chadema

CHADEMA (Chama cha Demokrasia na Maendeleo)
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ni chama cha kiasiasa nchini Tanzania ambacho kilianzishwa tarehe 28 Mei 1992 na mwanasiasa mkongwe Edwin Mtei, aliyewahi kuwa Waziri wa Fedha katika miaka 1997 hadi 1979.

Mwaka 2000 CHADEMA hakikuwa na mgombea wa Urais. Mwaka 2005 mgombea wa CHADEMA Freeman Mbowe alikuwa namba tatu kati ya wagombea kumi akapata asilimia 5.88 za kura.

Mwaka 2010 CHADEMA ilipata asilimia 27.1% na mgombea Urais wa chama Wilbroad Peter Slaa na kura 4,627,923 kwa 31.75%.

Hata hivyo CHADEMA imekataa matokeo mengi kutokana na mchakato mzima kuwa mikononi mwa Tume ya Uchaguzi isiyo huru.
  1. M

    Chadema ijifunze kwa Lipumba na Selasini kuhusu LEMA

    Lipumba kachukua madaraka kwa nguvu dhidi ya Maalim Seif Selasini kachukua madaraka kwa nguvu dhidi ya Mbatia. Hivi sasa wote wameivua vyama vyao na wao wamefukuzwa. Chadema wajitahadhari sana na LEMA. Wajifunze kupitia NCCR na CUF
  2. Godbless Lema is powerful politician within chadema circle, because of the weak chadema national leaders with weak management skills & strategies

    Who do you think might have the boldness to respond to Godbless Lema’s very sharp speech before the Central Committee? Can real anybody within chadema central committee has the political capacity and ability to deconstruct or destroy that powerful speech, which caused confusions among chadema...
  3. Kwanini CHADEMA wamemtelekeza Tundu Lissu Gerezani?

    Kwa mda mrefu nimekua nikifuatilia Sakata la Tundu Lissu naona Chama chake hakijafanya vya kutosha katika kumpigania awe huru na badala yake Wanaharakati ndiyo wamekua wakimpazia sauti. Hatua ya yeye Kutangaza kugoma kula ilikua inaonesha anajibambania mwenyewe japo naye ali ulaghai Umma kwani...
  4. E

    Lema ajue CHADEMA haimiliki siasa za upinzani Tanzania, wanaharakati wana haki ya kumkosoa

    Mfumo wa vyama vingi ulirejeshwa Tanzania mwaka 1992 kwa shinikizo la Mwalimu Julius Nyerere, lakini Katiba haikufanyiwa mabadiliko ya kutosha kuhakikisha ushindani wa kisiasa wenye usawa. Ibara ya 3 ilitambua mfumo huo, lakini mamlaka makubwa ya Rais, usimamizi wa uchaguzi na mazingira ya...
  5. Mada Maalum: Kuelekea Novemba 6 – hatma ya kesi ya Tundu Lissu na maswali mazito kuhusu haki na utawala wa sheria Tanzania

    Macho na masikio ya wadau wa siasa, sheria na haki za binadamu yanaelekezwa katika mwenendo wa kesi inayomkabili Tundu Lissu. Tarehe hii inazua matarajio na maswali mbalimbali kuhusu hatua zinazofuata katika shauri hilo, hoja zilizowasilishwa na pande husika na namna mahakama itakavyotekeleza...
  6. M

    Lema ujiuzulu chadema

    Namshauri ajiuzulu Chadema . Aende chauma akaungane na Yericko Nyerere apambane na mambe , Maria na Hilder na Lissu. Ndani ya chadema hawawezi
  7. Baada ya kumsikiliza Lema, itoshe kusema kuna uporaji mkubwa wa haki za watu CHADEMA, wanatenda tofauti na maneno yao

    Kwa mliokuja Inbox kutaka maoni yangu kuhusu press conference ya Lema tafadhali someni huu uzi kwa makini. Nitaandika kwa ufupi sana. Kwa ufupi ni kuwa Lema kakivua nguo chama chake na uongozi uliopo sasa. Haya ni mambo kadhaa niliyoona; 1. CHADEMA inahubiri kutaka haki ila inatenda tofauti...
  8. Wanachofeli CHADEMA ni kuuhusisha Ukristo hususani Ukatoliki na ukombozi wa nchi

    Suala la udini kwa namna moja au nyingine ndilo kikwazo kikubwa kinachorudisha nyuma ukombozi wa nchi. Kuna waislamu wanataka kuwaunga mkono chadema ila kila wakifikiria uongozi mzima wa chadema umejaa wakristo na wanahusisha moja kwa moja kanisa kwenye ukombozi wa nchi ndipo wanapofeli mazima...
  9. Mambo mengine CHADEMA jifunzeni Kwa CCM Lema Leo akitakiwa kua amefukuzwa CHADEMA

    CCM hawanga utani linapokuja suala la kulinda msalahi ya watu wachache Nchimbi tu kudai Katiba mpya CCM wakamfukuza wanasema hakuna mkubwa linapokuja maslahi ya watu wachache wenye CCM. Sasa chadema kwa ajili ya Maslahi ya wengi na kutoa Onyo kali kwa wengine wenye mawazo kama Lema kupelekea...
  10. CHADEMA shtukeni, kuna mkakati wa kumhukumu Lissu kifungo cha miaka 5, hadi 2031

