gani

Gani is both a given name and a surname. Notable people with the name include:

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums

    JamiiForums Tanzania Ungependa kiongozi gani aje Jukwaani kutoa majibu na ufafanuzi wa masuala mbalimbali yanayoendelea nchini?

    Habari wadau, Jamiiforums imekuwa sehemu ya wanachama kushiriki kutoa maoni yao, kuelezea kero zao na kupata ufafanuzi juu ya masuala mbalimbali nchini, nafasi inayowawezesha kufanya maamuzi mkiwa na taarifa sahihi na zenye ubora. Wapo viongozi wachache kama Dkt. Gwajima D ambao wamekuwa...
  2. Jaji Mfawidhi

    JamiiForums Tanzania Waandishi wa Habari Tanzania mna matatizo gani?

    Maswali chechefu: 1. Je, gazeti la "Mwanahabari" ni la nani? 2. Je, mwandishi aliyemtaja Naibu Waziri Mkuu, Mhe Dotto Biteko, kama "BITOKE" alikuwa anamuwaza muigizaji EBITOKE? 3. Je, gazeti hili halina Mhariri? 4. Je, gazeti hili linajua kuwa linapaswa kumuomba radhi Mhe Biteko & "Bongolanderz"...
  3. Equation x

    JamiiForums Tanzania Wakuu, nitumie mbinu gani hichi kikombe cha majukumu kinikimbie?

    Kuna mchepuko wangu wa zamani (shepu matata) alinipigia simu mwezi uliopita, na kunijulisha nimpokee rafiki yake anakuja mkoa niliopo kwa ajili ya kushughulikia mambo yake. Ingawa alinisii, nisimsaliti kwa sababu huyo rafiki yake ni pisi kali; mi nikamwambia haina shida, mi sina madhara kwa...
  4. mkarimani feki

    JamiiForums Tanzania Tupeane mbinu: Ni uwekezaji gani wa zao la kudumu ambalo nikilima linaweza kunipa kipato toshelezi?

    Wadau hali ya kiuchumi ya watanzania inajulikana , wengi wetu vipato vinasua sua sio kwa jobless ama employee iwe public ama private entity. Wakuu nimekuja hapa tupeane updates ni mkoa gani ama wapi hapa nchini kwetu unaweza wekeza kwenye zao la kudumu likakupa pesa kwa kipindi kirefu. N.B...
  5. JamiiCheck

    JamiiForums Tanzania Umewahi kuona jambo gani mtandaoni ukaliamini baadaye ukaja kujua si la kweli?

    Kwenye pitapita zetu mtandaoni au nje ya mtandao tunaona machapisho na kusikia vitu vingi, vingine vinashawishi kuviamini kabisa ila baadaye unakuja kugundua havina ukweli wowote. Je, ni kutu gani umewahi kukutana nacho ndani na nje ya mtandao kakiamii ila ukaja kujua siyo kweli baada ya...
  6. Black Butterfly

    JamiiForums Tanzania KERO Responded DAWASA Mitaa ya Tabata Segerea kuna shida gani, Mbona hatupati Maji wiki ya tatu sasa?

    Kuna mambo nchi hii yanachosha sana jamani, hebu fikiria Wiki tatu unakosa Maji ambayo unayalipia kila mwezi, ni utaratibu gani huu? Leo naomba kuwauliza Mamlaka ya Majisafi na Majitaka Dar es Salaam (DAWASA) kuna shida gani katika jiji hili, mbona matatizo ya maji hayaishi? Mvua ziwepo zisiwepo...
  7. L

    JamiiForums Tanzania Kutuma salamu za pongezi kwenye mkutano wa AU kwa miaka saba mfululizo, ni mambo gani anayojali Xi Jinping?

    Hivi karibuni, Rais Xi Jinping wa China alituma salamu za pongezi kwenye Mkutano wa 37 wa Wakuu wa Nchi za Umoja wa Afrika. Huu ni mwaka wa saba mfululizo akiendelea kutuma salamu kwenye mkutano huo. Huu ni mkutano wa kwanza wa kilele kufanywa na Umoja wa Afrika tangu ulipojiunga rasmi na G20...
  8. Wakili wa shetani

    JamiiForums Tanzania Nchi inatakiwa kudeal vipi na uhaba wa dola?

    Njia ya hakika ya kuwa na dola za kutosha ni kuwa na trade surplus. Yaani uuze kuliko unavyonunua. Lakini hili halipo karibu kwa nchi zote za Afrika. Sasa mbinu iliyobaki ni kukabiliana/kumanage uhaba wa dola. Nchi hufanyaje hivyo?
  9. mtwa mkulu

    JamiiForums Tanzania Michezo ya Redio: wewe ulisikiliza mchezo gani?

