biashara

  1. Planet Data bundles

    JamiiForums Tanzania Nataka nianze biashara ya Air BnB mwanza ?? Nitatoboa?

    Kwa msio elewa BnB Ni biashara ya kuazimisha nyumba kama hotel ambayo iko na kila kitu ila classic
  2. baz kaiza

    JamiiForums Tanzania Uzuri ni kwamba namba wote tunaisoma. Wakosoaji wa serikali waimba mapambio na kusifu na kuabudu serikali wote tuko kapu moja.

    Uzuri ni kwamba sukari ikipanda bei haichagui wewe ni mwimbaji mzuri wa mapambio au ni mkosoaji wa serikali namba inasomeka maumivu yako palepale. Ukienda kituo cha mafuta kuweka mafuta kwenye gari. wote tunaugulia maumivu kwenye bei ya mafuta haichagui wewe unasifia serikali au ni mkosoaji wa...
  3. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Tanzania na Zambia Waazimia Kuondoa Vikwazo vya Biashara

    Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Jamhuri ya Zambia zimeazimia kuendelea kuchukua hatua katika kuondoa vikwazo vya biashara ili kurahisisha usafirishaji wa bidhaa, huduma na watu, hatua inayolenga kuimarisha zaidi ushirikiano wa kiuchumi, biashara na uwekezaji kati ya mataifa hayo mawili...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Kuna ukweli biashara ya kubeba mizigo kwa kirikuu imeyumbishwa na maguta ya Kichina

    Hapo zamani biashara hasa za hardware walikuwa wanatumia sana kirikuu kubeba cement, mabati, nono, n.k. lakini sikuhizi tunazidi kuona kasi ya maguta yakichukua nafasi hii wafanyabiashara wanaoenda kununua vitu kama maduka makubwa nao hawachezi mbali wameanza kuyaelewa maguta Pia kirikuu...
  5. N

    JamiiForums Tanzania Je, ni halali kwa vijana wa leo (Gen Z) kuwekeza zaidi katika teknolojia na starehe kuliko kuwekeza katika kilimo na biashara?

    Kumekuwa na ongezeko kubwa la vijana wa kizazi cha 2000 (Gen Z) kuelekeza nguvu, muda, na rasilimali zao katika starehe na teknolojia; ikiwemo mitandao ya kijamii, gaming, mavazi, kamali(kubeti), na ajira za mtandaoni, badala ya sekta za uzalishaji kama kilimo na biashara ambazo zilikuwa uti wa...
  6. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Mawaziri wa Tanzania na Zambia kukutana Tunduma, Mei 7, 2026 kuboresha ushirikiano wa uchumi, biashara na uwekezaji

    Maandalizi ya Mkutano wa Mawaziri wa Biashara (Joint Trade Committee – JTC) kati ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Jamhuri ya Zambia yamekamilika kufuatia kuhitimishwa kwa kikao cha Kamati ya Pamoja ngazi ya Makatibu Wakuu kilichofanyika leo, Mei 6, 2026, katika Kituo cha Huduma cha Pamoja...
  7. ngara23

    JamiiForums Tanzania Ruto ameongelea sera ya uwekezaji na biashara, Mwenzake anaongelea kuchapa bakora wakosoaji

    Speech ya Rais Ruto ilikuwa safi kutoka Kwa mtu smart. Imejaa weledi, sera, taaluma na utashi wa maendeleo Hotuba ya Samia imejaa visasi na chuki Kwa wananchi Aibu naona zaidi Kwa michango ya wabunge waliotoa, ilikuwa ni pongeza na uchawa Mara Ruto ni mpenda watu, mara oooh yaani upumbavu tu...
  8. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Tanzania na Zambia Wakutana Kuboresha Mazingira ya Biashara, kujadili uondoshwaji wa vikwazo vya ushuru

    Mkutano wa Kamati ya Pamoja ya Biashara (Joint Trade Committee – JTC) kati ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Jamhuri ya Zambia umeanza tarehe 4 Mei 2026 mjini Tunduma mkoani Songwe, kujadili masuala ya kibiashara kati ya nchi hizo mbili ikiwemo uondoshwaji wa vikwazo vya ushuru na visivyo...
  9. O

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ruto Lands Tanzania: Biashara, Ajira na Ushirikiano Mpya Kwenye Meza

    Rais wa William Ruto ameanza ziara ya siku mbili nchini Tanzania kuimarisha uhusiano kati ya majirani hawa wa Afrika Mashariki. Ziara hii inaonekana kuwa muhimu sana hasa kwa masuala ya biashara, ajira na maendeleo ya kikanda. Kwa mujibu wa taarifa kutoka Ikulu ya Tanzania, Ruto atakutana na...
  10. MamaSamia2025

    JamiiForums Tanzania Uzoefu wangu kwenye biashara ya duka la nguo

    Wakuu leo nimeona niandike uzoefu wangu mdogo kwenye hii biashara ya duka la nguo. Huenda ikamsaidia mtu fulani humu atakayesoma uzi. Kwanza kabisa hii biashara sikuwahi kuota ipo siku nitaifanya kwa sababu nilikuwa siielewi na pia kuiogopa kwa sababu marafiki zangu walikuwa wakianzisha na ndani...
  11. BigTall

