biashara

  1. U

    JamiiForums Tanzania Kwa nini wafanya biashara wengi wa dala dala wamepaki gari zao? Je, hii biashara hailipi?

    Ukipita hapa mjini na ukiangalia maeneo ya kupaki magari na vituo vya mafuta utakuta dala dala nyingi ziko hoi. Wengi wamepaki na zimeharibika. Tatizo ni nini???
  2. Vien

    JamiiForums Tanzania Wafanya biashara wenzangu, tupeane uzoefu wa ku-deal na wateja wa online

    Nimeona niwashirikishe hili kwa sababu naamini wafanyabiashara wengi humu wana experience kubwa ambayo inaweza kutusaidia wengine. Mimi nafanya biashara ya vifaa vya ujenzi. Kwa kuwa siku hizi soko kubwa limehamia online, nilitengeneza page kwa ajili ya kutangaza bidhaa zangu. Kwa kweli...
  3. keepsake

    JamiiForums Tanzania Kwa mtaji unaofanana; agrovet na hardware ipi inafaida nzuri kwa mtu anayetaka kuanza biashara?

    Wanajamvi kama kichwa kinavyosomeka, natamani kujua biashara yenye mzunguko na faida nzuri kati ya agrovet na hardware kwa maeneo ya Mbeya. Kwa faida yangu na ya wengine naomba wazoefu na watalaamu mtupe dondoo kidogo hapa. Natanguliza shukrani
  4. K

    JamiiForums Tanzania Nimepata Milioni 2 Biashara ya Chips naona ngumu, nawaza kuwekeza kwenye hisa

    Hamjambo? Kwenye harakati zangu za hapa na pale nimepata Milioni 2 ambayo sikuitegemea kama nitapata Mimi ni mwanafunzi wa chuo na sijawahi kufanya biashara kabisa. Nimeshauriwa kuanzisha biashara ya chips hapa mtaani lakini naogopa sana kuanza biashara maana sijawahi kufanya na sijui hata...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Biashara ya kisasa inahitaji mifumo ya kisasa

    Biashara ya kisasa inahitaji mifumo ya kisasa. T-CAMS inaleta uwazi, ufanisi na uhakika wa malipo katika sekta ya uwakala wa forodha, kwa manufaa ya mawakala, waagizaji wa mizigo na Serikali.
  6. comrade_kipepe

    JamiiForums Tanzania Kumbe Kuna Hadi Kodi ya basata kwenye biashara aina ya pub?

    Kwa masikitiko makubwa jamaa yangu leo kanipigia simu akaniambia kwasasa biashara yake ya Pub imekufa rasmi! Kwa anavyosema biashara imekufa kutokana na utitiri wa Kodi, alinitajia Kodi nyingi sana ila ambayo sitaisahau na nilikua sijui eti Kuna Kodi Hadi ya basata, kwakua anapiga nyimbo za...
  7. stabilityman

    JamiiForums Tanzania Hivi biashara unatakiwa uifanye ndio uijue au uifanye kwanza ndio uijue?

    Hivi biashara unatakiwa uifanye ndio uijue au uifanye kwanza ndio uijue?
  8. M

    JamiiForums Tanzania Kama una hii pesa na una muda nakushauri nenda nchi hizi kafanye biashara hizi

    Binafsi napenda sana watanzania tufanikiwe na huwa najisikia vibaya watanzania tunavyosota , bongo ngumu sasa nashare experience yangu nA nyie, moja fahamu mimi ni dealer wa usifirishaji wa nafaka na soko langu kubwa ni nchi hizi 1. Congo drc 2. Zambia 3. Malawi , kuna fursa nyingi huko...
  9. youngkato

    JamiiForums Tanzania Kazi moja nzuri ilimletea mteja mwingine… mteja mwingine akamletea mwingine. Hivi ndivyo Laurent alivyokuza biashara yake ya welding

    SIMULIZI YA LAURENT: KUTOKA KWA WELDER MDOGO HADI KUWA NA BIASHARA INAYOAMINIKA “Nilianza na mashine moja ya welding, lakini nilikuwa na kitu kimoja ambacho nilijua hakipaswi kukosekana—MPANGO.” Laurent alikuwa kijana aliyekuwa na ujuzi wa welding na fabrication, lakini kama wafanyabiashara...
  10. Website Tanzania

    JamiiForums Tanzania Kama upo kundi hili la huduma na biashara natoa offa ya website design pamoja na email ya kampuni kwa 180,000 tu

    Tour & Safari Companies Hotels & Resorts Lodges & Camps Travel Agencies Real Estate Companies Property Developers Construction Companies Architecture Firms Engineering Companies Law Firms Accounting & Audit Firms Insurance Companies & Brokers Banks & Financial Institutions Microfinance Companies...
  11. Parabolic

