biashara

  1. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Tanzania na Pakistan kushirikiana Sekta za Biashara na Uwekezaji

    Tanzania na Pakistan zimeahidi kuendelea kushirikiana kuimarisha zaidi sekta za biashara na uwekezaji kwa maslahi ya pande zote mbili. Ahadi hiyo imetolewa na Kaimu Mkurugenzi Idara ya Asia na Australasia katika Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Bw. Salvastory Mbilinyi...
  2. Financial Intelligence

    JamiiForums Tanzania Hatimaye benki ya biashara ya NMB Tanzania yasaini hati ya mashirikiano na ZASCO

    === Hatimaye NMB wamesaini makubaliano ya miaka mitatu (3) ya ushirikiano na Kampuni ya Zao la Mwani Zanzibar (ZASCO) ikiwa ni hatua ya kuendeleza sekta ya kilimo cha mwani na kuleta maendeleo yenye tija kwa wakulima katika pwani ya Bahari ya Hindi (Tanzania Bara na Visiwani). Katika maeneo...
  3. aBuwash

    JamiiForums Tanzania Biashara ya nafaka Dar ipoje?

    Nimepambana nimepata mtaji wa million nane nahitaji kufungua duka la nafaka DAR lakini mimi mi mgeni katika biashara, sijui nafaka gani ni za kuanza nazo ambazo zinauzika sana hapa Dar na changamoto ya biashara hii zipoje na faida zake pia zipoje. Mwenye uelewa plz naombeni msaada wenu tafadhali
  4. S

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Inauzwa Mashine ya biashara kusaga na kuchuja juis ya miwa N mpya inatumia umeme Motor ya 3HP 📞📞0757687358

  5. M

    JamiiForums Tanzania Ni biashara gani inaweza ingiza atleast faida ya TZS 5M kama nikiwekeza TZS 30M?

    Habari wana jf, Naomba mwenye business idea ambayo nikiwekeza 30m naweza pata faida ya atleast 5m per month.
  6. MamaSamia2025

    JamiiForums Tanzania Wafanyabiashara mnaofanya biashara kimazoea jiandaeni kisaikolojia na ujio wa kina "Niffer" wengi zaidi

    Kwa wiki iliyopita mitandaoni hasa Instagram na Twitter kuliibuka mjadala mkali ikiwemo vita ya maneno miongoni mwa wafanyabiashara wa mjini Dar es Salaam. Baadhi ya wafanyabiashara walimtupia lawama Bi Niffer ambaye ni mfanyabiashara mdogo anayekuwa kwa kasi ya ajabu. Wanamtuhumu Niffer kurukia...
  7. Bata Boy Official

    JamiiForums Tanzania Meza ya biashara Ilala, Karume au Kariakoo

    Kwema wakuu Nahitaji Meza ya kuuzia biashara yangu (nitaanza na mitumba) kwenye maeneo niliyoyataja, Ilala au Karume au Kariakoo. Nahitaji Meza hata kama ni ya kukodi kwa masaa kadhaa kwa siku, mfano kuanzia tisa mchana na kuendelea. Lakini pia kuna vile vibanda vya mbao au vya kuchomelea vya...
  8. Heparin

    JamiiForums Tanzania Serikali ya Tanzania yashinda Shauri la Usuluhishi katika Baraza la Kimataifa la Biashara (ICC)

    Tarehe 06 Machi, 2024, Baraza la Kimataifa la Biashara (International Chamber of Commerce-ICC) limetoa uamuzi wake na kuipa Serikali ushindi katika Shauri la Usuluhishi Na. 2682/AZO baina ya Wakala wa Uagizaji wa Mafuta kwa Pamoja (Petroleum Bulk Procurement Agency-PBPA) na Mwanasheria Mkuu wa...
  9. J

    JamiiForums Tanzania Januari Makamba adai uchaguzi wa 2020 ulitugawa, watu walifungwa, walinyang'anywa pesa, na waliharibiwa biashara zao

    Naomba nisimuwekee maneno Makamba. Maneno aliyoyazungumza ni tuhuma nzito kwa utawala wa Rais Magufuli.
  10. R

    JamiiForums Tanzania M - Gas biashara imewashinda. TBS futieni leseni hawa wapuuzi

    Kama kichwa kinavyojieleza. Wiki ya 3 inakwenda mteja nafanya kubembeleza mfanyabiashara. Natumia gesi ya hawa wapuuzi baada ya kushawishiwa na sijui wakala wao baada ya kutuunga kwenye group watu wengi. Nikauliza group la nini ndio kujua habari za M gas. Kazi iko hapa > betri imeisha, mtungi...
  11. A

    JamiiForums Tanzania Nilianzisha na kukuza biashara from zero ila kwa hapa nilipofika naona kabisa nahitaji msaada

    Wakuu habari ya asubuhi. Hongereni na majukumu na pia Poleni na changamoto za hapa na pale katika uwajibikaji, ni sehemu ya maisha tu. Kwa nia njema tu naomba nitangulize angalizo kwamba hili sio tangazo la nafasi za/ya kazi. Nitajitahidi kuweka maelezo sawa ili ujumbe wangu uliokusudiwa...
  12. F

    JamiiForums Tanzania Kwanini biashara ya kutembeza karanga zilizokaangwa imekufa?

