Nataka kuanzisha biashara ya chips

Nataka kuanzisha biashara ya chips

Japo siyo dhambi na kinyume cha sheria yani dume unamenya viazi hadharani na kukaanga chipsi hapana asee. Isitoshe unawaona madume mengine yanakanda unga hadharani huku yamevaa epron na yale makofia kukaanga chapati na maandaz dah hapana bora kufagia.

adriz
duuh, ni mtazamo wako lakini
 
Japo siyo dhambi na kinyume cha sheria yani dume unamenya viazi hadharani na kukaanga chipsi hapana asee. Isitoshe unawaona madume mengine yanakanda unga hadharani huku yamevaa epron na yale makofia kukaanga chapati na maandaz dah hapana bora kufagia.

adriz
Ni Tanzania tu, Nissan juke wanasema ni ya wanawake ila Nissan wenyewe hakuna sehemu waliwai kusema Juke ji gari ya wanawake.

Ni Tanzania tu, mwanaume kukaanga chips, kukanda ngano wanaona ni ajabu ili hali mahotel mengi tena makubwa wapishi wanaume wapo. Ila cha ajabu anayesema hivyo, hana hotel hata moja

Maskini ndiye anaongoza kupinga harakati za mwenzake
 
Back
Top Bottom