Hivi karibuni Wazanzibari wamekuwa wakionyesha ubaguzi wa hali ya juu sana. je maandamano yajayo mali zao zitakuwa salama?
Je huko mbele Wazanzibari watakuwa na amani kukaa na Watanganyika kama majirani
Watanzania tubadilike!
Biashara usiposhirikisha watoto au mke mara nyingi huweza kudhoofika, kufa au kuuzwa kwa bei ya chini sana ukitoweka.
Familia nyingi sana za wafanyabiashara zimedidimia kiuchumi na kuteseka kwa kukosa mwelekeo na umiliki thabiti wa mali.
Tujenge utamaduni wa...
Habari zenu wana JF
Naomba ushaurii wenu wadau wa MASASI hapo town ni biashara gani INALIPA ambayo nitajikwamua kimaisha kwa mtaji wa million moja na nusu.
Nawasilisha kwenu wadau
Mwezi uliopita nimejikuta nikalipa fine nyingi sana za gari.
Mara ya kwanza nilisimamishwa na kukutwa nina deni la parking. Nikasema sawa, labda ni uzembe wangu.
Wiki iliyofuata nikasimamishwa tena. Kwa Kosa la kuto kulipia fine ya wiki iliyopita.
Wiki iliyofuata tena nikasimamishwa mda huu...
Wakuu kwema, naombeni msaada kupata wazo la biashara maana nimeshaumiza kichwa sana sipati majibu. Nnao mtaji katika bonds ambao unamachua ndani ya miaka 5 ijayo utakaonipatia takriban Tsh 2B. Nikiweka na cash kwenye account zangu nyingine inakaribia tsh 2.5 B. Kiufupi nahitaji biashara...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akizungumza katika Kongamano la Biashara na Uwekezaji kati ya Tanzania na Urusi lililofanyika Jijini St. Petersburg nchini Urusi tarehe 05 Juni, 2026. Kongamano hilo limewakutanisha Wafanyabiashara, Wawekezaji pamoja na...
Habari za muda huu waheshimiwa, Salam.
Kabla ya yote, nipende kutanguliza shukrani zangu za dhati kwa maoni mtakayokwenda kuandika hapa, nami nitayachakata kwa uhalisia. Asante sana.
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza, nina kiasi cha Tsh Milioni 30,000,000 ambacho kiko tayari kwa ajili ya...
Ndio wengi hujaribu kabla ya kuingia rasmi je ulitumia mbinu gani Kwa wateja wa mbali na karibu usiseme tu mtandao SEMA SIRI YAKO YA MAFANIKIO.
Itasaidia wengine kuepuka kukurupuka na mitaji yao ya kubahatisha
Wateja wanaotaka simu latest mfano iPhone 17 kwakua hawana cash wanapeleka simu yao za zamani mfano iPhone 16 kisha wanaongezea hela naona kabisa hawako sawa kichwani
Yaani nikupe simu na nikuongezee Mil 1.6 kwahiyo simu yangu (mfano iPhone 16 Pro) inathamani gani? Laki 5 au? Maana huwezi...
Kwenye suala la biashara ni kugumu sana jamani, kuna watu wanaanza biashara zinashindikana licha ya jitihada ila ngoma inagoma kwenda mpaka mtu anasema isiwe tabu anaamua kufunga.
Wengine ni kupata hasara kwa kukosa wateja, wengine ni kushindwa kusimamia biashara nk
Wewe nini kilikukwamisha...
Je, una wazo la biashara au tayari una biashara inayofanya kazi lakini huna nyaraka rasmi za kuwasilisha benki kwa ajili ya mkopo au kwa wawekezaji?
Tumezindua Templates za Kitaalamu zitakazokuokoa muda na kukupa muonekano wa kisasa mbele ya wakopeshaji au watoa fedha.
1. Business Plan...
Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM), kwa kushirikiana na TISEZA @invest_in_tanzania na @sydf_tz , kimeendelea kuwajengea wanafunzi uwezo wa ujasiriamali na uwekezaji kupitia programu ya Public Lecture – Student Investor iliyofanyika kwa siku mbili, tarehe 30 na 31 Mei 2026 katika Ukumbi wa CIVE...
Nina Imani wazee wa vijiwe mpooo!
JE uliwai fika pale Mbezi beach kijiwe kizuri kabisa kilichojilikana kama FISH POINT?
Ni kijiwe Fulani kizuri kilichohasisiwa na kijana mdogo sana aliyejulikana kwa JINA la Martin KOMBA,sijui kama hapo kijiweni alijukana kwa JINA ilo ILA naisi atakuwa...
Vibanda biashara vya kisasa 🔥
Tunatengeneza vibanda vya biashara kwa mbao na bodi.
Vibanda ni imara na haviharibiki kwa maji( finishing tunatumia stika hivyo huzuia maji kuingia kwny bodi au mbao pia stika hufanya muonekano wa kibanda kuwa 🔥🔥🔥..
Tupo dar mbagala mikoani tunafika kufanya kaz...
Kwanza nikiri huyu dada ni chuma haswa yani ni mzuri mpaka mzuri tena
Ana rangi ya chocolate, macho mazuri na shape pia mashaallah anayo.
Ana biashara yake ya kusimamisha maziwa na yeye mwenyewe ndiye anayefanya kama sampuli kuvutia wateja ila sasa kukaa kifua wazi kabisa bila chochote...
Hivi Ina maana vyombo havioni Biashara ya Madawa hasa ya cocaine inavyoenea majiji?! Network ya watu wanokwenda Mombasa, Dar , Arusha na Dodoma. Wanazuga kama wanafanya Biashara za Magari na spare!? Nani anawapa Baraka? Heroin ipo miaka kibao lakini cocaine Sasa hivi imeenea sana. Na inatumiwa...
Nakumbushia tu siyo kwa ubaya.Niliwahi kutoa maandiko zaidi ya manne nikionyesha jinsi biashara ya uuzaji dhahabu feki ilivyoathiri maendeleo ya wanafunzi mashuleni na kujikuta wamelowea kwenye biashara hiyo na kuacha masomo.Matokeo yake wengi wamepata vilema kwa vipigo,na baadhi kupoteza...
Vibanda vya biashara.
Tunatengeneza vibanda vya biashara kwa mbao na bodi.
Vibanda ni imara na haviharibiki kwa maji( finishing tunatumia stika hivyo huzuia maji kuingia kwny bodi au mbao pia stika hufanya muonekano wa kibanda kuwa 🔥🔥🔥..
Tupo dar mbagala mikoani tunafika kufanya kaz.
0692477610
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.