Kwanza kabisa huwa nawashangaa wanaopiga kelele kuhusu mtu asome mpaka chuo ili aweze kufanya biashara wakati wanachuo hao wapo bize kutafuta ajira na wakizipata wanaridhika na mishahara.
Na hata wasomi wanaofanya biashara wengi wao wanafanya biashara hizi hizi wanazofanya watu walioshia darasa...
Hii itasaidia kupunguza msongamano dsm kwa sababu mikoa husika imesha weka dhamira ya miji hii kuwa na bandari kavu.
2 miji hii imezungukwa na maeneo yenye uzalishaji wa mazao ya chakula ya kutosha ambayo pia ni malighafi viwandani, 3 Nimiji iliyo kaa kimkakati kutokana na Geographical position...
Nina uzoefu wa miaka minne na nusu ambapo nilifanya katika moja ya depot ya kampuni ya Cocacola, hizi ambazo zinaitwa SSD. Nilikuwa chini ya kampuni Fulani ambayo mshahara wangu ulikuwa ukipitia kwenye hiyo kampuni. Nilifanya kazi Kwa miaka kadhaa na niliacha kazi Kwa amani kabisa pasipo...
Mimi ni mbobezi katika kutafuta location za biashara kwa wenye mitaji.
Niko DAR ES SALAAM Kona zote nazijua
Comment mtaji wako nikupe wazo la biashara n'a location au nuchek pm
Habari wanajamii, mimi ni kijana niko chuoni Nina laptop yangu yenye thamani ya 1,500,000 natumia ina best specifications nilinunua kwa kazi za graphics na chuo masomo ya IT sasa nilawa siingizi kiasi nilichokua nataraji as watu wengi wanataka kazi kwa bei nafuu mno sasa laptop ikawa haini...
Habari wanajamii,
Mimi ni kijana niko chuoni Nina laptop yangu yenye thamani ya 1,500,000 natumia ina best specifications nilinunua kwa kazi za graphics na chuo masomo ya IT sasa nilawa siingizi kiasi nilichokua nataraji as watu wengi wanataka kazi kwa bei nafuu mno sasa laptop ikawa haini...
Habari Wana jamiiforum.
Bila kuwachosha naenda kwenye mada moja kwa moja.
Nimejikamua Kama kijana nimeamua kufungua liquor store yangu mkoani Tanga ambayo inafanyakazi masaa 24 kila siku za wiki.
Sasa nauza vinywaji kwa bei ambayo Mimi napata faida
Mfano:-
Highlife -2000
Double kick -2000
Block...
Ripoti ya benki ya dunia Desemba, 31, 2023. Juu ya mauzo ya bidhaa katika Jumuia ya nchi za Afrika mashariki. Jikite pale tunauza kiasi gani, nasi tunanunua kwao kiasi gani.
Tanzania kwenda DRC (Kongo) -Tzsh 769.6 bilioni. DRC kwenda Tanzania tzsh 6.79 bilioni
Tanzania kwenda Burundi-Tzsh...
Unatakiwa utafute pesa hadi ifikie hatua pesa ulizotafuta zenyewe zinaanza kutafuta pesa nyenzake zaidi.
Unatakiwa ufanye kazi kwa bidii na kwa kujituma bila kujionea hurumq hadi ifikie hatua huitaji bidii kubwa kupata kipato.
Kwa hiyo bidii yako lazima iwe na malengo hata kama bado...
Habari wandugu,
Nina fremu ya kupangisha moshi mjini. Fremu ni kubwa na ni nzuri kwa biashara ya aina yoyote ile na ipo katikati ya mji wetu huu wa moshi Mji tulivuuu kabisa. Usio na shida yoyote ile zaidi ya fursa za kiuchumi inayochanganyika na fursa za utalii..
FREMU IPO KARIBU NA...
Sukari sasa kilo moja ni Tsh 4500!
Hii nchi imekuwa kama utawala wa kambale mama ana ndevu baba ana ndevu hakuna hata mbunge, waziri au mkurugenzi anaongelea hii hali.
CCM ipo kimya, Makonda anapanda farasi na baiskeli tuu hivi ni kweli hawajui hii hali?
Wakuu Kuna manzi nataka mfungulia biznenga,Ili akila mtaji nipate sababu ya kupiga chini.
Anasema anataka kuuza vitu vinavyopendwa na wanawake na watoto.
Ushauri wenu juu ya nn auze,unaweza okoa jahazi
Natanguliza Heri ya mwaka mpya Kwa wote
Nimefurahi sana nilipokutana na jamaa zangu tulimaliza chuo mwaka mmoja na wamefanikiwa kimaisha japo hawakuwahi kuajiriwa
Mmoja aliamua kuwa bodaboda pamoja na digrii yake. Kwasasa amejenga nyumba mbeya mjini. Anazo bajaji kadhaa kaajiri vijana na analo duka kubwa la jumla.
Mwingine yeye...
Kuna wimbi la ongezeko la biashara na matumizi ya madawa ya kulevya toka Samia angie madarakani. Wanasiasa na wafanyabiashara wanajihusisha na biashara ya madawa ya kulevya waziwazi. Vijana wanauza na kutumia madawa ya kulevya waziwazi. Miaka miwili ya Samia haina tofauti na miaka 10 ya utawala...
Wanajamvi habari za muda huu, poleni na majukumu ya kutafuta ridhiki. Niende kwenye mada moja kwa moja.
Nimepangisha fremu kwenye NYUMBA moja mjini kwa lengo la kufungua biashara ya pombe Kali yaani liquor store.
Nikaingia mkataba na mwenye nyumba wa miezi kumi wakati huo yeye hajui nataka...
Hii ni kwale waaminio tu. Kwa wewe usie amini baki na maneno yako kwa sababu yanafaa zaidi kukaa kwenye kichwa chako kuliko kwenye uzi wangu.
Now lets go watu wangu. Uzi ulio pita nilitoa maelekezo namna gani unatakiwa kufanya kama kweli upo serious unataka kufanikiwa kupitia madhabahu ya...
Habari zenu Wakuu,
Kumekuwa na tabia ya baadhi ya watu kuiga biashara maeneo ambayo hayana mzunguko na kujikuta wakifunga biashara zao kwa hasara na majuto.
Ndugu MwanaJF leo ningependa kukusaidia ili isije tokea ukafanya kosa linalofanywa na wengi mitaani especially kwenye biashara za...
Hello everyone heri ya msimu wa sikukuu.
Jamani naomba majibu na mjadala wa kina kwanini sehemu za biashara ya kitimoto ni chafu na kiasi cha kupofusha macho ya kinyaa kwa wateja?
Ni hayo tu
Wadiz
Kwa ambao hatukusoma sana,si wajuzi wa teknolojia ya Hali ya juu,mitaji mikubwa changamoto kwetu,basi suruhisho la kututoa ktk UMASKINI ni biashara ya duka.
Faida ya duka la mahitaji ya nyumbani,. I)uhakika wa kuuza bidhaa Kila siku kwani watu wengi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.