biashara

  1. G

    JamiiForums Tanzania Nilidhani mabinti wa dukani wanafanana, najuta kumpoteza binti aliekuwa ananifanya niagize mzigo kila wiki, nimebadili wawili ila biashara inasua

    muda mwingi nipo kazini hivyo dukani naacha msaidizi. Kwa miaka miwili mfululizo duka lilikuwa na wateja wengi na nilidhani mimi ndie mjanja nilieumiza kichwa kuchagua eneo zuri, kuweka bei, kuweka bidhaa original, n.k. yani niliona mimi ndio genius, kila baada ya wiki 2 mzigo ulikuwa unakata...
  2. Kassym

    JamiiForums Tanzania Nina milioni 6: Nahitaji partner wa biashara

    Ninayo milioni 6 kwa ajili ya biashara. Nahitaji partner wa kufanya nae biashara. Partner ni lazima awe tayari kuwekeza kiasi hicho hicho cha pesa kwenye biashara. Yaani jumla tuwe na milioni 12. AINA YA BIASHARA Nipo tayari kufanya biashara yoyote kati ya hizi; 1) Alluminium 2) Kuuza spare za...
  3. Kalamu Nzito

    JamiiForums Tanzania Shikamoo biashara

    Wakuu Wale mliofanikiwa kuanzisha biashara zenu na zimedumu mpaka sasa SHIKAMOONI WAKUBWA. Hili game sio la kitoto for beginners.
  4. Two ten

    JamiiForums Tanzania Biashara ya parachichi Hass

    Habari za Leo wakuu.. Naomba kwa anayefahamu Tani 1 ya parachichi(Hass) ni shilingi ngapi? Naomba Bei ya shamba na Bei ya kutoka shamba mpaka Dar. Shukran
  5. Nyafwili

    JamiiForums Tanzania Ukijifunza kwa waliofanikiwa, hawawezi kukupa njia za mafanikio

    Habari wana JamiiForums, poleni na majukumu ya hapa na pale 🤝 Imekuwa kawaida sasa kwa watu waliofanikiwa kiuchumi kubaki na siri zao namna walivyo ukimbia ukata, kila Tajiri utakaye muuliza kuhusu mafanikio yake lazima atakuambia: • Nilianza kuuza karanga za kupima. • Nilianza kushona viatu...
  6. Kaka yake shetani

    JamiiForums Tanzania Tatizo la sukari ni kama biashara ya watu wachache walioweka vizingiti, tabia hii imeanza kitambo

    Kuna kipindi ilishawahi Azam cola kushtakiwa kwa sababu kutumia neno Cola sababu wenye Cola waliona ni neno lao. Hili jambo la sukari ni kama monopoly business ambayo haitaki mwengine kuanzisha kiwanda cha sukari. Ni kama familia fulani au watu fulani walijiwekea ili biashara hii ya sukari...
  7. maishapopote

    JamiiForums Tanzania Niamini..Usitoe Code ya Biashara Yako...!

    Biashara ni siri..aisee usitoe code kabisa Mimi kuna biashara nilikua nafanya 7years back sasa bana nikampa code wife...wife ana rafiki yake si ampa siri yote! Nakuja ingiza mzigo sokoni aisee! Soko Limejaa..nikabaki najiuliza Nikatumia umafia sana nikajua ni yule dem na mumewe Nika mbana...
  8. Jonsonjohn

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri juu ya hii biashara ya kuagiza bidhaa mchanganyiko kutoka Japan

    Miaka mitano iliopita nilifungua website ya kuagiza bidhaa mbalimbali kwanjia ya mtandao bahatimbaya sikupata wateja wakutosha nilikutana na changamoto nyingi sana 1. Watu wengi niwaoga kutapeliwa 2.Baadhi ya watu wanataka vitu vya bei rahisi sana bila kujali ubora. 3.Mtu mwingine anataka...
  9. Mjanja M1

    JamiiForums Tanzania Dewji: Biashara yangu ya kwanza nilikuwa nauza Mafuta ya Taa, Baba yetu alikufa masikini

    Mfanyabiashara mkubwa nchini Azim Dewji, ameweka wazi kuwa biashara yake ya kwanza kuifanya ilikuwa ni kuuza mafuta ya Taa. Akifanya mahojiano na CloudsTv Dewji amesema, "Biashara yangu ya kwanza nilinunua gari kwa mkopo, nikawa na gari lakini tulikuwa tunanunua mafuta ya taa kwenye madebe...
  10. Prakatatumba abaabaabaa

    JamiiForums Tanzania Je, unaweza kutoboa kimaisha (biashara) nje ya miji mikubwa kama Dar, Mwanza, Arusha, Mbeya na Dodoma?

