gani

Gani is both a given name and a surname. Notable people with the name include:

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Meli ya misaada kutoka Spain imetia nanga Gaza. Sasa bandari anayojenga Marekani ina haja gani?

    Meli yenye misaada kwa ajili ya watu wa Gaza waliozuiliwa chakula na Mayahudi imetia nanga na kuanza kuteremsha chakula angalau kidogo. Meli hiyo ilianza safari takriban siku 4 zilizopita kutoka nchini Spain na kwa muda mfupi kufika eneo hilo bila usumbufu. Katika hali hiyo ile nia ya Marekani...
  2. JamiiForums Tanzania Ni kitu gani ambacho hauna na wala hakikusumbui kichwa?

    Mimi binafsi sina IPhone na wala sijali kabisa, vipi wewe?
  3. JamiiForums Tanzania Choo cha kukaa ni uchafu tu, sasa unajisafisha kwa namna gani?

    Nilienda sehemu moja ugenini, kama ilivyo ada ugenini hata ukae siku mbili Lazima ujibane usiende chooni hovyo hovyo, siku ya tatu nikaona hali sio poa acha niende chooni kufanya harakati muhimu. Cha kushangaza nikakuta choo cha kukaa, sijawai kukitumia before, nikapiga mahesabu maana...
  4. R

    JamiiForums Tanzania Ally Gugu Katibu Mkuu WMNN ni nani na ana uzoefu gani katika medali za siasa na mipango ya uchaguzi?

    Nimpongeze Karibu Mkuu aliyetanguliwa wa Wizara ya Mambo ya Ndani mdogo wetu Gaspar Mamuya kwa utumishi wa kukumbukwa katika wizara hiyo. Huyu Bwana niliwahi kukutana naye kwenye mgogoro flani wa taasisi za dini, alitoa ushauri kama mzazi na hakuwa na majivuno. Pamoja na hayo wizara ilitulia...
  5. K

    JamiiForums Tanzania Pump Gani naweza kufunga kumwaga maji mita 600 hadi 1000 kutika chanzo cha maji?

    Wadau wa kilimo naomba ushauli ninashamba la mapunga liko kati ya mita 6000 Hadi MITA elf 1 ,je pump zipi ninunue?JE petrol nch 3 hadi 4 au pump ya diesel nchi ya Bomba la nchi 3 u nne au unavyoona inafaa
  6. G

    JamiiForums Tanzania Tukutane hapa tuliopata ubaba kabla ya ndoa, ilikuwaje, ulichukua maaamuzi gani, ndie uliemuoa?

    Nakumbuka jioni ya siku kama ya leo kuelekea weekend nilimuita aje tuspend kwangu. Mida kama hii nashangaa msosi naoukuta mezani sio kawaida yake kuniandalia akija, aliandaa juice nzito, pilau la nazi na njegere. nimemaliza kula namsifu kwa mapishi yake ajiandae nae nimle, ndio akanifungukia...
  7. JamiiForums Tanzania Kuna madhara gani ya kukaa muda mrefu bila ya kuwa na mahusiano?

    Wana JF ningependa tulikunjue hili jamvi pamoja ase! Kuna madhara gani ya kukaa muda mrefu bila ya kuwa na mahusiano?
  8. JamiiForums Tanzania Sababu gani inafanya mji Gairo kuwa na matuta mengi Barabarani

    Habari wadau, Naomba kufahamu sababu inayofanya mji wa Gairo kuwekwa matuta mengi kuliko mji wowote Tanzania. Matuta yanaanzia pale unaingia mjini mpaka unapoumalza mji zaidi ya km 10.
  9. JamiiForums Tanzania Jina gani la mchezaji huwa linakuvutia pale linapotamkwa?

    Kuna majina ya wachezaji huwa yanavutia hasa pale yanapotamkwa. Yapo mengi yanayonivutia miongoni mwao ni haya, Juan Roman Riquelme Kevin Prince Boateng George Magere Masatu Jina gani huwa linakuvutia?
  10. JamiiForums Tanzania Tuisaidie Polisi: Je, Dawati la Jinsia la Polisi linahitaji maboresho? Tujadili na kushauri

    Nimesoma malalamiko ya wananchi wengi kulalamikia utendaji usiokidhi viwango wa Madawati ya Jinsia yaliyopo vituo vya polisi nchini. USULI Ujio wa Dawati la Jinsia ulishereheshwa na kukithiri kwa vitendo ukatili kwenye jamii, na ikaonekana sehemu kubwa ya ukatili umejaa kwenye mahusiano ambapo...
  11. JamiiForums Tanzania Biashara inayostawi kati ya China na nchi za nje inatoa ishara gani?