    JamiiForums Tanzania Responded Wananchi wa Mbagala Rangitatu wadai kubomolewa makazi, vibanda vya biashara wakati kesi iko mahakamani

    Wananchi hawa wa Mbagala Rangitatu, Dar es Salaam, wamedai kubomolewa makazi, vibanda vya biashara zao na Manispaa ya Temeke wakati kesi iko mahakamani, tukio hilo limetokea Mei 2, 2026. Wananchi wanadai wana zuio la Mahakama Kuu na kesi ipo mahakamani ila Manispaa ya TEMEKE walifika ghafla Mei...
  12. R

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Biashara yetu kati ya Tanzania na Rwanda imekuwa hadi kufikia Bilioni 644 mwaka jana 2025

    Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amefanya mazungumzo na Rais wa Rwanda, Paul Kagame leo Mei 3, 2026 ambapo amebainisha kuwa mazungumzo yalifanyika yaliyohusisha pia mawaziri na viongozi wengine wa serikali. Pia alieleza Biashara kati ya nchi hizi mbili imekua kwa...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Hii ndiyo sababu unaweza kupoteza muda na pesa kusomea biashara chuoni; ni heri ujifunze kwa kufungua duka dogo au kuwa winga

    Watu wengi wanapoenda kusomea biashara chuoni lakini wakifika wanatamani hata kukimbia, ni majuto. Walichofikiria watakikuta na wanachokikuta ni vitu viwili tofauti. Badala ya mtu ku-focus kwenye biashara, anakutana na mzigo mkubwa wa kozi nyingi kwa wakati mmoja. mfano kila semesta (miezi...
  14. Marcovicsavic

    JamiiForums Tanzania Unafanya biashara gani , je unahitaji mfumo kutunza taarifa

    Habari za leo wandugu kijana wenu nime rudi , Nina mifumo mingi y kutunza rekodi za biashara kama Mining Ofice management office Spare Store Management Systerm Loan Ofice Managenent System POS for supermarket and all size shop Nakadhalka Je unahitaji mfumo wowote ambahaupo hapo na una miss...
  15. UTPC

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Mabilioni biashara ya kaboni hatarini kutoweka

    KATAVI: Licha ya vijiji vinane vya Halmashauri ya Wilaya ya Tanganyika kujiingizia zaidi ya Sh bilioni 29 kupitia uuzaji wa kaboni, biashara hiyo ipo hatarini kutokana na uwajibikaji usioridhisha wa waliopewa dhamana ya kulinda na kuhifadhi misitu na kukithiri kwa shughuli za kibinadamu...
  16. youngkato

    JamiiForums Tanzania Ijue biashara ya vipodozi (cosmetics business) Tanzania

    Biashara ya vipodozi ni moja ya biashara zinazokua kwa kasi sana Tanzania kwa ujumla. Kuongezeka kwa matumizi ya mitandao ya kijamii, ushawishi wa influencers, na uelewa wa self-care kumeongeza mahitaji ya bidhaa za urembo kwa wanawake na wanaume. Ukuaji wa kipato cha watu umeongeza matumizi...
  17. youngkato

    JamiiForums Tanzania Biashara ya lodge / guest house Tanzania

    Kwa mujibu wa World Bank (2023), ukuaji wa miji Afrika unaongeza uhitaji wa huduma za malazi, huku Tanzania National Bureau of Statistics ikionyesha kuongezeka kwa shughuli za kiuchumi mijini, hali inayochochea safari za kikazi na mahitaji ya lodging. 👉 Hii ina maana moja: Biashara ya lodge sio...
  18. Burn the bridge _Tz

    JamiiForums Tanzania Sio rahisi kufanya biashara ukiwa umeajiriwa, mnaoweza mnamtumia njia Gani?

    Kazini kuangia saa Moja na nusu kutoka saa kumi kamili. Je unaweza kufanya vipi kitu nje na KAZI yako Ahsante
  19. UTPC

    JamiiForums Tanzania Biashara holela shubiri kwa usalama Morogoro

    Machi mwaka 2019, maisha ya Bi. Mwajuma Rajabu mkazi wa Tubuyu, Kata ya Tungi, Manispaa ya Morogoro yalibadilika ghafla. Akiwa anauza samaki pamoja na wafanyabiashara wenzake pembeni ya barabara ya Boma, gari lililokuwa likipita lilipoteza mwelekeo na kuwavamia. Ajali hiyo ilimjeruhi vibaya...
  20. MANAGER DOCTOR WENGER

    JamiiForums Tanzania Kupata mabilioni ukafanyie biashara sio lazima uwe na dhamana, ji brand tu

    Nimeona Uzi wa jamaa humu, kaenda kukopa b 3 ilihali yeye ni mlala hoi tu. Sio kesi ila, nimeshangaa watu kumpuzia na kumdharau, sio sawa, mtoto wa mjini kukopa pesa huitaji kiwanja wala mali yoyote, unacho hitaji ni kujibrand tu bhaaaaassssshhhh. Yule zungu, wa kipaza sauti, alienda Oman...
Back
Top Bottom