    Endapo taarifa hizi toka vyanzo vya ndani ni za kweli; basi tuna safari ngumu sana kuelekea mbele. Johari ametoa maelekezo kwa Ndunguru kuwa watumie reference ya Kesi ya Hatibu Gandhi na wenzake (inayojulikana kama Hatibu Gandhi and Others v. Republic, Criminal Appeal No. 3 of 1986) ili...
  11. M

    Dr. Slaa: Kwa Press ya jana, Lema kajiweka wazi kuwa ndiye agent wa CCM kuwauza wenzake ndani ya CHADEMA

    Dr Slaa amlipua Lema kuhusu Press conference yake. https://youtu.be/3GiiOtpAgPw?si=tapw60NlNh7xEUpW
  12. K

    Chadema kuweni makini fuatilieni ushahidi kwenye swala la Lema

    Chadema kuweni makini fuatilieni ushahidi kwenye swala la Lema. Watu wa CCM wanataka kuleta mchafuko kwa kumtumia Lema na kumsingizia. Habari za sirisiri ambazo wana harakati wanapewa wawe makini na hizo habari inawezekana kabisa wanao wapa habari wanawapandikizia mambo ya uzushi.
  13. N

    Ndugu zangu wa CHADEMA, kutuma salamu za pole ya msiba kwa IGP Wambura sio ishara ya udhaifu bali ni ukomavu mkubwa sana kisiasa (Political Maturity)

    NB: Nina Akili Ndogo Sana. Mimi sio mwana CHADEMA. Mimi sio mwana CCM. Mimi sina political affiliations na Chama chochote kile cha kisiasa hapa Tanzania/duniani kwa ujumla. Baba yangu Lissu (hajanizaa ila ninamheshimu sana) alipokuwa Mahakamani alisema kwa sauti "mpelekeeni mama (Rais Samia)...
  14. Katibu wa CHADEMA mkoa wa Mbeya Hamadi Mbeyale akamatwa na polisi, nyumbani kwake na kufanyiwa upekuzi

    Katibu wa Mkoa wa Mbeya Hamadi Mbeyale amekamatwa na Jeshi la Polisi tangu Jana Tarehe 01 Novemba, 2026 majira ya Jioni na muda huu wametoka nyumbani kwake kufanya Upekuzi bila kusema Wanamshikilia kwa Kosa Gani, Wamempeleka katika Kituo Cha Polisi (Central). Soma Pia: Katibu wa CHADEMA...
  15. Chadema tuliwaonya sana hamkusikia

    Wanaukumbi. TULIWAONYA sana kuwa mnakaribisha wanaharakati kwenye chama chenu wanakwenda kukuvunja na kukibomoa na kuwaondoka kabisa kwenye siasa hamkusikia. TULIWAAMBIA wanatumia chama chenu kufanya ajenda zao za harakati hamkuwa mnasikia na matokea yake mkaona hawa ni wenzenu na mna safari...
  16. Msipomsikiliza Lema CHADEMA mmekwisha

    Mwenye kusikia na asikie, "Nabii" lema kashachora picha/sand model ya shimo ambalo Chadema inaenda kuingia kuanzia sasa kama itaendelea kuendeshwa na wanaharakati ambao yeye Lema kasema kwamba HAWAPO GROUND kwa maana kwamba hawajui nini kinaendelea huku ndani. NABII lema amesema Chuki na Vurugu...
  17. Ile model iliyobuniwa na Magufuli ili kuivurugua CHADEMA sasa imefanikiwa

    Ni ngumu sana mmea kukua kwa afya kama mizizi yake inachokonelewa chokonolewa. NJAA NA HOFU HAVIKAI MBALI.
  18. Maoni yangu: Lema ni dalali na anataka CHADEMA irudi kwenye udalali

    Kwa press ya Jana ya Lema amekiri kwa kauli zake kwamba yeye ni dalali na anataka CHADEMA irudi kwenye udalali. 1. Kwanza kabisa, Lema kanishtua sana aliposema ya kwamba alikutana na Makamu wa Rais pamoja na Mwanasheria Mkuu wa serikali. Nimeshangaa sana, kwa sababu hata machawa wa CCM na...
  19. L

    CHADEMA Wataka Lema Apewe Wenyekiti wa Chama Taifa Ili kukivusha Chama na kukiondoa katika Makucha ya wanaharakati uchwara

    Ndugu zangu Watanzania, Hiyo ndio habari ya Mjini kwa sasa ambapo wana CHADEMA wana taka Lema apewe mikoba ya Wenyekiti wa Chama Taifa ili awavushe na kukiunganisha chama. Wanaona Lema ni mtu sahihi mwenye uwezo wa kurejesha umoja nidhamu na kukiondoa chama kutoka mikononi Mwa Wanaharakati...
  20. Z

    Ahsante sana Lema, nakubaliana naye 100% CHADEMA ya sasa inapaswa kufutwa haraka sana.

    Hakuna kisiki kigumu kilikuwa ndani ya Chadema kama Lema. Leo hii unamsikia Lema anawatuhumu viongozi wake hadharani, basi jua kuna jtatizo zito sana. Kwa maelezo ya Lema ni kwamba kwa sasa Chadema hakifai kuwa Chama cha siasa na anashangaa kwa nini Msajili wa vyama anachelewa kukifuta mara...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…