    Mimi nakumbuka 1. Twende na Wakati - Radio Tanzania 2. Pilika pilika - TBC Taifa 3. Wahapa hapa - Radio free Africa Karibu tukumbushane
  10. Stroke

    JamiiForums Tanzania Tanzania katika mtanziko; Hakuna umeme, sukari wala dola. Serikali inachukua hatua gani?

    Tanzania hakuna umeme, sukari wala dola. Huku tukiambiwa kuwa awamu hii uchumi unakua kuliko awamu yoyote ile, makusanyo ya TRA yakivunja rekodi. Tatizo la umeme nalo limekua sugu bila kupata ufumbuzi wa kudumu na hali ikizidi kuwa mbaya kila siku. Sukari nayo kila mtu anauza anavyojisikia...
  11. Meja Jenerali Isamuhyo

    JamiiForums Tanzania Tuambie huwa unatumia dawa gani ya meno?

    Mimi nimeweka kambi hapa kwa Colgate max fresh, hakika iko vizuri sana. Nilikuwa na tatizo la fizi kutoa damu ila baada ya kutumia hii tatizo limeisha. Tushirikishe wewe huwa unatumia dawa gani unaposwaki meno yako?
  12. Mjanja M1

    JamiiForums Tanzania Kabla hujaiponda Habari hakikisha kwanza upo Jukwaa gani

    Kumekuwa na Tabia kwa baadhi ya watu kudharau habari zinazopandishwa kwenye majukwaa ya JamiiForums. Unakuta Habari imepostiwa kwenye jukwaa la Celebrities inamuhusu msanii eg. Harmonize, Diamond, Nandy n.k ila anatokea mtu from nowhere ana-reply "Tuondolee habari za kitoto" mwengine unakuta...
  13. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Ni movies zipi ambazo regardless na muda hauwezi kuja kuchoka kuziangalia?

    Kuna movies ambazo ni classic kwako. Yani hata kama moja wapo ikiwekwa sasa hivi yani wewe unaiona kama mpya machoni mwako. Hata kama ni ya miaka 50 iliyopita ila bado kwako ni timeless. Zangu ni: 1: Predator 2: Rambo zote 3: Mission impossible zote 4: Sicario part 1 5: Batman: "Batman...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Madhara yanayoweza kusababishwa na ulaji uliokithiri wa chill sauce

    Madhara yapi yanaweza jitokeza katika afya yatokanayo na ulaji chilli sauce kwa wingi
  15. M

    JamiiForums Tanzania Ni magari gani Tanzania showroom yanauzwa chini ya sh `10M

    Habari Husika na kichwa cha habari hapo juu. nina bajeti ya sh hiyo hapo juu nataka kununua gari kutoka showroom hapa bongo lililotoka japan. AU Je naweza agiza gari aina gani na kwa bei hiyo toka japan? Nina bajeti hiyo washkaji nipeni ushauri wa kiukweli sio utani. Asante
  16. Donnyme

    JamiiForums Tanzania Mchakato rahisi wa kuingia Japan

    Naomba kujua jinsi gani rahisi ya kuweza kuingia na kuishi japan kwa urahisi
  17. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Ni balozi wa Nchi gani alifukuzwa Tanzania kwa sababu aliwajua waliomshambulia Lissu?

    Nisiwe na porojo nyingi, nadhani wote mmemsikia Lissu akihojiwa kwenye kipindi cha ajenda. Naomba majibu.
  18. Eternally to be

    JamiiForums Tanzania Ni katika vitu gani inabidi umkaripie mpenzi wako na katika vitu gani inabidi usimkaripie?

    Katika mahusiano kukosoana hata ikiwa kwa ukali si kumshambulia mpenzi wako, bali ni kuboresha uhusiano wenu. Lakini hili litafanikiwa pale tu utakapoweka kila kitu pahala pake, sio sehemu ya kukemea unakaa kimya sehemu ya kuongea kwa upole unafokafoka. Kwa mtazamo wangu dondoo ni hizi hapa...
  19. Lycaon pictus

    JamiiForums Tanzania Ni channel gani yako pendwa zaidi youtube kwa sasa?

    Hii Channel imenishika sana. Kila jumatano na jumapili lazima niitizame. Ndiyo Jua kai yangu. Channel gani yako pendwa zaidi ya you tube kwa sasa? https://youtu.be/WEQOhC-kRAE?si=sDEs7bW1MdsxNJmh
  20. TODAYS

    JamiiForums Tanzania Tupo Oslo, Norway Hiki alichovaa huyu jamaa anayempa mkono Madam President ni kitu gani?

    Pamoja na baridi kali hapa ila tunavumilia tu sababu ni kesho tu tunarudi zetu Dodoma kwenye hali yetu tuliyozoea. Amasema alitaka kumuuliza ila kwa sababu za protocol akashindwa, ni kitu gani hicho?.
Back
Top Bottom