biashara

  1. A

    JamiiForums Tanzania Jukwaa la ma-CEO lasisitiza ushirikiano kulinda biashara dhidi ya athari za mabadiliko ya tabianchi

    Jukwaa la Watendaji Wakuu Tanzania (CEOrt) limetoa wito wa kuimarishwa kwa ushirikiano kati ya Serikali na sekta binafsi ili kulinda biashara na shughuli za kiuchumi dhidi ya majanga yanayohusiana na mabadiliko ya tabianchi yanayoongezeka. Akizungumza katika mkutano wa wanachama wa CEOrt Oktoba...
  2. Parabolic

    JamiiForums Tanzania Wilaya ya Tanganyika Yavuna Matunda Ya Biashara Ya Kaboni, Sh700 milioni Zajenga kituo cha Afya Katuma

    Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Mhandisi Hamad Yussuf Masauni akimkabidhi chandarua Mwananchi wa Kata ya Katuma Halmashauri ya Wilaya ya Tanganyika mkoani Katavi baada ya kukagua mradi wa Kituo cha afya kilichojengwa kutokana na fedha za Biashara ya Kaboni...
  3. youngkato

    JamiiForums Tanzania WENGI WANAINGIA KWENYE BIASHARA YA AGRIBUSINESS WAKIAMINI KILIMO KINA PESA, LAKINI WACHACHE NDIYO WANAOJUA JINSI YA KUZIPATA.

    Kuna mfanyabiashara mmoja alianza biashara ya mazao ya kilimo akiwa na mtaji mdogo. Alikuwa akinunua mahindi kutoka kwa wakulima na kuyauza sokoni. Mwaka wa kwanza alipata hasara kubwa, si kwa sababu hakukuwa na wateja, bali kwa sababu hakujua wakati sahihi wa kununua, namna ya kuhifadhi mazao...
  4. S

    JamiiForums Tanzania Muendelezo wa uzi wa biashara

    Mbande Dodoma zipo heka 15 zinauzwa,tafuta kampuni yenye uhitaji tuwape hii biashara then sisi watupe chetu
  5. La Roche

    JamiiForums Tanzania Hamna mtu ambaye Maisha yalim-GUARANTEE chochote pale alipoamua kufanya jambo.

    Hey, mambo vipi? It’s me, La Roche, Kuna watu walisoma LLB na walikuwa na ndoto za kuwa Wanasheria wakubwa lakini leo wanafanya kazi Benki Kitengo cha Corporate Affairs... Unaweza usisome ukawa Tajiri kwa sababu tu Mungu amempa kila mtu AKILI...Kuna Akili ya Mtu mwenye Degree na Akili kwa mtu...
  6. Prince Luanda

    JamiiForums Tanzania Wale wanaofanya biashara ndogondogo mtaani ni waha?

    Wanapenda kuishi kimakundi unakuta chumba kimoja wanaishi hata nane wanapika na kula pamoja! Wakishatengeza sambusa/mishikaki hao kila mtu na njia yake kwenda kutafuta wateja.. Biashara zao hazinaga maongezi bei za bidhaa zao ni standard (500 per piece). Unaweza kumtambua kama huyu ni...
  7. S

    JamiiForums Tanzania Uzi wa deals za biashara

    1. Mdau aliyekua anatafuta mashamba kwaajiri ya ufugaji wa mbuzi Mkoa wa Tanga naomba nitafute, zipo hekari saba na nusu bei ni 1,700,000 kwa heka moja ,mmiliki anauza eneo lote-0718884570 2. Kampuni inatafuta mashamba maeneo ya Pangani ya KIBAHA, kama unaye ndugubau jamaa anauza mashamba...
  8. O

    JamiiForums Tanzania Wafanya biashara wa Dar wako shapu kuliko wa mikoani

    Unaweza kukuta mfanyabiashara ana account nzuri mtandaoni, kama social media na google business lakini ukimtumia ujumbe kuulizia huduma au bei ya bidhaa, hakujibu. Mwingine anakujibu baada ya siku mbili na mwingine week ni mwendo wa blue tick. Majibu kujibiwa ni kama unatafuta hesabu za hiza utt...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Je, una mpango wa kuanzisha biashara ya shisha?

    FAHAMU MTAJI WA KUANZIA NA FURSA ILIYOPO KWENYE BIASHARA HII! Je, umewahi kuona watu wakivuta Shisha kwenye Bar, Club, Beach au Restaurant, ukajiuliza biashara hii inafanyikaje na inahitaji mtaji kiasi gani? Leo nakupa mchanganuo wa vifaa, gharama za kuanzia na makadirio ya mauzo ili uweze...
  10. Empty containers Tanzania

    JamiiForums Tanzania Wajomba zako, ndugu hawajakunyima connection, hizo lawama ni za bure, kumbuka hawana kampuni, kiwanda wala biashara yoyote iliyosimama

    Wajomba zako , ndugu n.k hawajakunyima connection hizo lawama ni za bure , kumbuka hawana kampuni ,kiwanda wala biashara iliyosimama. Mara nyingi vijana, wanalaumu sana ndugu , wajomba n.k Ila ukifatilia MTU anayelaumiwa ni MTU asiye na potential hana uwezo wa kushawishi maamuzi yoyote. Hana...
  11. youngkato

    JamiiForums Tanzania Biashara ya udalali: Unaweza kupata pesa bila kumiliki bidhaa unayouza!

