Naomba kukaribishwa rasmi ktk jukwaa hili.
Mimi ndio mara yangu ya kwanza kununua gari na katika ukoo wetu tuseme mimi ndio wa kwanza kumiliki hiki kitu.
Kiukweli nimeteseka sana mauzauza si mauzauza, sijui ni kuweweseka, yaani kila nikilala naota mara gari limeibiwa, mara naota wezi wanaiba...
Wakuu,
Naombeni ushauri. Nina dogo amemaliza form four, je nimpeleke shule/kozi gani kwa ajili ya future yenye uhakika?
Ana division 1 ya 10
NB: uwezo wa kumsomesha chochote popote upo.
Habari zenu wakuu,
Naamini sisi wote humu tumepitia hatua ya kwenda shule kukuza ufahamu na maarifa yetu kwenye maisha.
Kwa upande wangu, mimi binafsi nilikuwa nalipenda somo la Hesabu, na nilikuwa silipendi somo la Kiswahili.
Vipi wewe Mkuu wangu, ulikuwa unalipenda somo gani na...
Licha ya Takwimu za Matokeo ya Mtihani wa Kidato cha 4 zilizotolewa na Baraza la Mitihani la Tanzania kuonesha Watahiniwa 484,823 (87.65%) wamefaulu Mtihani huo, Watahiniwa 56,149 (10.64%) wamefeli kwa kupata Daraja 0.
Pia, Jumla ya Watahiniwa 274,001 (51.94%) wamepata Daraja la 4 ikiwa ni...
Mambo vipi wakuu?
Mwaka huu mambo yakienda sawa nitamaliza darasa la 7.
Ni shule gani nzuri mnanishauri kwenda nikasome sekondari?
Iwe na sifa zifuatazo:
-Chakula kizuri (muhimu sana)
-Mazingira (library, computer room etc.)
-Inafaulisha.
NB; nataka shule mixer sio boys 2 men.
Kijana mwezangu mambo vipi? Katika mishe zako za utafutaji fanya vyote ila usikose akiba ya hela.
Tutafute pesa kwa juhudi zote ila pia tukumbuke na kuzitunza.
Unaweza kutunza pesa bila ya kuwa na tamaa ya matumizi yasiyo ya lazima?
Kama ni ndio tuambie akiba yako inaweza kufika kiasi gani...
Hili ni kaburi la Bi Hellen G White lina mnara wa Obelisk.Ukiona mnara wowote round about unamaanisha kiungo cha uzazi Cha kiume Cha Nimrodi.
Nimrod mtoto wa haramu ndie aliyejenga mnara WA babel kisha Mungu akawachanganyia lugha wakasambaa duniani.
Baada ya Nimrodi kuuwawa kwa kukatwa katwa...
Ni mchungaji ndio. Wa haya makanisa ya kilokole haya ya akina Tayana-wog . Kiukwel nimesikitishwa na kushikwa na hasira kwa wakati mmoja.
Ni mama yangu mkubwa kabisaa yamemtokea.
Ni kwel sikatai hakulazimishwa kwenda huko kusali lakini ndio hivyo tena mambo ya imani (magumu sana).
Jana wakiwa...
Kwa upande wangu madeni yamenifanya niwe na discipline ya hali ya juu, yaani extremely discipline kwenye pesa.
Pia yamenifanya akili iwe active kwenye kufikiri mipango na yamezidi kunipa courage na ujasiri wa kutafuta zaidi, hakika madeni au kudaiwa kuna raha yake.
1. Malawi
2. Zambia
3. Congo DR
4. Kenya
5. Burundi
6. Uganda
7. Rwanda atokayo member mmoja maarufu jamiiforums ambaye kwa bahati mbaya jina lake kwa sasa ameir seif wete paje kidagaa ( cognizant ) mimi nimelisahau?
8. South Sudan
9. Msumbiji
Wadau salaam.
Serikali ijaribu kutupa jicho huko kwenye viwanda hivi.
Karatasi zinatumika sana mashuleni na hasa mwanzo wa mwaka.Wanafunzi wanaagiziwa kupeleka karatasi shuleni kwa ajili ya kuchapisha mitihani yao.
Miaka ya nyuma kidogo bei ya ream ilikuwa tsh 3500 hadi 5000,lkn ghafla...
Kutokana na kuipa umuhimu mkubwa timu yangu ya taifa, nmejikuta nmepata maumivu makubwa sana. Nahuisi ni depression na sonona. Kila nikiona uzi au post ya taifa stars popote kule naumia zaidi. Sasa wadau tusaidiane mbinu gani nitumie nisiendelee kuumia.
Nimejikuta nina hofu ya kupoteza data zangu hasa baada ya matukio kadhaa ya kupoteza flash, kuibiwa simu, n.k. Data zilizokuwemo humo zilipotea moja kwa moja, ni kumbukumbu za muhimu siwezi kuja kuzipata tena.
Najua kuna online back ups lakini hizi kila mwezi inabidi ulipie na pia unahitaji...
Habari, wajf. Kichwa habari kinaeleza.
1. Mimi kuosha vyombo. Hili tu.
Wewe je ni jambo gani Hilo mpaka linafanya umkumbuke Mkeo sio mchepuko hapa nazungumzia WIFE MATERIAL. Tiririka
Hizi nyumba mpya za tofali za bloku mbona kama zina kuta nyembamba sana? Zinaweza kuhimili uzito wa nyumba na mikiki mikiki ya hali ya hewa? Standard inataka ukuta wa nje wa nyumba uwe na unene kiasi gani?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.