Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ni chama cha kiasiasa nchini Tanzania ambacho kilianzishwa tarehe 28 Mei 1992 na mwanasiasa mkongwe Edwin Mtei, aliyewahi kuwa Waziri wa Fedha katika miaka 1997 hadi 1979.
Mwaka 2000 CHADEMA hakikuwa na mgombea wa Urais. Mwaka 2005 mgombea wa CHADEMA Freeman Mbowe alikuwa namba tatu kati ya wagombea kumi akapata asilimia 5.88 za kura.
Mwaka 2010 CHADEMA ilipata asilimia 27.1% na mgombea Urais wa chama Wilbroad Peter Slaa na kura 4,627,923 kwa 31.75%.
Hata hivyo CHADEMA imekataa matokeo mengi kutokana na mchakato mzima kuwa mikononi mwa Tume ya Uchaguzi isiyo huru.
Licha kuongeza chuki na hasira miongoni wa wanachadema na watanzania kwa ujumla, athari za hukumu hii ni kuwafanya viongozi wa CHADEMA na watanzania kwa ujumla kuona hawana tena cha kupoteza iwepo na wao watashitakiwa na kufungwa jela
Kwakweli Mange Kimambi anatutukana sana ss watanzania, niseme tu kuwa Hii laana haitamuacha salama. nawaasa chadema watamke kutofungamana na kauli za matusi za Mange kimambi otherwise hii laana itaendelea kuwatafuna chadema kwenye maisha Yao yote ya Siasa.
Tunachotakiwa kujua kwamba hakuna...
There is perhaps no greater tragedy in the political history of a nation than witnessing an institution entrusted with safeguarding national unity gradually become a source of institutional dysfunction, political antagonism and recurring societal discontent.
My last wish is not to witness the...
Lissu ni mharifu kwa Mujibu wa hukumu ya Leo ya Mahakama, na katiba ya Nchi kifungu no. 25 kifungu kidogo no. 3 cha utumishi wa umma.
hivyo basi ni vema mkaitisha uchaguzi kuchagua mwenyekiti mwingine iwe nje ya hawa waliopo kwasababu wanakashifa
Nawashauri chadema katika kuchagua mwenyekiti...
Salaam jamiiforum
Tundu Lissu ni mwanasheria msomi na mbobezi lakini pia nimependa ni jinsi gani ana kumbukumbu kiasi kile cha kuhifadhi vitu kichwani.
Lakini ameponzwa na Vitu vitatu tu
👉KULEWA SIFA
Naam Kwa kujua kwake mambo mengi alijkuta anakuwa muwazi na mkweli kupitiliza ,watu wakamuita...
Baadhi ya wanachama na viongozi wa CHADEMA wakizuiwa kuingia ndani ya Mahakama Kuu, Masijala ya Dar es Salaam, huku Jeshi la Polisi likiwatoa katika eneo la lango la mahakama asubuhi hii.
Pia soma: UPDATES: Yanayojiri Mahakamani kwenye Hukumu ya Kesi ya Uhaini dhidi ya Mwenyekiti wa...
Lengo ni kufungwa kwa miaka mitano au zaidi ili asishiriki siasa hadi kipindi cha Samia kipite.
Asalaam aleikumu.
Update ya hukumu ya kesi ya Uhaini inayomkabili Tundu Lisuu unaweza kuifuatilia hapa
Hukumu ya Tundu Lissu inaenda kusomwa leo November 6, 2026, tukio kubwa ambalo kila Mtanzania, mwanademokrasia, mpigania haki na mpenda haki, uhuru wa mahakama, uhuru wa maoni, kukusanyika na uraia kwa ujumla anataka kujua litaenda vipi.
Ni kama wakati ule wa skendo za Richmond, Escrow na...
Kuna watu wanaodai CHADEMA imetekwa na Wanaharakati. Ni kwamba katiba ya CHADEMA inaeleza wazi mtu anatakiwa awe mwanaharakati wa kweli wa kudai haki.