    Takwimu zilizotolewa hivi karibuni na Idara Kuu ya Forodha ya China zinaonesha kuwa, kuanzia mwezi Januari hadi Februari mwaka huu, thamani ya jumla ya biashara ya bidhaa kati ya China na nchi za nje ilikuwa dola bilioni 930.86 za Kimarekani, ambalo ni ongezeko la asilimia 5.5 ikilinganishwa na...
  12. K

    JamiiForums Tanzania Haya majenereta yanaweza kutoa na kupeleka maji umbali gani?

    Jamani nimeambatanisha picha za maelezo ya generator mbili za kuvuta na kusukuma maji .Naomba mtaalamu aniambie generator hizi Kila Moja inaweza kuvuta maki kutoka vhanzo kwa umbali Gani na kutupa majo Kwa umbali Gani?na kiwango cha maji yakusukumwa kwa dakika ni kiasi gani?
  13. G

    JamiiForums Tanzania Nataka niwahi kuhudumiwa TRA na sina connection. Niende muda gani nisaidiwe mapema?

    Naombeni muongozo. Sina connection TRA. Jana nimeenda mchana kuna foleni kali sana. Shida yangu ni kupewa tax clearance ya mwaka huu kwa biashara inayoendelea.
  14. JamiiForums Tanzania Pambano: Nchi gani iko juu kwa wanawake wenye mpindo mzuri ama miili mizuri yenye makalio ya viwango kati ya Wanyarwanda na Waganda?

    Katika hili pambano mimi binafsi kusema ule ukweli nikiangalia ukanda wa maziwa makuu hapa Afrika Mashariki, kwa ujumla inapokuja swala la shepu hasa mpindo mzuri wa makalio ama Matrakoo Wanyarwanda hadi sasa wanaongoza kwa mbali sana, japo hawajazagaa sana huko Dubai na Arabuni ila hawa viumbe...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Uchumi umekua, wananchi wana/wataendelea kuwa maskini," Aina gani hii ya uchumi isiyo na tija kwa mwananchi?

    Katika taarifa ya ripoti ya utafiti wa REPOA unasomeka kwamba uchumi wa nchi yetu unakua kwa kasi lakini nao umaskini wa wananchi unaongezeka kwa kasi. Hoja yangu ni kwamba huu uchumi usio na manufaa kwa wananchi unatengenezwa na nani na kwa manufaa ya nani? Niombe msaada wa elimu kwa...
  16. JamiiForums Tanzania Kitu gani watu wananunua kwa pesa nyingi kwa lengo la kupata STATUS?

    Kitu gani watu wananunua kwa pesa nyingi kwa lengo la kupata STATUS, lakini ili mtu a recognize hicho kitu ni cha gharama ni either awe nacho au ni mfatiliaji sana wa vitu hivyo?
  17. U

    JamiiForums Tanzania Kuna internation school Gani nzuri Dodoma

    Napata shida sana baada ya kuhamishwa kikazi kuja dodoma nahitaji international school mkoa wa Dodoma , Kwa mnaojua nisaidieni nipeleke wanangu
  18. P

    JamiiForums Tanzania Toka Dotto Biteko ateuliwe kuwa Naibu Waziri Mkuu, amefanya maajabu gani kwenye cheo hicho?

    Wakuu kwema? Wajuvi noamba mtujuze kwenye jambo hili. Toka Biteko ateuliwe kuwa Naibu Waziri Mkuu amefanya mambo gani mpaka sasa kulingana na nafasi yake hiyo? Huu mshahara tunaomlipa kutoka mifukoni mwetu kama Naibu Waziri Mkuu anaula kutokana na kazi gani alizofanya mpaka sasa? Anautendea...
  19. JamiiForums Tanzania Drama haziishi. Tujuzane huko ulipo sukari inauzwa bei gani?

    Tusikwepe ukweli kwamba kipindi cha mfungo wa mwezi Mtukufu Ramadan, kimekuwa ni kipindi kinachokuja na neema ya unafuu wa maisha kwa jamii hususani hata wale wasiofunga yaani Wagalatia na wasio na dini. Unafuu wa maisha unatokana na kwamba, Wachuuzi wengi wanachuma rehma na fadhila zitokanazo...
  20. M

    JamiiForums Tanzania Ni biashara gani inaweza ingiza atleast faida ya TZS 5M kama nikiwekeza TZS 30M?

    Habari wana jf, Naomba mwenye business idea ambayo nikiwekeza 30m naweza pata faida ya atleast 5m per month.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…