    Unajua kuna watu wanapata mamilioni kwa kuuza nyumba ambazo si zao, magari ambayo hawajayanunua na viwanja ambavyo hawavimiliki? Hiyo ndiyo nguvu ya biashara ya udalali! Fikiria kijana mmoja anajua kuna mtu anauza kiwanja cha TSh milioni 20. Anamtafuta mteja, wanakubaliana bei na mauzo...
  12. youngkato

    JamiiForums Tanzania Biashara ya restaurant: Watu wanakula kila siku, lakini je, kila restaurant inapata faida??

    Kuna mfanyabiashara alifungua restaurant sehemu yenye watu wengi. Alinunua viti vizuri, meza za kisasa na kuajiri wapishi wazuri. Mwezi wa kwanza wateja walikuwa wengi, lakini baada ya miezi mitatu alianza kulalamika kuwa biashara hailipi. Tatizo halikuwa kukosa wateja, bali kushindwa kusimamia...
  13. S

    JamiiForums Tanzania Zifahamu faida kuu za kuwa na Website (Tovuti) na umuhimu wake katika biashara

    Habari za majukumu wana-jamii, Katika ulimwengu wa sasa unaoenda kasi kidijitali, kuwa na tovuti (Website) si jambo la anasa tena, bali ni uhitaji muhimu sana kwa mtu binafsi, kampuni, au taasisi yoyote inayotaka kukua. Leo ningependa tushirikiane na kupeana muongozo kuhusu faida kuu za kuwa...
  14. B

    JamiiForums Tanzania Uzoefu wangu kwenye kilimo cha Mahindi 2025_2026. Hili zao libaki kuwa zao la Chakula tuz kwenye biashara haifai

    Mtu akitusua vipesa vyake kama vya kina Wicknell anakuja kutupigia makelele oooh Mimi Mkulima, Niko Manyara namlima kashamba ya Mahindi. Basi mwaka Jana nikajichanganya nikiwa Bagamoyo huku Karibu na Tanga wanapata........ Nikalima mahindi, nimechanganya na Elimu yangu na uzoefu kutokankwa...
  15. Parabolic

    JamiiForums Tanzania Masauni: Tanzania Yapiga Hatua Soko la Biashara ya Kaboni

    Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira), Mhandisi Hamad Yussuf Masauni akisalimiana na Waziri wa Mazingira wa Rwanda Dkt. Bernadette Arakwiye mara baada ya ufunguzi wa Mkutano wa Masoko ya Kaboni Afrika wa mwaka 2026 unaofanyika kwa siku mbili Kigali nchini Rwanda...
  16. A

    JamiiForums Tanzania KERO Tunaofanya biashara ya Saluni hatuna Elimu Kuhusu malipo ya Service Levy

    Tunaofanya biashara ya saluni, utaratibu wa kupata leseni ni kulipia kwanza kibali cha BASATA kupitia tovuti yao, kisha kuomba leseni ya biashara kwa Shilingi 40,000 kwa mwaka. Hata hivyo, wafanyabiashara wengi hatufahamu utaratibu wa kulipa service levy kupitia mfumo wa Tausi wa halmashauri...
  17. Alexido jz instagram

    JamiiForums Tanzania Nimejiingiza katika biashara ya vipodozi, ukitaka kipodozi chochote niambie. Makazi Zenji

    Kwema wakuu, kwa wale dadaz and mamaz mnaopenda kuglow nipo kwa ajili yenu, na wale kakaz and babaz wasafi, nipo kwa ajili yenu. Kaka zangu baba zangu tujipende inafikia hatua mkeo au mpenzi wako ana ona aibu kukutambilisha kwa rafiki zake, tubadilikw ndugu zangu tujipende, anaulizwa huyo nani...
  18. kingphisher

    JamiiForums Tanzania JE, BIASHARA YAKO INA WEBSITE YAKE? | CAR SHOWROOMS NA WAFANYABIASHARA WA VIFAA VYA UJENZI

    Habari za wakati huu, wana JamiiForums. Ningependa kupata maoni ya wamiliki wa biashara, hasa wanaofanya biashara ya magari, vifaa vya ujenzi, na biashara nyingine kuhusu matumizi ya websites katika kukuza biashara zao. Katika biashara ya sasa, wateja wengi hutafuta bidhaa kupitia Instagram...
  19. Ja Mara

    JamiiForums Tanzania KUNA WATU HAWAJUI KUWA WANAWEZA KUPATA MFUMO WA KUSIMAMIA BIASHARA BURE KABISA! 😳

    KUNA WATU HAWAJUI KUWA WANAWEZA KUPATA MFUMO WA KUSIMAMIA BIASHARA BURE KABISA! 😳 Rafiki yangu mmoja siku moja aliniambia anatafuta mfumo wa kusimamia biashara yake, lakini mifumo aliyokuwa anaiona ilikuwa ya kulipia na bei zake zilikuwa ghali sana kwake. Nikamuuliza, “Kaka, unafanya biashara...
  20. Lycaon pictus

    JamiiForums Tanzania Biashara ya Bond za magari iko vipi?

    Tunajifunza vitu vipya kila siku. Nimemsikia Pastor Tony Kapola akitaja biashara zake. Vituo vya mafuta, ckearing and forwarding na bond za magari. Hii business ya bond za magari ndiyo ikoje? https://youtube.com/shorts/ThetGsMbntQ?is=qB8c0yWpK7m3B-_h
Back
Top Bottom