Habari,
Kwa wanaofahamu, naombeni utaratibu wa kufuata nikitaka kupata kibali cha kufanya biashara ya mabasi Tanzania. Nataka nianze na mabasi 4 route ya Dar-Mwanza.
Nataka nianze kufanya biashara ya viungo kwa kuvifunga kisasa kwenye chupa na kuvipqki kisasa. Maana nimekuwa nikiviuza kwa kuvifunga kwenyeji dukani kwangu.
Wazoefu wanipe uzoefu biashara ikoje mikoa Gani ina wateja nitumie njia Gani kujipenyeza sokoni.
Hello!
Habari za muda huu....
Wazaramo wanasema
"Kidire Mwali"
Kama hujui kizaramo basi fahamu maana yake ni Mwali yuko uwanjani...
Leo ndo ile siku yetu maalumu ya kuanza darasa letu lile la
MBA ya MCHONGO
Misingi 21 ya Biashara itakayofikisha Biashara yako kwa wajukuu zako...
Ukiwa n'a uwezo WA kufata bidhaa zinapotengenzwa 90%umewin kwenye biashara Tayar
Mfano kama Una uwezo WA kuchukua mzigo WA nguo kutoka china ,uturuki , Thailand n.k biashara yako itasimama
Sababu. mzigo ukishafika Tanzania unakua n'a wateja WA uhakika ,hakuna kubagein, unauza mzigo mkubwa...
Nimekuja Mbeya, kuna baadhi ya vituo vya mafuta wanasema hawana mafuta ya petrol. Hali hii sio mara ya kwanza kwa mwaka huu hapa nchini.
Je, kuna uwezekano wa kuwa ni ule muendelezo wa wafanyabiashara kuihujumu serikali na wananchi?
Mwaka huu wa Fedha kumekuwa na usumbufu mkubwa kwa wafanyabiashara wanapoenda kukata leseni za biashara. Mfanyabiashara anapofika kwa Afisa Biashara anaelekezwa kufanya taratibu zote akitakiwa kwenda kwenye Internet cafe ili kukamilisha taratibu zote za kupata leseni.
Aidha wanaombwa na...
Wakuu Habari za majukumu?
Nimekuwa nikiongea na fundi mmoja ni rafiki yangu sana yupo kwenye garage moja ya pikipiki maeneo ya gongo la mboto.
Akawa ananiambia mdogo wangu (sababu kanizidi kiumri)hii biashara ya spare za pikipiki ni nzuri, nikamuuliza kwanini? Halafu nikamuuliza mbona nasikia...
Wakuu Habari za majukumu?
Nimekuwa nikiongea na fundi mmoja ni rafiki yangu sana yupo kwenye garage moja ya pikipiki maeneo ya Gongo la Mboto.
Akawa ananiambia mdogo wangu (sababu kanizidi kiumri) hii biashara ya spare za pikipiki ni nzuri, nikamuuliza kwanini? Halafu nikamuuliza mbona nasikia...
Biashara ya pochi ndogondogo za kike nainai chambuu
💥4000 Kuanzia pisi 20
🔥5000 Kuanzia Pisi 10
⚡6000 Kuanzia Pisi 2
🌟7000 Pisi 1 (Rejareja)
😋Unaweza kuuza 7000-10000
📍Tupo Morogoro Mjini
Mtaa Wa Konga
Jirani Na Aika Lodge
0713055107
Kiufupi kala loss ya ajabu kuwahi kuwepo duniani
Kadamkia matunda ya Tsh. 30k Mabibo, kayakata kata yote ili atengeneze dry fruti. Kafungasha take away 50, lakini hakupata wateja kabisa. Matunda yangeharibika. Kanipigia simu huku analia na kuniambia tayari keshawagawia majirani
Other Cost...
Karibu Afrika.
Jana wakati kichwa cha treni yetu ya SGR inafanya majaribio nilishtuka kuona imefungwa kiatu cha mtoto. Ndio nilipowauliza wazee wakanipa majibu.
Huwezi kubreak even bila kuweka kiatu cha mtoto kwenye gari ya biashara wataalam wanasema.
Traffic wakipiga tochi wanaona gari...
Waziri wa Viwanda na Biashara Mhe. Dkt. Ashatu Kijaji ametoa wito kwa wanawake wa Tanzania kushiriki Kongamano la Pili la Wanawake katika Biashara chini ya Mkataba wa eneo huru la Biashara Afrika (AfCFTA) litakalofanyika tarehe 06 hadi 08 Disemba, 2023 katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha...
Kwa sisi wakazi wa jiji la maraha, jiji la bandari tunakubaliana kitu kimoja, jiji letu lina watu wengi wenye matatizo ya nguvu za kiume na low sperms count, yaani wanaume ni wagonjwa kuliko wanawake kwenye afya ya uzazi.
Sasa basi, kumekuwa na madalali wanawakutanisha wanaume wenye màtatizo ya...
Naombeni umshauri wale ambao mnaifahamu kuhusu dini Mimi ni muislamu Jina kwa maana siswali Ila familia yetu ni waislam.
Katika kutafuta Biashara ya nyumbani hisiyo na usumbufu sana nikagundua NGURUWE wanafaa sasa ninaamini kwamba nikifuga nitatengwa au nitaonekana nimehasi dini.
Sasa...
Nakumbuka 2016 niliwahi kuwa na duka la vifaa vya computer, nikaona nijiongeze ongeze nikaweka mabegi ya laptop kwa mtaji wa milioni 1 nikiamini kwamba yatatoka fasta sana, yaani hayo mabegi yalikuwa hayauziki kabisa, nilitaka niyauze kwa bei ya hasara lakini wapi.
Hadi nafungua duka lingine...
Jalisco New Generation Cartel au CJNG, ambayo zamani ilijulikana kama Los Mata Zetas, ni muungano wa uhalifu uliopangwa wa Mexico wenye makao yake makuu mjini Jalisco ambao unaongozwa na Nemesio Oseguera Cervantes, mmoja wa wafanyabiashara wanaotafutwa zaidi duniani...
Habari wadau.
Kwenye jukwaa la biashara leo tuongelee kuhusu biashara ya ku sherehesha sherehe.
Ni biashara ambayo watu wengi hawaiwazi. Ila inaingiza hela nyingi sana kama faida.
Unapaswa kuwa mjanja kuelewa biashara yao wanavyoifanya na cost wanazotumia.
Hiyo biashara imejigawa pande...
Jf kwa kipindi chote imekuwa na wataalamu mbalimbali.
Naomba kujua maokoto au makadilio ya maokoto ya wakala wa bima(gari) katika bima moja yapo vipi.
Natanguliza Shukurani...
Nitaeleza kwa uelewa wangu,
Mtu akikuchota namaanisha akichota mchanga wa unyayo wako (ulipokanyaga) au eneo unalofanyia biashara, tegemea mtaji kushuka wateja kuisha kabisa au mambo yako kuyumba kila utakacho fanya utaangukia pua.
UFANYE NINI UNAPOONA MTU KAKUCHOTA?
Unachota mchanga wa hapo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.