biashara

  1. Masokotz

    JamiiForums Tanzania Fahamu Jinsi ya Kuchagua Jina la Biashara

    Kuchagua jina la biashara ni mchakato muhimu sana katika kuanzisha biashara yoyote. Jina la biashara lina uwezo wa kuwa nembo inayojulikana na kuitambulisha biashara yako kwa wateja na jamii kwa ujumla. Ni sehemu ya kwanza ambayo wateja wako wataiona na inaweza kuathiri jinsi wanavyoona biashara...
  2. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Ethiopia: Hitilafu ya Benki ya Biashara yasababisha Wateja kutoa hela kwenye ATM bila kikomo

    Benki ya Biashara ya Ethiopia (CBE) inajitahidi kurejesha kiasi kikubwa cha pesa kilichochotwa na wateja baada ya "shida ya mifumo". Baadhi ya Wateja waligundua mapema Jumamosi kwamba wangeweza kuchukua pesa taslimu zaidi ya walizokuwa nazo kwenye akaunti zao za CBE. Zaidi ya Dola Milioni 40...
  3. Bata Boy Official

    JamiiForums Tanzania Natafuta marafiki wanaofanya biashara ya viatu vya mtumba

    Habari wakuu? Wanasema ndege wenye manyoya ya kufanana huruka pamoja. Na mimi pia naamini kwenye mzunguko wa watu wangu wa karibu nikiwa na watu wanaofanya kitu kama changu itanisaidia kukua. Mimi nafanya biashara ya viatu vya mitumba lakini kwa sasa bado nipo hatua ya...
  4. G

    JamiiForums Tanzania Aibu: Waajiriwa wanaojiweza ni wengi kuliko wafanyabiashara. Maeneo ya kishua kuna waajiriwa wengi kuzidi wafanyabiashara

    Inashangaza sana kuona nchi iliyobarikiwa rasilimali kibao kukuta wafanya biashara waliotoboa ni wachache, WHY? Mbaya zaidi karibu top 20 wote ni wageni waarabu na wahindii kina Bakhresa, Mo, GSM. bado nawaaita wageni sababu huwa wanaishi kivyao, huoana wao kwa wao, huzikana wao kwa wao, si...
  5. Jeep wrangler

    JamiiForums Tanzania Pesa mtaani zimepotelea wapi? Je, biashara yako inaendaje?

    Wakuu habari zenu, Wakati wa utawala wa Mkapa kuna hali ya ukata wa pesa ulijitokeza tukauita UKAPA. Wakati wa JK kiasi flani mambo yakalainika japo ufisadi ulikuwa juu sana na mfumuko wa bei. Kila mtu aligeuka dalali. Pale Mnazi Mmoja wakazaliwa madali wenye vitambi na kiburi, huwezi uza gari...
  6. MWAISEMBA CR

    JamiiForums Tanzania Je, ulinzi shirikishi ni biashara haramu?

    ✳️JE ULINZI SHIRIKISHI NI BIASHARA HARAMU!? 🔜JE, NI NANI MWAJIRI WA HAWA POLISI JAMII, NA JE WAPO KISHERIA NA MAFUNZO YAO WAMEYATOA WAPI!? 🔜KWANINI WANANCHI TULIPIE ULINZI SHIRIKISHI WAKATI TUNALIPA KODI!? 🔜NA IKIWA TUNALIPIA, JE POLISI JAMII WATAWAJIBIKA KUTULIPA FIDIA IKIWA WAMESHINDWA...
  7. Equation x

    JamiiForums Tanzania Biashara ya kutengeneza na kuuza, ndio itakayo timiza ndoto zako

    Biashara yoyote inahitaji uvumilivu; wengi wanaamua kufunga biashara zao na kulalamika kwa sababu wanakuwa wamekosa uvumilivu. Na hasa ukiingia kwenye hii biashara ya kutengeneza na kuuza, muda mwingi wewe unakuwa unatoa pesa tu; mpaka uje uanze kuona faida inachukua muda mrefu. Unapotaka...
  8. G

    JamiiForums Tanzania Wazazi tusomeshe watoto waje kujiajiri kwa taaluma walizosomea au kuajiriwa, biashara kwa hapa Tanzania zataka moyo

    Tangu nimezaliwa 1980s mwishoni nimeshaona wafanya biashara wengi sana wakifirisika, kufunga biashara, mtu anaenda dukani kila siku asubuhi hadi jioni hana muda wa familia, kurudishwa nyuma kwa maduka kuungua au kuibiwa, umafia katika biashara, n.k. Lakini kwa wakati huo huo niliona waajiriwa...
  9. Kichwa kikubw

    JamiiForums Tanzania Kwa wafanyabiashara wa dhahabu wazoefu naomba ufafanuzi hapa

    Habari za wakati huu wanajulkwaa. Dhumuni kuu la kushusha uzi huu ni kupata muongozo juu ya biashara ya dhahabu naona ipo juu sana kwa bei kulingana na asilimia(%). Kwa hapa Buzwagi ndogo Igunga hali so poa kidogo vp huko ulipo uhali gani upepo wa mgodi na je kwa wale wazoefu au wakongwe wa...
  10. chiembe

    JamiiForums Tanzania Japokuwa Taasisi ya Mwalimu Nyerere imejikita katika biashara ya togwa kwa wazanaki na wasizaki, iwe na utaratibu wa kuwa na kitabu kila mwaka

    Nashauri taasisi hii iwe na kitabu, au tuite journal ambayo itatoka kila mwaka ikiwa na makala(articles) za wanasiasa mbalimbali, wataalamu, wa ndani na nje ya nchi wakijadili mambo ya Tanzania na Afrika kwa ujumla. Imagine umwambie Ziito, Jk, Samia, Museveni, Kagame(japo mtu wa hovyo, ila hata...
  11. Yoyo Zhou

    JamiiForums Tanzania Biashara inayostawi kati ya China na nchi za nje inatoa ishara gani?

