1

    JamiiForums Tanzania Gari yako ya kwanza ulinunua ukiwa na umri gani?

    Najua humu sio kila mtu anagombania Daladala/Mwendokasi, niambie usafiri wako wa kwanza ulinunua ukiwa na umri wa miaka mingapi..? Mimi 25 niliagiza Mkoko toka Japan. Funguka Mkuu..!
  15. P

    JamiiForums Tanzania Ni kwa kiwango gani TBS iko makini kuhakikisha Wananchi wako salama?

    Huwa kuna vita ya kiuchumi, Huwa kuna makosa ya kiufundi Wananchi tunatumia bidhaa zinazozalishwa nchini na nje ya nchi na uwezo wa ku control kila kitu ni mdogo. Je hatuoni haja ya TBS kuwa taasisi imara na yenye kila resources ili waweze kufungua ofisi sehemu mbali mbali nchini na hivyo...
  16. baba aura

    JamiiForums Tanzania Ni elimu gani muhimu lakini haifundishwi shuleni wala vyuoni?

    Wakuu habari, nimekuwa najiuliza kila siku kuwa ni elimu gani muhimu ilahaifundishwi mashuleni wakuu
  17. Mjanja M1

    JamiiForums Tanzania Bajeti yako ya sikukuu jana ilikuaje, umetumia kiasi gani kusherehekea ?

    Mm Mjanja M1 bajeti yangu ilikuwa ni nauli tu za kunifikisha kwenye majumba ya watu kuupiga Ubweche, maana nimezipitia nyumba kama 5 ivi kwa haraka haraka kuupiga kwenye sikukuu ya jana. Nilitumia Buku tu, 1000/= Vipi wewe bajeti yako ilikuwaje.?
  18. sanalii

    JamiiForums Tanzania Majirani wanaofungulia mziki sauti kubwa wana matatizo gani?

    Yani jirani inakuaje mtu uko kwako, unafungulia mziki hadi nyumba ya 5 au 6 wanasikia? Ni kuwa wanataka na wengine wasikie au wanafurahia kusikia mziki kwa sauti kubwa?
  19. Mjanja M1

    JamiiForums Tanzania Kitu gani ulidanganywa na Dalali halafu baadae ukagundua ukweli?

    Madalali kabla ya kukupangisha chumba/nyumba huwa na maneno mengi mazuri ili utoe pesa, maneno mengine huwa ni uongo pia. Ni jambo gani ulidanganywa na Dalali halafu baadae ukagundua kuwa alikudanganya baada ya kulipa hela ya Kodi?
  20. Doctor Mama Amon

    JamiiForums Tanzania 'Dignitas Infinita': Misingi kumi ya ubinadamu kutoka kwenye mapokeo ya Kikristo iliyotajwa na Papa Francis inawafaa Watanzania kwa kiasi gani?

    I. Abstract The Vatican declaration entitled "Dignitas Infinita" in Latini, meaning "infinite dignity," in English, was issued on 08 April 2024. The Key philosophical argument proposed by this document can be summarized in five steps as follows: "For three millennia of Christianity, all...
Back
Top Bottom