Habari ndugu jamaa na marafi kutoka JF.
Nimejaribu kuwaza kwa sauti hapa, mtu akiwa na mtaji chini ya million moja na yuko mji midogo (Halmashauri) hana shamba.
Je, shughuli gani kati ya (kilimo cha mahindi, maharage, etc) na Biashara (ndogo-ndogo) kinaweza kumusaidia kwa haraka kupata hela ya...
Nani anaweza kutueleza tangu Makonda aanze kudhalilisha watendaji wa umma na wananchi kwa mlango wakusikiliza kero ametatua kero ngapi?
Kuna maeneo ameelekeza watu watengeneze madawati ya kusikiliza kero, alipoondoka kwenye wilaya wakurugenzi wakarudi kwenye basics
Kuna Sehemu mfano Rukwa...
Habari Zenu wadau, natumai mnaendelea kukaza na life popote mlipo. Swali langu ni Moja tu Tangu umeanza kuijua na kuitumia mitandao ya kijamii imekusaidia vipi kuunganisha na watu waliobadili maisha yako?.
Natamani kujua waliofanikiwa kupitia mitandao ya kijamii.
Sababu watu wa kada zote na...
Nimemsikiliza Mzee wangu Komredi Kinana eti akisema wamewapa ruzuku CHADEMA na kuwapakazia akataja na kiasi. MIMI nimuulize mzee wetu, je, CCM inapata ruzuku kiasi gani?
Akisema au akitaja basi nawaambia wananchi watazirai siku hiyo! Maana ni pesa nyingi sana lakini hata haieleweki zinakwenda...
Hili jamaa linalo ongoza Senegal lina sababu gani za msingi kuhairisha uchaguzi ? Au ndio upuuzi wa kung'ang'ania madaraka kama kawaida ya maviongozi ya Afrika ?
Hivi hivi Senegal inaweza kuingia kwenye machafuko ya wenyewe kwa wenyewe halafu baadae lawama anaanza kupewa marekani na ulaya...
Kama vita ya pili ya dunia. Ujerumani na washirika wake walishindwa na majeshi ya muungano. Aliyeshinda vita kwa mujibu wa sheria za kimataifa ana haki gani na wajibu gani juu ya aliyemshinda? Aliyeshindwa naye ana haki na wajibu gani?
Mwenye takwimu naomba anitakwimishe, toka miaka ya 60' utawala wa Mwl Julius Kambarage Nyerere (R.i.p)wilaya gani au jimbo gani la uchaguzi haijabahatika kutoa Naibu au Waziri.
Ni ipi sababu inayofanya sare za polisi na majesh mengine ya wizara ya mambo ya ndani hayavai sare zenye rangi ya mabaka kama sare za jeshi la jwtz, na wakati kiprotoko yote ni majeshi kama majeshi mengine, kwa wenzetu kenya majeshi yao yote yanavaa sare za kijeshi zenye mabaka mabaka tofauti ni...
Mimi kuna siku niko na Pikipiki nimetoka site huko Nyengedi napanda Milima ya Rondo mida ya saa 2 usiku aisee Mara simba huyu hapa nilianguka na Pikipiki nikainyanyua sikugeuka nyuma nilipofika kijijini palepale nilizimia.
Kuna siku tena natoka Makangaka naelekea Kiranjeranje kupanda basi saa...
Wapendwa nawasalimu kwa jina la jamuhuri ya muungano,
Naomba msaada wenu ndugu zangu , nimebahatika kuuza kaeneo kangu nikapata 10M. Sasa natamani kuizalisha kupitia bidhaa zinazotoka China.
Naomba mnijuze ni bidhaa gani zinatoka haraka sana ambazo sio za bei kubwa, yaani m Tanzania wa kawaida...
Kutokana na umeme kutokuwa wa uhakika ni vyema kuangalia plan B.
Ni wapi wanauza power bank za uhakika zisizo feki zenye guarantee?
Wadau wenye kujua tujulishane.
GreatThinkers
Zamani mvi ilkuwa ni uzee na alama ya kula chumvi nyingi. Laki kuna vizee vilikuwa vinapiga age bila mvi.
Hali ya sasa ianatisha vijana wadogo below 40 years mvi kila mahali shida ni nini?
Nambie msosi gani hata ukiwa unaula mwaka mzima huwezi kuuchoka.
Mimi mihogo na makange ya samaki, ukiniandalia nitakula asubuhi mchana na jioni siku zote za maisha yangu.samaki Hakifu kama nyama
kipindi naifahamu Facebook, rafiki yangu mkubwa alikuwa Marehemu Steve Kanumba....na nina uhakika alikuwa ni yeye haswa maana kuna matukio ambayo alikuwa anaya post yalikua real kabisa ya muda huo huo.
Nilikuwa nikichat sana na Kanumba na kiujumla alikuwa social sana kwa hilo namsifu sana...
Sijawahi kutumia hizo makitu sasa nashawishika nijaribu so Ningependa kujua kama hizo cream za kuondoa nywele za makwapani, ndevu ama sehemu za siri sina side effects yoyote?
Habari za jioni wana JF..
Bila kupoteza muda tujikite kwenye mada, ulishawahi kukosea kufanya muamala wa shilingi ngapi kwenye simu yako? Na je, ulifanikiwa kuipata hela au ndio ilipotea mazima.?
Kwa upande wangu, nilishawahi kukosea kutuma kiasi cha elfu themanini ila kwa bahati nzuri ile...
Hapa ni maduu, mabitozi na machizi wa kipindi hiyo.
Hili goma la mtu mzima joslin lina kukumbusha wapi na tukio gani ?
Hili goma lina historia nami nzito sana kila nikikumbuka huwa nabaki kucheka😀 tu kifala yule nyang'au alinijulia haswa😃😃
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.