    Takwimu zilizotolewa hivi karibuni na Idara Kuu ya Forodha ya China zinaonesha kuwa, kuanzia mwezi Januari hadi Februari mwaka huu, thamani ya jumla ya biashara ya bidhaa kati ya China na nchi za nje ilikuwa dola bilioni 930.86 za Kimarekani, ambalo ni ongezeko la asilimia 5.5 ikilinganishwa na...
  12. Championship

    JamiiForums Tanzania Sikujua, kumbe Bakhresa anakopa mikopo ya riba kwenye benki za biashara

    Nilidhani ustadhi ni wale watu wa dini wasiojihusisha na riba kumbe ni mdau mzuri wa benki za biashara. Ninapenda Bakhresa afanye kuwaelimisha wale wenye misimamo mikali tuwe na taifa endelevu.
  13. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania ACT Wazalendo: Vitita vipya NHIF vinageuza huduma ya afya kuwa biashara, Serikali ifute vitita vipya

    ACT Wazalendo tumeguswa na taharuki za wananchi kutokana na taarifa za utata juu ya upatikanaji wa huduma za afya kupitia Mfuko wa Taifa wa bima ya afya (NHIF). Wiki ya kwanza ya mwezi Machi, 2024 tulishuhudia mivutano mikali kati ya Serikali na watoa huduma za afya binafsi (Vituo binafsi)...
  14. B

    JamiiForums Tanzania Nina Vifaa vya Kufanyia Biashara ya Chips. Nahitaji Connection ya Location ya Uhakika Hapo Dar

    Habari za Jioni wana Jamio Forums. Kama mnavyojua sisi ni Wana familia. Licha ya kuwa tunasaidiana sana ktk mawazo, stori na Habari mbali mbali na wiwa pia kuomba msaada niweze kupata sehemu nzuri iliyochangamka niweke jiko langu la Kuuza Chips, Kuku, Mishkaki n.k. Pia kwa kufanya hivyo...
  15. P

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri kuhusu biashara ya maziwa mtindi na maziwa fresh

    .
  16. Mfufua Nyuzi

    JamiiForums Tanzania Biashara ya Night Club Dar imekufa?

    Habari wakuu, Naona siku hizi zile Night Clubs ndani ya jiji la Dar es salaam hazipo tena zimefunikwa/replaced na Bar kubwa kubwa. Mfano hapo nyuma palikuwa na club za mziki mbalimbali mfano Billcanas, Maisha basement, Ambiance n.k Lakini siku hizi zile Nights club zimevunjwa na kugeuzwa...
  17. gaintoo broisser

    JamiiForums Tanzania Faida ya Sayansi kwa wafanya biashara wakubwa duniani

    Habari za Saahizi Wana Jf Kunavitu Duniani ni Enderevu Kwa wafanyabiashara Wakubwa DUNIANI , Hadi Wanakufa Ni Bilinear . 🖐️Watanyabiashara wa Dawa za meno wengi maisha yao yote wataendelea kupiga Pesa TU, 🖐️Wafanyabiashara wa Dawa za Malaria pia Hawa wataendelea kupiga Pesa maisha Yao yote...
  18. S

    JamiiForums Tanzania Natafuta Mwekezaji katika biashara yangu

    Habari Zenu Wakuu, Mimi ni Mfanyabiashara wa Biashara ya UWAKALA ( Electronic Money Transactions ), nina uzoefu nayo sana toka mwaka 2018. Ipo miamala ya simu kama; Tigo Pesa, M-Pesa, Airtel Money, T-Pesa, HaloPesa na Azam Pesa Pia miamala ya Bank kama; CRDB, NBC, NMB, TCB, UBA, ACB, AMANA...
  19. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Tanzania na Pakistan kushirikiana Sekta za Biashara na Uwekezaji

    Tanzania na Pakistan zimeahidi kuendelea kushirikiana kuimarisha zaidi sekta za biashara na uwekezaji kwa maslahi ya pande zote mbili. Ahadi hiyo imetolewa na Kaimu Mkurugenzi Idara ya Asia na Australasia katika Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Bw. Salvastory Mbilinyi...
  20. Financial Intelligence

    JamiiForums Tanzania Hatimaye benki ya biashara ya NMB Tanzania yasaini hati ya mashirikiano na ZASCO

    === Hatimaye NMB wamesaini makubaliano ya miaka mitatu (3) ya ushirikiano na Kampuni ya Zao la Mwani Zanzibar (ZASCO) ikiwa ni hatua ya kuendeleza sekta ya kilimo cha mwani na kuleta maendeleo yenye tija kwa wakulima katika pwani ya Bahari ya Hindi (Tanzania Bara na Visiwani). Katika maeneo...
Back
Top Bottom