Kwa ambao hatukusoma sana,si wajuzi wa teknolojia ya Hali ya juu,mitaji mikubwa changamoto kwetu,basi suruhisho la kututoa ktk UMASKINI ni biashara ya duka.
Faida ya duka la mahitaji ya nyumbani,. I)uhakika wa kuuza bidhaa Kila siku kwani watu wengi...
Kwanza nawashukuru sana watu wote mlionishauri, kunikosoa, kunikejeli na kunielimisha kwenye andiko langu la " NAOMBA KUSHAURIWA, KUELIMISHWA NA KUKOSOLEWA" asanteni sana.
Pili napenda kusema kutoka moyoni kwamba nimeamini na nina imani kuwa wafrika itatuchukua miaka mingi sana...
Kusema "Africa ni bara lenye giza" ninaweza kueleweka vibaya na kuonekana kama siyo sahihi. Lakini ukweli uliopo naona Africa ni bara lenye giza totoro, lililokosa watu welevu, ingawa natambua uwepo wa utajiri katika bara la Afrika, tamaduni zake pamoja na mandhari mbalimbali.
• Ndio, kuna...
Mwaka 2014 kuna bwana mdogo, alikataa shule akiwa form two, akidai kuwa hapandishi, ni kweli hakuwa akifanya vizuri darasani. Akawa ni mtu wa kwenda minadani tu.
Mwaka 2018, aliomba msaada wa sh 210,000 ambapo alidai anaenda nunua mbuzi kwa ajili ya kuanza kuuza. Sikua na mawasiliano naye ya...
Kama zawadi ya sikukuu ya Krismasi, kuanzia Jumatatu wiki hii yaani tarehe 25, Angola, Gambia, Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, Madagascar, Mali, na Mauritania zimeungana na nchi nyingine 21 za Afrika katika kunufaika na soko la China kwa asilimia 98 ya bidhaa zake kama kahawa, matunda na...
Habari ndugu zangu,
Mimi ni kijana(25) wa kiume niko Dar es Salaam, katika kutafta kazi baada ya kumaliza chuo( miezi 4 mtaani) mwaka huu mambo yamekuwa magumu nilipga kazi mbalimbali kama ujenzi, kulima, kubeba mizigo Kariakoo ila pesa ni kidogo kiasi kwamba kodi ikifika ya nyumba huna cha...
Ni wazi kabisa bila kupepesa macho lengo kuu la wazazi wa Tanzania ni kusomesha mtoto ili aje kupata ajira serikalini.
Ajira zinazidi kuwa adimu sana, wanafunzi wengi wanahitimu vyuo na vyuo vipo vingi sio kama zamani, wahitimu wamekuwa wengi sana lakini ajira haziongezeki.
Wanaoajiriwa ni...
Wakuu kheri ya sikukuu ya kuzaliwa KWA Yesu? Assalam aleyko?
Nilikuwa naomba kuuliza kama upo na asset unaweza kwenda kuomba mkopo KWA ajili ya biashara au ni lazima iwepo biashara ambayo ipo?
Na kama ni lazima iwepo biashara kuna alternative yoyote unaweza para mkopo kwa asset uliyonayo KWA...
Ugandans cross Kenya border for Christmas shopping
Hundreds of Ugandans are crossing the Busia border into Kenya to buy relatively cheap goods, especially textiles, ahead of the Christmas holidays.
David Basalirwa, a trader and resident of Bugiri district in eastern Uganda, says he prefers to...
Bwana Yesu asifiwe,
Jumapili hii, Mtumishi wa Mungu na mpakwa mafuta Apostle Bornface Mwamposa Bulldozer ataongoza maelfu katika ibada ya kula keki ya Upako hapa Kawe siku ya Jumapili,
Kunamtu ulilogwa tangu ukiwa tumboni mwamama yako au wakati tu unazaliwa watu wabaya wakafanya yao...
Kwenu Wizara ya Ujenzi
Hizi ni barabara za Jiji la Biashara Luanda. Mji Mkuu wa Angola
Jifunzeni kuwa kwenye miji mikubwa ya biashara wenzenu wanajenga barabara njia 3 hadi 4 kila upande sio vituko vyenu vya njia 2 kila upande mnavyotujengea barabara za mbagala na Gongo la Mboto hapo Dar kama...
Benki ya DCB iliingia soko la hisa la Dar es salam na share zake zilianza kupanda lakini kwa Tangazo hili la Benki ni ukweli ulio wazi kutakuwa na mabadiliko makubwa sana kwenye hisa zake, wanahisa watakuwa na hofu na fedha zao na walizowekeza.
Wadau wanasema hii benki ni ngumu kuendelea kubaki...
Hali hii ipo miaka nenda rudi, kama mnavyojua machinga hupenda kusogelea sehemu zenye frame nyingi mbaya zaidi wanaweza kuweka biashara inayofanana na yako mbele ya duka lako yani unapigwa block.
Yaani nimeona sendozi aina ya Teva inauzwa instagram 250,000! Nimepita huku mtaani nikazikuta kwa mmachinga, mpya kabisa. Nimempa elfu ishirini akapokea kiroho safi maisha yanaendelea!
Bila shaka kila kitu kina malengo. Na ili kutathmini ufikiwaji wa malengo lazima uwe umekusanya taarifa sahihi(umetunza rekodi).
Pongezi kwa Google waloweka Sheet ya bure ya kutunza rekodi zako za kila siku. Na habari njema ni kwamba sheet hii unaweza kuijaza na kuisoma ukiwa popote (online)...
Dogo alisomea ukulima pale Morogoro kisha akapata fursa ya kwenda kuongeza elimu na maarifa Israel, yeye ndiye mtoto wa kwanza kwenye familia yenye watoto watano, ndoto yake ilikua akirudi nyumbani afanye ukulima biashara ila magaidi ya kidini yalikua na mawazo mengine.
Mashabiki wa hayo magaidi...
ndugu zangu hivi mnajua biashara ya nguo inalipa sana?
Ila siyo kirshisi kama usipokuwa mjanja, mjanja kivipi?
Nguo za wanawake na watoto zinatoka sana, zingatia location nzuri ya biashara yako, yaani pawe na muitiko mzuri wa watu.
Point nguo kali ambazo ni rahisi mtu kuvutika kwa haraka...
Inafika wakati biashara inakatisha tamaa, kuna hawa wateja wanao penda kupunguziwa kila kitu asee wanakera. mtu anakuja dukani anaulizia karibu kila bidhaa ukimtajia bei utasikia……..,
Duh! We unabei sana!
Mbona wenzako wanauza bei nafuu!
Punguza bei nimekuja kukuchangia!
Tuuzie kama unauza sio...
Habari,
Kwa wanaofahamu, naombeni utaratibu wa kufuata nikitaka kupata kibali cha kufanya biashara ya mabasi Tanzania. Nataka nianze na mabasi 4 route ya Dar-Mwanza.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.