    Tokea nizaliwe sijawai kusikia mtu anatoka mjini anaenda kutafuta maisha kigoma, sumbawanga, Gairo, Mara, Ruvuma, Mtwara, Singida n.k. Simaanishi kwamba hakuna watu wenye pesa lakini naona kama huko mikoa ya pembezoni nguvu ya kuweza kuinua mtaji wa Kwa Kasi na kukua sio jambo jepesi ni...
  11. L

    JamiiForums Tanzania Biashara kati ya China na Afrika inazidi kukosa uwiano? Ukweli uko hapa

    Kwa mujibu wa takwimu mpya zilizotolewa na Wizara ya Biashara ya China, jumla ya biashara kati ya China na Afrika iliongezeka kwa 1.5% mwaka 2023 kuliko mwaka 2022, na kufikia rekodi mpya ya kihistoria ya dola za Marekani bilioni 282.1. China imekuwa mwenzi mkubwa zaidi wa kibiashara barani...
  12. D

    JamiiForums Tanzania Kipi ni kipaumbele kati ya nyumba ya makazi vs biashara?

    Msaada wakuu Kati ya nyumba hizo mbili ipi itangulie kwa mtu anaejitafuta? Mfano mtu ana kiwanja ambacho kinafaa kwa yote mawili either makazi binafsi or biashara (Fremu za maduka, Lodge, appartments) kipi utamshauri aanze nacho ukizingatia hawezi kwenda na vyote viwili at once ni lazima...
  13. H

    JamiiForums Tanzania Habari naomba ushauri au mwongozo kuhusu biashara ya Raba za mitumba za wakubwa na watoto bei ya Balo na wapi pakuzipata.

    Habari naomba ushauri au mwongozo jujutsu biashara ya Raba za mitumba za wakubwa na watoto bei ya Balo na wapi pakuzipata.
  14. rosewilliam

    JamiiForums Tanzania Naomba maoni juu ya kilimo biashara na teknolojia katika kilimo

    Habari zenu wakuu. Ningependa nipate maoni/busara yenu katika hili. Mimi natamani sana hapo baadaye niekeze katika kilimo biashara. Najua kila zao lina changamoto zake ila nahitaji kuelewa kutoka kwa wale ambao wana experience katika hili wanisaidie kunijulisha, ni changamoto gani ziko katika...
  15. Masokotz

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya Kupata Wazo la Biashara

    Habari za wakti huu; Ni matumaini yangu kwamba mnaendelea vizuri katika jitihada zenu za kujenga taifa na kuifanya dunia kuwa salama na bora kwa kila mmoja wetu. Kama ilivyo ada,leo nataka kuleta mjadala chokonozi ambao unalenga zaidi kuchokoza fikra zako na kukusisimua.Mjadala Utahusu "Jinsi...
  16. K

    JamiiForums Tanzania Yemen yashambulia tena Meli Vita ya USA na meli ya mizigo ya biashara huko Red Sea

    Utawala wa Houthi unaoongoza sehemu kubwa ya Yemen umeshambulia tena Meli Vita ya USA pamoja na meli ya mizigo, huu ni muendelezo wake wa kujibu mashambulizi ambayo USA alifanya wiki 2 zilizopita kwenye ardhi ya Yemen lakini pia ni muendelezo wa ahadi ya Yemen kushambulia kila meli za Israel na...
  17. Selwa

    JamiiForums Tanzania Biashara kukodisha magari Mbeya na taxi

    Ataenzisha biashara ya Uber au Bolt Mbeya atapata pesa sana, pamoja na magari executive ya kukodisha. Mimi kila nikiwa na kazi kule inagharimu ofisi yangu million 5 kusafirisha dereva na magari mabosi yaende kule ili kuwazungusha, sasa sisi wafanyakazi wengine tukifika tunabaki hohe hahe...
  18. S

    JamiiForums Tanzania Je, kwanini bidhaa za Uturuki zina bei?

    Habari, Nchi ya uturuki imekuwa miongoni mwa nchi ambazo Watanzania wengi wamejivunia utajiri kutokana na kuagiza bidhaa mbalimbali kupeleka Tanzania. Katika kipindi cha miaka ya Karibuni miongoni mwa bidhaa zinazoongoza kuchukuliwa kutoka uturuki ni bidhaa za umeme vyenye thamani ya shilingi...
  19. P

    JamiiForums Tanzania Naombeni wazo la Biashara

    Kwa mtaji wa 3mil naweza kupiga business gani hapa Dar es salaam? Hii 3M sijapewa na mtu. Ni Katika harakati zangu za kutafuta since 2022 hadi leo ndiyo niliweza kuweka Chochote ninachopata, mpaka imefika hiyo. Mimi nilikua na mawazo ma 2 La kwanza biashara ya mazao. Na la pili biashara ya...
  20. Bams

    JamiiForums Tanzania Je, Kuna Taasisi ya ovyo Kabisa Nchini Kuizidi TANESCO?

    Bila shaka hakuna asiyejua madhara ya TANESCO, iwe mjini au kijijini, awe kiongozi au raia asiye na cheo, awe kijana au mzee, awe msomi au asiyeenda shule kabisa, awe mwenye kiwanda au mmiliki wa genge. Ni takribani miaka 250 tangu Benjamin Franklin na Michael Faraday walipoweka kanuni jinsi...
Back
Top Bottom