    JamiiForums Tanzania Tanzania kunufaika na Sh Bilioni 10 Biashara ya Kaboni

    Tanzania inatarajiwa kuingiza zaidi ya Sh bilioni 10 kutokana na mauzo ya biashara ya kaboni baada ya Serikali kuidhinisha miradi minne itakayouza tani milioni 4.2 za kaboni katika soko rasmi la kimataifa la biashara ya Kaboni. Tani milioni 4.2 za kaboni zilizothibitishwa zina thamani ya zaidi...
  12. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Dada anayefanya biashara ya kuuza majeneza Mwanza, asimulia siku ya kwanza kufanya biashara hiyo alilia sana

    https://www.youtube.com/watch?v=odtsPqmTGP0
  13. OMKEIT 93

    JamiiForums Tanzania Biashara ya mazao ya kilimo, kwanini mara nyingi maslahi yake huonekana kutegemea upepo wa kisiasa?

    Kilimo ndiyo uti wa mgongo wa uchumi kwa mamilioni ya Watanzania, lakini wakulima na wafanyabiashara wa mazao mara nyingi hukutana na hali ya kutotabirika. Leo bei ni nzuri, kesho imeshuka ghafla. Leo soko limefunguliwa, kesho limefungwa au masharti yamebadilika. Je, hii inatokana na nguvu za...
  14. Gabb_y

    JamiiForums Tanzania Kwa wafanya biashara au mawinga nahitaji combination hii ya nguo

    Habari wakuu nilikuwa naomba kuulizia wapi ninaweza kupata combination kama hii?
  15. Gabb_y

    JamiiForums Tanzania Kwa wafanya biashara au mawinga nahitaji combination hii ya nguo

    Habari wakuu nilikuwa naomba kuulizia wapi ninaweza kupata combination kama hii?
  16. instinct desire

    JamiiForums Tanzania Heche kuendelea kuwepo ofisini licha ya kashifa za ubadhirifu wa mali za chama ni maana halisi ya Siasa biashara

    Wanasiasa wa Tanzania (hawa wa upinzani) wameshajijengea dhana ya kuwa watakula ofsini kwahyo hawana mubadala wa kupata Hela nje ya Siasa ndo maana ni vigumu sana kuachia madaraka licha ya kuwa wanakashifa za kula Hela za chama. Heche hakutakiwa kuendelea kuwepo ofsn mpaka muda huu nadhani ni...
  17. Taasisi ya Mifupa-MOI

    JamiiForums Tanzania Washiriki maonesho ya 98 ya kilimo na biashara nchini Zambia waendelea kutembelea banda la Tanzania

    Washiriki wa Maonesho ya 98 ya kilimo na Biashara Zambia wameendelea kutembelea banda la Tanzania na kujifunza kuhusu huduma za kibingwa na kibobezi zinazotolewa na Taasisi ya MOI, MZRH pamoja na huduma za Uchukuzi na Usafiri za Mamlaka ya Bandari Tanzania na Shirika la ndege la Tanzania.
  18. youngkato

    JamiiForums Tanzania Kama una biashara ndogo au unapanga kuanza, soma hadithi hii ya Sarah

    Watu wengi huamini kuwa ili ufanikiwe kwenye biashara lazima uwe na mtaji mkubwa. Lakini hadithi ya Sarah inaonyesha kuwa mafanikio huanza pale unapokuwa na maono, nidhamu na uamuzi wa kuanza na kile ulichonacho. Sarah alikuwa akiishi katika mji uliokuwa karibu na eneo la uvuvi. Kila siku...
  19. youngkato

    JamiiForums Tanzania Je, unafikiria kuanzisha biashara ya kukodisha ukumbi? Kabla hujawekeza mamilioni ya fedha, kuna mambo muhimu unapaswa kuyafahamu ili kuongeza nafasi

    Biashara ya kukodisha ukumbi ni moja ya fursa zenye uwezo mkubwa wa kuleta faida endapo itaendeshwa kwa mipango sahihi. Mahitaji ya kumbi kwa ajili ya harusi, semina, mikutano, sherehe za kuzaliwa na matukio mbalimbali yanaendelea kuongezeka. Hata hivyo, mafanikio ya biashara hii yanategemea...
  20. O

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Polisi wawaokoa Wanawake 48 waliodaiwa kutumikishwa kwenye biashara ya ngono

    Maafisa wa upelelezi wamewaokoa wanawake 48 katika operesheni mbili zilizofanyika Ongata Rongai na Kiserian, Kaunti ya Kajiado, kufuatia taarifa kutoka kwa wananchi kuhusu madai ya unyanyasaji wa kingono na utengenezaji wa maudhui ya ngono kwa biashara. Katika operesheni ya kwanza iliyofanyika...
Back
Top Bottom