biashara

  1. sonofobia

    JamiiForums Tanzania Tuhuma za wanaharakati wa CHADEMA kupewa pesa na viongozi wa CCM zinaenda kukizamisha chama, Martin Maranja atajwa

    Nanukuu alichoandika mjumbe wa bavicha, kamanda Faustine "….. waraka wa Wazi kwa Martin Maranja Masese, MMM na Watu wote. Mwenyekiti wetu wa Chadema Taifa (my role model) alipo ona opportunity ndogo ya kuketi na kuzungumza na Samia namna bora ya kuleta mabadiliko ya kimfumo na upatikanaji wa...
  2. P

    JamiiForums Tanzania Wafanyabiashara kuneemeka kesho

    Kwa hali ilivyo kesho ni siku nzuri sana kwa wafanyabiashara au watoa huduma katika sehemu zufuatazo. 1. Wasafirisha hasa bodaboda hapa watatowa watu sehemu moja kwenda nyingine sana hasa kuanzia nyakati za jioni. 2. Kumbi za starehe, hapa watu watakuwa wakipongezana na kubadilisha mawazo. 3...
  3. Kv-london

    JamiiForums Tanzania Ushauri wenu: Nataka kujenga frame ya biashara kwa mkataba

    Habar wakuu huku ndani, Hapa kijijini kwetu Moshi kuna eneo zuri potential kwa ajili ya biashara hasa ya duka la reja reja, hardware au site ya tofali za block wamiliki wa hili eneo ni chama cha ushirika wa kahawa KNCU. Changamoto iliyopo ni kuwa hamna frame yeyote ya kufanya hiyo biashara ni...
  4. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania Je, Human Trafficking, Biashara ya Vigogo Tanzania?

    Kama sio Vigogo , basi wake zao , kama Si wake zao basi ni Chawa, kama Si Chawa basi ni CCM haiwezekan ndan ya mwez, V8 2 zikamatwe , Moja ikiwa na bendera ya CCM ,Leo hii ni STL. Siamin kama CCM imefikia hapa, nachoamin CCM imevamiwa na Majizi!!. Nimalizie kwakusema, Wakati wa JPM hayakuwepo...
  5. Expensive life

    JamiiForums Tanzania Ukifanya biashara hizi na kuweka nguvu haswa uhakika wa kufanikiwa ni 100%

    Mafuta Vyakula Madini Usafirishaji Fedha Media Elimu Afya Dini/kanisa Michezo Utalii Mifugo Vifaa vya ujenzi Mimi nimejikita kwenye vyakula? Changamoto zipo ila napambana
  6. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Vijana mkimaliza chuo tafuta kazi kabla ya kuanzisha biashara

    Vijana mkimaliza chuo tafuta kazi kabla ya kuanzisha biashara, Utafiti unaonyesha biashara mpya zinafeli ndani ya miaka 2 tu kwahiyo vijana mnaomaliza vyuo wakati mwingine ni kheri kwanza ukatafuta kazi kuliko kukimbilia biashara maana wengi wao wanakuwa awajakomaa kwenye eneo hilo na kuna...
  7. A

    JamiiForums Tanzania Biashara ya oil na vilanishi vya vyombo vya moto (magari na pikipiki)

    Habari wanajukwa wa JF Naomba elimu na ushauri kuhusu biashara ya vilainishi (oil and lubricants) vya vyombo ya moto kama vile magari na pikipiki, mtaji kiasi gani unahitajika? location ya kufungua ofisi, machimbo ya kufungashia mizigo, faida na changamoto
  8. N

    JamiiForums Tanzania Mkurugenzi wa Moshi anafunga biashara zetu sababu ya kuchelewa kulipa kodi ya pango, hii ni sawa?

    Halmashauri ya Manispaa ya Moshi imekuwa na tabia ya kutufungia maduka na biashara za Wafanyabiashara wa Stendi Kuu ya Mabasi kinyume na maelekezo ya Serikali yaliyotolewaa Julai 1, Mwaka 2023 na Waziri wa Fedha, Mwigulu Nchemba alipokuwa Bungeni. Mwigulu alisema ikiwa kuna changamoto za mlipo...
  9. Mr Mjs

    JamiiForums Tanzania Je, ni zipi sababu za kupanda kwa bei ya .Com domain kwa Tanzania?

    Hivi karibuni nilitaka kufungua website kwaajili ya kufanya project yangu fulani. hivyo niliamua kununua domain na hosting kwaajili ya project yangu. Nikaanza kufanya research juu ya kampuni ambayo ningeweza kuitumia kwaajili ya kuhost website yangu.lakini nikajikuta nakwama kutokana na gharama...
  10. ndege JOHN

    JamiiForums Tanzania Sio kila hela kubwa unayopata ujengee au ufanyie biashara nyingine kula Bata ila kumbuka kununua mashamba bado utaonekana mjanja tu

    Kama unajijua huna madeal ya million 50 huko na unajinyima kisa tu ujenge nyumba kali kama unazoziona za wengine za million 200 eti udundulize kila hela unayopata unakuwa Mpaka mchoyo kila pesa unaielekeza kwenye mjumba. Huku bado unaishi maisha ya shida ukiendelea kujisifu nyumba imekukula...
  11. ndege JOHN

    JamiiForums Tanzania Gharama za nauli, chakula, maji, bundle, pamoja na kodi zinafanya biashara nyingi ziwe changamoto

    Tuseme una duka lako mahali pengine mjini na una kijana mzuri tu mwaminifu anakuuzia ila cheki utitiri wa gharama za uendeshaji. 1. Assume mnakaa mbali na duka na kijana anatakiwa alipe Hela ya usafiri mfano 1000 ya bajaji au boda kwenda na kurudi Kwa siku ni 2000 Kwa mwezi ni 60000/= 2...
  12. A

    JamiiForums Tanzania Matangazo ya biashara ya Kariakoo yanarekodiwa na mtu mmoja?