Ibara ya 10.3(iii) – Maadili ya Wanachama, katika Kanuni za CHADEMA za mwaka 2019.
Kinasema:
“Kuwa shupavu na mwanaharakati wa kweli katika...
Mmeamua kukaza fuvu ? Kwamba nyinyo ndio Wamiliki wa Majeshi?.
Kwamba liwalo na liwe, Wapuuzi mmeamua Kuanguka na Uchumi wa NCHI !!.
Sasa Kuanguka mnaanguka, Nchi itabaki imesimama.
Huwezi Kuua watu namna ile Oktoba 29, alafu Dunia ikuangalie tu , Haiwezekani !!!.
Bila TUNDU LISSU ...
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kiliomba rasmi uongozi wa Mahakama kuruhusu matangazo ya moja kwa moja (live streaming) ya hukumu ya kesi ya uhaini inayomkabili Mwenyekiti wake, Tundu Lissu.
Hatua hii ilitangazwa mapema ili kutoa fursa kwa Watanzania na wadau wa demokrasia ndani na...
Serikali ya CCM inajaribu kupambana na Chadema ili kuwakatisha tamaa lakini kwa ninavoona hawataweza hiki chama kimegoma kufuatia maelekezo ya CCM.
Hakuna namna CCM lazima ikubaliane na matakwa ya wananchi unaweza kuchelewesha kwa muda lakini haitaweza kuzuia mabadiliko.
Mnakumbuka vikao vya msimbazi ambavyo viliongozwa na Fr Kitima kwa lengo la kuhakikisha Chadema inachukuliwa kuwa mali ya kanisa katoliki na Maria na Taasisi zake wakichukua dhamana na kuhakikisha linatokea. Vile vikao ndio vikamtumbukiza Lissu akagombee uenyekiti ili Mbowe atoke...
NB: Nina Akili Ndogo Sana
Kumbukizi Ya Mwaka Mmoja (1) tangu niwashauri viongozi wa CHADEMA na CCM kwenda katika meza ya mazungumzo baada ya Uchaguzi October 2025. Diplomacy should always be given a chance before the first bullet is shot. "MILITARY ACTION" must only be a decision of last...
baada
ccm
chademachadema na ccm
katika
kumbukizi
kwenda
mazungumzo
meza
mmoja
mwaka
mwaka mmoja
uchaguzi
viongozi
viongozi wa chadema
viongozi wa vyama
vyama
Kwa kweli yanayoendelea CHADEMA yanakatisha sana tamaa. Chama kimejaa wasaliti ambao wengine hata sisi ambao hatujasoma saikolojia ya binadamu, ukimwona tu unajua huyu ni msaliti.
Bahati mbaya, wako hadi kamati kuu ya chama, kuona nani anachangia nini kwenye kikao, ili ashughulikiwe..
Huenda...
Lipumba kachukua madaraka kwa nguvu dhidi ya Maalim Seif Selasini kachukua madaraka kwa nguvu dhidi ya Mbatia.
Hivi sasa wote wameivua vyama vyao na wao wamefukuzwa.
Chadema wajitahadhari sana na LEMA.
Wajifunze kupitia NCCR na CUF
Who do you think might have the boldness to respond to Godbless Lema’s very sharp speech before the Central Committee?
Can real anybody within chadema central committee has the political capacity and ability to deconstruct or destroy that powerful speech, which caused confusions among chadema...
Kwa mda mrefu nimekua nikifuatilia Sakata la Tundu Lissu naona Chama chake hakijafanya vya kutosha katika kumpigania awe huru na badala yake Wanaharakati ndiyo wamekua wakimpazia sauti.
Hatua ya yeye Kutangaza kugoma kula ilikua inaonesha anajibambania mwenyewe japo naye ali ulaghai Umma kwani...