nataka

Nataka is a village in Mirzapur, Uttar Pradesh, India.

View More On Wikipedia.org
  1. Kazanazo

    Nataka kujua, endapo chadema mkichukua nchi mtaiendesha kwa mlengo gani?

    Hapa nazungumzia ubepari na ujamaa, nataka nijue chadema sera zao ni za mlengo gani. Tunaona nchi kwa sasa chini ya ccm imekuwa ikionesha kwa vipindi kuwa haijafungamana na upande wowote endapo, kuna kipindi akiingia rais huendesha nchi kwa sera za kijamaa kama vile karudisha nguvu ya taasisi za...
  2. Moto wa volcano

    Kuna Wanawake wakiwa katika ubora wao wanawadharau wanaume

    Kuna Wanawake wakiwa katika ubora wao wanawadharau wanaume kibao wanao watokea nyodo nyingiii huku wanachakazwa, wakichakaa ndo utasikia nataka yeyote ilimradi awe anapumua .
  3. Bzero

    Nataka kuanziasha chama Cha siasa Inashangaza kuona bado mnahaidiwa mambo waliohaidiwa wazee wa miaka ya 90 mnahaidiwa mpaka leo Yale yale

    Nataka kuanziasha chama Cha siasa Inashangaza kuona bado mnahaidiwa mambo waliohaidiwa wazee wa miaka ya 90 mnahaidiwa mpaka leo Yale yale
  4. Zerock

    Nataka kubadilisha majina kwenye vyeti vyangu.

    Nauliza kama kuna uwezekano wa kubadilisha majina yote matatu kwenye IDs .
  5. C

    Nataka kuanzisha biashara ya chips

    Je vifaa vyake vina gharimu shngapi kimoja baada ya kingine Je siku ya kwanza nikaange kiasi gani Nataka niwe nakaanga mwenyewe mwanzoni lakini uzoefu ni 0 je nitaanzaje kwa namna hii ?
  6. Zerock

    Nataka kubadilisha majina kwenye vyeti vyangu

    Nauliza kama kuna uwezekano wa kubadilisha majina yote matatu kwenye IDs .
  7. ankol

    Nataka nianze Biashara ya Bolt XL

    Habarini wandugu, sijawahi fanya biashara hii kabla, ila kutokana na changamoto za kimaisha nimeonelea ninunue Noah kwa ajili ya biashara ya Bolt. Naomba maoni yako juu ya biashara hii.
  8. Plaintiff

    Nataka Kuagiza hii chuma(Bike). Mwenye ushauri karibu

    Nataka kutoka kwenye Fekon niingie humu. Ila nina mpango wa Kuagiza. China nimeipata kwa around $750 ambayo ni around 2.1M gharama inainclude kuipeleka kwa transporter wa kuileta Bongo na Packaging. Aliyewahi safirisha hii kitu kutoka nje naomba anipe gharama za usafiri alitumia sh. Ngapi na...
  9. Pakome

    Sipo hapa kumsifia raisi Dkt Samia Suluhu Hassan lakini nataka tuelewe kuwa ni mzito sana sio mwepesi kama tunavyodhani, ni maji ya kina kirefu

    Sipo hapa kumsifia raisi Dkt Samia Suluhu Hassan lakini nataka tuelewe kuwa ni mzito sana sio mwepesi kama tunavyodhani, ni maji ya kina kirefu hayapimwi kwa mguu wala fimbo Kwa ufupi sana namfahamu raisi Samia kwa undani sana kuliko tunavyodhani Inawezekana tukadhani ni raisi mwanamke ambaye...
  10. Gunner11

    Sirudii kwenda nisipohitajika

    Ukiona mwanaume mzima analia ujue kweli kimempata. Leo(maana saa 6 tayari) nimemwaga chozi... Sio utani kwakweli.. Nime enda kwenye event fulani hivi, Watu wanapiga stori fresh tu(nao ni classmates) Katika kuwapa hai, yaani ni kama I was just disturbing and killing the vibe.. Yaani ni kama...
  11. K

    Nataka nianze kumkopesha Wife, Unanishauri Je?