    Habari wana jamii! Ukiwa unapita kariakoo utasikia matangazo ya biashara mengi yaliyo rekodiwa na mara nyingi huwa yanafanana sauti Kana kwamba ni mtu mmoja ama yawezekana kuwa ni mtu mmoja. Ni wapi naweza kupata mtu ama office inayofanya shughuli hizo za utamgazaji wa biashara kwa njia ya sauti?
  13. Optimists

    JamiiForums Tanzania Nikasome degree nyingine au nifungue biashara?

    Wakuu ushauri wenu ni muhimu Kwa kijana wenu hapa, Mimi ni Mwalimu wa physics na chemistry nipo nkasi-rukwa, form six nilipata division two PCB point 11, nipo kwenye kufundisha Mwaka wa pili Sasa, naona ni wakati wa kuwaza nje ya box. Kwenye Ili Chaka nimekuta watu wapo zaidi ya miaka 10 lakini...
  14. Loading failed

    JamiiForums Tanzania Wanawake wamegeuza mahusiano kuwa biashara na wanaume mitaji yao

    Ndugu zangu Ukituliza akili na kuyatafakari kwa kina mahusiano ya sasa utagundua wanawake walio wengi wameyageuza ni biashara ya kuuziwa bidhaa ambayo hubakiwi nayo huku sisi wanaume tukifanywa ndiyo mitaji yao Utagundua kabisa katika hii biashara wanawake hawana cha kupoteza zaidi ya sisi...
  15. GoldDhahabu

    JamiiForums Tanzania Biashara ya hewa ya ukawa ina manufaa kwa mtu mwenye shamba dogo la miti?

    Nina shamba la ekari 21 mkoani Kigoma. Mwezi uliopita, nilimwachia mtu mmoja jukumu la kupanda miti kuzunguka mpaka wa shamba. Nilipokuja kulikagua hivi karibuni, nilikuta kaotesha tofauti na nilivyomwelekeza. Kakata eneo la ekari tatu na kufanya shamba la miti. Sikumgombeza. Wala...
  16. nyaggad

    JamiiForums Tanzania Ijue biashara ya nywele bandia faida na changamoto zake

    Habari wadau! Kama kichwa cha uzi kinavyojieleza,ijue biashara ya nywele faida na changamoto zake,kwanza kabisa naweza kusema biashara ya kuuza nywele za bandia ni kama biashara zingine,inakuhitaji ufanye tafiti kabla ya kuingia kwenye biashara hiyo ili uweze kujifunza namna ya kuifanya kwa...
  17. Tanganyika1

    JamiiForums Tanzania Kwanini biashara ya Gesi ya kuendesha vyombo vya moto (CNG) inasuasua Tanzania?

    Nimejiuliza sana swali hili bila kupata majibu. Nini kinakwamisha maendeleo ya biashara ya gas ya KUENDESHA VYOMBO vya moto hata nchini? Baadhi ya maoni ya wadau ni kwamba Serikali haijatilia mkazo kwakuwa haipati Kodi kubwa kama kwenye mafuta. Wengine wanasema wafanyabiashara wakubwa wa...
  18. Wakuperuzi

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Vitu vya nyumbani vinauzwa

    Feni la chini mtungi mdgo wa gas empty(orxy)na dish la azam vyote kwa pamoja nahitaji 120,000
  19. R

    JamiiForums Tanzania Eneo la biashara Morombo Arusha kubadilishana na shamba Arusha, Manyara au Kilimanjaro

    Habari wakuu, Lipo eneo la biashara Morombo sokoni ambalo halijakamilika kujengwa. Ni chumba kikubwa kimejengwa kufikia lenta. Kama una shamba maeneo ya mikoa ya Arusha, Manyara au Kilimanjaro karibu tufanye mabadilishano. Ukubwa wa shamba utakaokubalika kwa mabadilishano utategemea na mahali...
  20. xixi

    JamiiForums Tanzania Msaada mwenye uzoefu/utaalamu na biashara ya chakula(mama ntilie)

    Habari zenu wapendwa, Tafadhali naomba kujua kiundani kuhusiana na biashara ya chakula cha kawaida(mama LISHE/ntilie) au tuiite biashara ya chakula cha bei nafuu, kuanzia sh. 1000 - 5000. Kwa mwenye uzoefu naomba kujua taswira nzima inavyokuwa, mf: 1. Mahitaji muhimu (vifaa nk.) 2. Namna ya...
Back
Top Bottom