    Hii biashara ilikuwa ikifanywa na vijana wengi miaka ya nyuma. Imekufa kibudu. Shida nini? Ni biashara ipi tena ya zamani imepotea au kufa?
  13. S

    JamiiForums Tanzania Kubadilisha umiliki wa biashara binafsi kwenda kampuni

    Ukibadilisha umiliki wa biashara binafsi kwenda kampuni inabidi upate tin no nyingine ya kampuni ambayo ni tofauti na ile ya mwanzo (biashara binafsi) swali. Endapo tin no ya mwanzo ina deni (TRA) , je hilo deni litaamishiwa kwenye kampuni?, au litabaki kwa mtu binafsi? Ahsanten
  14. J

    JamiiForums Tanzania Faida na hasara ya kutumia jina moja kwenye biashara mbalimbali

    Habari wana JF.. Naomba Kuuliza Je ni kuna faida/hasara gani za Kutumia Jina Moja kwenye Biashara Tofauti tena zilizopo Mkoa/Willaya Moja Mfano 1 JUNDOX FURNITURE'S 2 JUNDOX BARBERSHOP 3 JUNDOX STATIONERY 4 JUNDOX DIGITAL 5 JUNDOX STUDIO Naomba msada kwa wanaofahamu hasara/faida za kibiashara...
  15. Ghaysh

    JamiiForums Tanzania Faida za kuvaa T-shirt za biashara yako

    FAIDA ZA KUVAA T-SHIRT ZA BIASHARA YAKO KWA NINI UPRINT KWETU? WEKA ORDER YAKO LEO HUDUMA ZETU Tunaprint T-Shirt, Mashati na Uniform aina zote kwa kutumia mashine za kisasa, Embroidery(Kudarizi), DTF na screen printing. Tunaprint Product Label(Sticker za vigungashio) kwa gharama nafuu...
  16. P

    JamiiForums Tanzania Wapi kuna matokeo mazuri baada ya kuboost/kufanya sponsor post ya biashara kati ya facebook na instagram

    Hey naomba kuuliza wapi kuna matokeo positive baada ya kuboost post ya bidhaa yako?? Kwenye wateja namaaanisha Na je naweza kuweka pesa kiasi gani ili niweze kupata matokeo MAZURI ?
  17. Mpigania uhuru wa pili

    JamiiForums Tanzania Mwinyi hakuruhusu biashara huria bali yale ni masharti ya SAPs kutoka IMF kabla nchi haijapewa mkopo

    Mimi sio mwandishi mzuri bali mjitahidi kusoma hivyo hivyo Baada ya vita vya kagera hali ilikua mbaya sana kiuchumi na ukizingatia kipindi hicho ussr inapumulia machine kiuchumi Wale wenye akili timamu watakubaliana na mimi miaka ya 1980's mwanzoni hali ilikua ni ngumu sana kwa wananchi na...
  18. Nahman

    JamiiForums Tanzania Vikoba imekua sababu kubwa iliyowaingiza akina dada kwenye biashara ya kuuza mwili

    Hi guys… VIKOBA NI NINI? ni mfumo wa kuweka na kukopa kwa wanachama waliojiunga kwa pamoja na kuunda kikundi kwa malengo ya kujikwamua kiuchumi. Ni na ni sahihi ya kua vikundi hivi vimekua na matokeo chanya kijamii, na familia kiujumla Ila kwa bahati mbaya kwa mkosaji wa kipato kwa muhusika...
  19. Masokotz

    JamiiForums Tanzania Siku nilipoamua kufunga biashara

    Ilikuwa April 2017, Niliamka Asubuhi nikiwa na mawazo mengi sana,Haikuwa mara ya kwanza mm kuamka asubuhi ila siku hii ilikuwa tofauti.Wawili kati ya watu niliokuwa nafanya nao kazi ambao walikuwa na uzoefu waliamua kuacha kazi na kwenda katika kampuni nyingine na nilibaki na timu ndogo ya watu...
  20. Mtumishitu

    JamiiForums Tanzania Dagaa Tunduma bei ya jumla pitia hapa

    Habari ndugu zangu. Nadhani kila mmoja wetu yupo hai kwa anae soma hapa. Kama kawaida mr .waziri nazidi kuwarahisishia wateja wangu kupata mzigo wa dagaa kutoka ziwa victoria kwa wale waliopo mikoani. KWA WALE WALIOPO TUNDUMA SONGWE. Leo mzigo wa dagaa aina ya full mzigo umefika nenda kachukue...
Back
Top Bottom