    Wakuu, hasa kwa Wanaume tunaowapa wake zetu mitaji, leo nimepata wazo...nahitaji ushauri kidogo. Mke wangu ni mjasiriamali, tokea nimemuoa yeye ni mtu wa biashara. Kipindi cha maandalizi ya harusi yetu, aliweka pesa nyingi sana kwenye maandalizi ya sendoff yake. Tunaingia kwenye ndoa mtaji...
  12. Kiranja Mkuu

    Nataka niwe navaa hijabu na magauni marefu mpirani, nijipodoe, nivae miwani nisimame dk 90 kwa heshima ya mama Samia

    Naamini nitakuwa nalipwa mamilioni kila mechi iishapo na nitaalikwa ikulu kula bata
  13. Design Your Idea

    Kuna kiwanja nataka kununua ila kipo katika mtaa ambao upimaji wa viwanja haujafika. Je inawezekana kumtafuta mpimaji anipimie na kuniwekea bikon?

    Karibuni wakuu
  14. U

    Nataka Kufahamu Shule Bora kw watoto Mkoa w Dodoma

    Tunaamini kabisa hapa Jamii forum watu Wana taarifa za kutosha na sahihi zaidi, Sasa Kwa watoto kabla ya Primary chini ya miaka 6, je Kwa Mkoa wa Dodoma ipi ni Shule nzuri zaidi , tatu za juu, mana Naona Shule ni nyingi Sana sasa nashindwa kukupa ipi ni Bora. Kuna waday wametaja Dt.max, Almes...
  15. wamp

    Jina Abigail ni zuri? Nataka kumpa mtoto wa kike

    Hili jina hapa Tanzania naona kama ni adimu, zaidi ya msanii wakike tunaemjua, je? Ni jina zuri kumpa mtoto wa kike.? Au kama una jina zuri pendekeza na maana yake, DINI ukristo
  16. Mr the dragon

    Nimenunua gari nataka kuikodisha kwa ajili ya bolt. Nianzie wapi?

    JF Mwezi uliopita nimevuta gari Subaru Imprezza ya 2011. Imeagizwa kutoka Japan Less than 85,000 km. Nimejikuta sina kazi nayo maana napofanyia kazi na home ni karibu nauli buku. Na kwenye mitoko yangu naona nimezoea boda na bajaj kuliko gari, nikiwa na gari naliona kama mzigo. Niko Dsm nataka...
  17. Kazanazo

    Nataka kuhamisha makazi Tunduma, wenyeji wa huko hali ikoje kwa ufugaji wa ngamia

    Wadau wa Tunduma nipeni muongozo
  18. M

    Nataka kustafu unzinzi ila lazima Hawa niwapitiekatika

    Ujana wangu upo ukingoni Sasa very soon naenda hit 40,miaka kumi na mbili iliyopita nilipanga ujana wangu ntautumia wote nikiwa bila mke ila lazima niwe na watoto , nilipanga ntatumia muda mwingi kutengeneza misingi y kiuchumi sababu Mimi ni mwalimu , bila mpango mkakati wa kutengeneza misingi...
  19. LIKUD

    Mnaosoma UDSM vipi ratiba ya masomo itaendelea vile vile licha ya uwepo wa El Nino? Kuna mtu anataka kulipa ada nataka nimshauri kabla hajafanya maamu

    Huyu mmama alikuwaga " Mtu' Wangu wa karibu Sana wakati nasoma UDSM. Amegraduate mwaka 2010 anatoka nchi jirani. Anataka kuja kufanya Masters UDSM.. Kwa mujibu wa ratiba iliyopo ni kwamba classes zinaanza October mwishoni. She was about to pay her fee ila amesikia kuhusu El Nino na mabadiliko ya...
  20. Chizi Maarifa

    Kama kuna mtu ana namba ya simu ya Dudubaya. Nataka nimpatie Mchango Tsh 2,000,000

    Pia kama inawezekana aombwe ajiunge humu. Hiyo mibwabwa ipo humu mingi sana inabadili IDs daily. Inakufuata PM kuomba ukaichakate. Ukikataa inatangaza vita. Mimi namuunga mkono na nitamchangia tsh 2,000,000 kwenye hiyo fine. Asiache kuyabagaza hayo machoko. Ni ya bananga tu wakati wote bila...
Back
Top Bottom