biashara

  1. I

    JamiiForums Tanzania Taratibu za kusajili biashara ya mabasi ya mikoani Tanzania

    Habari, Kwa wanaofahamu, naombeni utaratibu wa kufuata nikitaka kupata kibali cha kufanya biashara ya mabasi Tanzania. Nataka nianze na mabasi 4 route ya Dar-Mwanza.
  2. A

    JamiiForums Tanzania Nataka kuanza biashara ya viungo (spices)

    Nataka nianze kufanya biashara ya viungo kwa kuvifunga kisasa kwenye chupa na kuvipqki kisasa. Maana nimekuwa nikiviuza kwa kuvifunga kwenyeji dukani kwangu. Wazoefu wanipe uzoefu biashara ikoje mikoa Gani ina wateja nitumie njia Gani kujipenyeza sokoni.
  3. JamiiForums Tanzania Misingi 21 Ya Biashara Itakayo fikisha Buashara Yako Hadi Kwa Wajukuu Zako [ MBA YA MCHONGO]

    Hello! Habari za muda huu.... Wazaramo wanasema "Kidire Mwali" Kama hujui kizaramo basi fahamu maana yake ni Mwali yuko uwanjani... Leo ndo ile siku yetu maalumu ya kuanza darasa letu lile la MBA ya MCHONGO Misingi 21 ya Biashara itakayofikisha Biashara yako kwa wajukuu zako...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Biashara ni mtaji na location vingine mbwembwe tu

    Ukiwa n'a uwezo WA kufata bidhaa zinapotengenzwa 90%umewin kwenye biashara Tayar Mfano kama Una uwezo WA kuchukua mzigo WA nguo kutoka china ,uturuki , Thailand n.k biashara yako itasimama Sababu. mzigo ukishafika Tanzania unakua n'a wateja WA uhakika ,hakuna kubagein, unauza mzigo mkubwa...
  5. JamiiForums Tanzania Je, wafanyabiashara wenye vituo vya mafuta wanataka kuficha mafuta?

    Nimekuja Mbeya, kuna baadhi ya vituo vya mafuta wanasema hawana mafuta ya petrol. Hali hii sio mara ya kwanza kwa mwaka huu hapa nchini. Je, kuna uwezekano wa kuwa ni ule muendelezo wa wafanyabiashara kuihujumu serikali na wananchi?
  6. K

    JamiiForums Tanzania Serikali ipunguze usumbufu kwa wafanyabiashara wanapoenda kukata leseni za biashara

    Mwaka huu wa Fedha kumekuwa na usumbufu mkubwa kwa wafanyabiashara wanapoenda kukata leseni za biashara. Mfanyabiashara anapofika kwa Afisa Biashara anaelekezwa kufanya taratibu zote akitakiwa kwenda kwenye Internet cafe ili kukamilisha taratibu zote za kupata leseni. Aidha wanaombwa na...
  7. JamiiForums Tanzania Biashara ya spare za pikipiki au spare za magari?

    Wakuu Habari za majukumu? Nimekuwa nikiongea na fundi mmoja ni rafiki yangu sana yupo kwenye garage moja ya pikipiki maeneo ya gongo la mboto. Akawa ananiambia mdogo wangu (sababu kanizidi kiumri)hii biashara ya spare za pikipiki ni nzuri, nikamuuliza kwanini? Halafu nikamuuliza mbona nasikia...
  8. JamiiForums Tanzania Mwenye uzefu wa Biashara ya spare za pikipiki au spare za magari tuelezee kiundani juu ya biashara hizi

    Wakuu Habari za majukumu? Nimekuwa nikiongea na fundi mmoja ni rafiki yangu sana yupo kwenye garage moja ya pikipiki maeneo ya Gongo la Mboto. Akawa ananiambia mdogo wangu (sababu kanizidi kiumri) hii biashara ya spare za pikipiki ni nzuri, nikamuuliza kwanini? Halafu nikamuuliza mbona nasikia...
  9. JamiiForums Tanzania Biashara ya pochi ndogondogo

    Biashara ya pochi ndogondogo za kike nainai chambuu 💥4000 Kuanzia pisi 20 🔥5000 Kuanzia Pisi 10 ⚡6000 Kuanzia Pisi 2 🌟7000 Pisi 1 (Rejareja) 😋Unaweza kuuza 7000-10000 📍Tupo Morogoro Mjini Mtaa Wa Konga Jirani Na Aika Lodge 0713055107
  10. JamiiForums Tanzania Biashara ya matunda imemtandika mpenzi wangu vikali

    Kiufupi kala loss ya ajabu kuwahi kuwepo duniani Kadamkia matunda ya Tsh. 30k Mabibo, kayakata kata yote ili atengeneze dry fruti. Kafungasha take away 50, lakini hakupata wateja kabisa. Matunda yangeharibika. Kanipigia simu huku analia na kuniambia tayari keshawagawia majirani Other Cost...
  11. JamiiForums Tanzania Bila kuweka kiatu cha mtoto kwenye gari ya biashara huwezi kutoboa

