WanaJF,
Nashauri kuanzia leo tususie biashara zote anazofanya huyu mbunge wa Babati kwa kitendo chake cha unyanyasaji. Naomba anayezifahamu aweke majina yake hapa.
Tuanze na hiyo hoteli inaitwa Palii sijui nini.
Hakuna kufanya biashara na muuaji au wanaomsapoti mpaka akili iwakae sawa...
Baadhi ya Mawaziri wa Baraza la Mawaziri la Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC), wameunga mkono na kujipanga kutekeleza ushauri wa Rais Samia Suluhu Hassan wa kuachana na mifumo ya kuzuia bidhaa na biashara mipakani.
Wakati wa ufunguzi wa Mutano wa 23 wa Wakuu wa Nchi za EAC, Rais Samia alishauri...
Habari wana business!
Leo nataka nitoa mwongozo kamili wa kuanzisha biashara ya matunda , ni biashara ambayo inadharaulika lakini ukikaa kitaalamu ni biashara nzuri yenye faida kubwa ingawa wengi hatuna mpango nayo. Kuanzisha biashara ya matunda inaweza kuwa fursa nzuri ya kibiashara kama...
Chanzo
Kuelekea mkutano wa mazingira wa dunia, COP28, utakaofanyika mwezi December 2023 huko Dubai, CNN imetoa ripoti maalum inayoilaumu UAE kwa kuendesha miradi chechefu ya kimazingira ikiwemo kukwapua ardhi ya Afrika ikijifanya kutunza mazingira wakati nia halisi ni kujikingia kifua wakati...
1st of all niwashukuru nyoote mliofunguka maoni yenu, truth of all yanatia hamasa na kidogo mtu unapata mwangaza wa kuthubutu
Nimefikia hatua nimeafiki biashara ya kutembeza mchanganyiko wa matunda yaliyokatwa katwa. Hence, siku ya kesho naingia kulangua matunda yangu although nimeshauriwa...
Shamba linauzwa Tshs.350,000 kwa ekari moja. Ekari hiyo hiyo inakodishwa kwa Tshs.100,000 hadi Tshs.130,000 kwa kilimo cha alizeti, mtama au mahindi.
Hapa ni momba mkoani Songwe. Inawezekana kutengeneza kipato kizuri sana kwa kumiliki mashamba ya kukodisha ambayo yana tija kwa wakulima wa mazao...
vitabu vitano vitakavyobadilisha maisha yako totally! How you think, act and behave towards undertaking any business venture.
Hellow Ladies and Gentlemen. Hope you are excited as I am!!.. what a great day in a positive mindset!! My pleasure, this thread finds you well.
Kama ulifanikiwa kusoma...
Siku hizi limeibuka vuguvugu la watu kukimbiakimbia mbio mabarabarani. Unaweza kukuta mmoja mmoja au kikundi.
Miaka ya zamani hii kitu ilikuwa haipo maana maisha ya mtanzania wa kawaida ni jogging na nyongeza.
Leo katika pitapita zangu online nimekutana na mzungu anaponda hiyo kitu. Anasema ni...
Heshima kwenu wakuu.
Mimi ni mfanyabiashara mdogo wa duka, Ukerewe . Kuanzia mwezi wa 6 kurudi nyuma, nilikuwa mtu wa kuhemea mzigo kwenye maduka ya jumla hapa hapa Nansio kwa pesa taslim laki 4 na kushuka. Yaani uwezo wangu ulikuwa wa kununua mzigo wa bidhaa kwa laki 2, laki 2.5, laki 3-4...
Heshima kwenu wakuu.
Mimi ni mfanyabiashara mdogo wa duka, Ukerewe . Kuanzia mwezi wa 6 kurudi nyuma, nilikuwa mtu wa kuhemea mzigo kwenye maduka ya jumla hapa hapa Nansio kwa pesa taslim laki 4 na kushuka. Yaani uwezo wangu ulikuwa wa kununua mzigo wa bidhaa kwa laki 2, laki 2.5, laki 3-4...
Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imeuhakikishia Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE) mazingira salama ya biashara na uwekezaji nchini.
Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Mbarouk Nassor Mbarouk (Mb.) amebainisha hayo aliposhiriki katika kumbukizi ya...
Habari wandugu . Naomba kuelimishwa vibali na leseni zinazoitajika katika ku run biashara ya pembejo .... Na usharu kwa ujumla wa biashara tajwa .. lengo kuifanya kwa ujumla na rejareja
TEUZI WA MKUU WA CHUO CHA ELIMU YA BIASHARA - CВЕ
21 Novemba, 2023, DODOMA
Waziri wa Viwanda na Biashara Mhe. Dkt. Ashatu Kijaji (Mb.), kwa Mamlaka aliyo nayo kwa mujibu wa Sheria ya Chuo cha Elimu ya Biashara Sura 315 na marekebisho yake ya mwaka 2020 kifungu 14(6B) (1) amemteua Prof. Edda...
Hello JF Members,
I'm madam Agnes, leo tena humu Jukwaani. Nisiwachoshe, niko na 30k kwenye kipochi, nahitaji kuanza biashara yoyote ile itakayowezekana sasa hivi.
Mazingira ni Dar es salaam. Siko na aibu, naeza fanya yoyote ile. Ilimradi tu itoshe kunipatia mlo pamoja na saving kidogo kwa...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan amemteua Bw. Adam Charles Mihayo kuwa Afisa Mtendaji Mkuu wa Benki ya Biashara Tanzania (TCB).
Bw. Mihayo ni Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya Afrika Tanzania.
Uteuzi huu umeanza tarehe 19 Novemba, 2023
Habari wan JF Natumai ni wazima,
Nilikua nahitaji mashine ya kukamulia juice ya umeme je naweza kupata wapi na kwa bei gani.
Naomba kwa mwenye kufahamu pia mwenye kujua connection ya miwa inakuwa naomba kufahamu.🙏
Snoop Dogg ameweka wazi kuwa hajaacha kuvuta bangi; bado anaendelea kuvuta kwani ndio kitu anachokipenda sana na kuamua kuweka mambo sawa kuwa yale yote ilikuwa ni tangazo (ad) la majiko yasiyo na moshi[emoji38][emoji38][emoji23]; smokeless stove.
Passport ni kitu muhimu sana. Lakini ukisikiliza ni malalamiko ya watu wengi kuwa upatikanaji wake ni mgumu.
Kutokuwa na passport ni moja ya sababu watanzania wengi kukoswa grobal mentality. Wengi mambo yakiwa magumu wanafikilia kurudi vijijini badala ya kutafuta fursa nje ya nchi.
Kigezo eti...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.