    Karibu Afrika. Jana wakati kichwa cha treni yetu ya SGR inafanya majaribio nilishtuka kuona imefungwa kiatu cha mtoto. Ndio nilipowauliza wazee wakanipa majibu. Huwezi kubreak even bila kuweka kiatu cha mtoto kwenye gari ya biashara wataalam wanasema. Traffic wakipiga tochi wanaona gari...
  12. JamiiForums Tanzania Tanzania Mwenyeji wa Kongamano la Pili la AfCFTA la Wanawake katika Biashara

    Waziri wa Viwanda na Biashara Mhe. Dkt. Ashatu Kijaji ametoa wito kwa wanawake wa Tanzania kushiriki Kongamano la Pili la Wanawake katika Biashara chini ya Mkataba wa eneo huru la Biashara Afrika (AfCFTA) litakalofanyika tarehe 06 hadi 08 Disemba, 2023 katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha...
  13. JamiiForums Tanzania Mimba ni biashara kubwa mjini

    Kwa sisi wakazi wa jiji la maraha, jiji la bandari tunakubaliana kitu kimoja, jiji letu lina watu wengi wenye matatizo ya nguvu za kiume na low sperms count, yaani wanaume ni wagonjwa kuliko wanawake kwenye afya ya uzazi. Sasa basi, kumekuwa na madalali wanawakutanisha wanaume wenye màtatizo ya...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Je, inaruhusiwa kuwekeza kwenye biashara ya kufuga nguruwe?

    Naombeni umshauri wale ambao mnaifahamu kuhusu dini Mimi ni muislamu Jina kwa maana siswali Ila familia yetu ni waislam. Katika kutafuta Biashara ya nyumbani hisiyo na usumbufu sana nikagundua NGURUWE wanafaa sasa ninaamini kwamba nikifuga nitatengwa au nitaonekana nimehasi dini. Sasa...
  15. JamiiForums Tanzania Umewahi kuwa na bidhaa zisizouzika ukabaki nazo kwa kushindwa kupata hata mteja wa bei ya hasara?

    Nakumbuka 2016 niliwahi kuwa na duka la vifaa vya computer, nikaona nijiongeze ongeze nikaweka mabegi ya laptop kwa mtaji wa milioni 1 nikiamini kwamba yatatoka fasta sana, yaani hayo mabegi yalikuwa hayauziki kabisa, nilitaka niyauze kwa bei ya hasara lakini wapi. Hadi nafungua duka lingine...
  16. JamiiForums Tanzania Wafanyabiashara wa madawa ya kulevya wana nguvu sana (Video ipo chini)

    Jalisco New Generation Cartel au CJNG, ambayo zamani ilijulikana kama Los Mata Zetas, ni muungano wa uhalifu uliopangwa wa Mexico wenye makao yake makuu mjini Jalisco ambao unaongozwa na Nemesio Oseguera Cervantes, mmoja wa wafanyabiashara wanaotafutwa zaidi duniani...
  17. F

    JamiiForums Tanzania Kama wewe unajua kuuza. Biashara ya U MC wa Harusi ndie biashara nyepesi kukupa faida ya milioni 20 kwa mwezi. Kwa mtaji wa mdomo wako tu na suti

    Habari wadau. Kwenye jukwaa la biashara leo tuongelee kuhusu biashara ya ku sherehesha sherehe. Ni biashara ambayo watu wengi hawaiwazi. Ila inaingiza hela nyingi sana kama faida. Unapaswa kuwa mjanja kuelewa biashara yao wanavyoifanya na cost wanazotumia. Hiyo biashara imejigawa pande...
  18. JamiiForums Tanzania Naomba kujuzwa kuhusu Biashara ya uwakala wa bima

    Jf kwa kipindi chote imekuwa na wataalamu mbalimbali. Naomba kujua maokoto au makadilio ya maokoto ya wakala wa bima(gari) katika bima moja yapo vipi. Natanguliza Shukurani...
  19. JamiiForums Tanzania Mchanganuo wa biashara ya vitumbua

    Habarini wana jf. kam kichwa kinavyosem nahitaji kujua mchanganuo wa hii biashara ikiwemo mtaji na ushauri mwngne. Asanteni
  20. JamiiForums Tanzania Maana ya kiroho mtu akichota mchanga katika eneo lako la kazi, biashara au mahali ulipokanyaga

    Nitaeleza kwa uelewa wangu, Mtu akikuchota namaanisha akichota mchanga wa unyayo wako (ulipokanyaga) au eneo unalofanyia biashara, tegemea mtaji kushuka wateja kuisha kabisa au mambo yako kuyumba kila utakacho fanya utaangukia pua. UFANYE NINI UNAPOONA MTU KAKUCHOTA? Unachota mchanga wa hapo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…