Kwa miaka ya sasa hivi million 10 sioni kama ni mtaji tosha katika biashara, hasa hizi biashara za kukaa kusubiri wateja, kwasababu frame za biashara (mahali palipochangamka) ni kama zimeisha na ukipata basi Kodi itakua ni kubwa, au utahitajika kumuondoa mtu, ulipe wanaita kiremba, kwahiyo mtaji...
Elimu ya sheria: Kuhusu
namna ya kufanya biashara yako iwe rasmi na inayoaminika kwa kufuata taratibu za kisheria.
Kama unataka biashara yako iwe rasmi na ilindwe kisheria nchini Tanzania, fuata hatua hizi:
1: Chagua wazo la biashara. Tambua unataka kuuza nini au kutoa huduma gani.
2: Chagua...
Hii mada sikuweza kuwasilisha vizuri ila nitarudia ili kuachana na uchawi na akili za fulani kanifungulia.
Biashara za misosi kitaalamu tunaita kemia ndio maana mtu anaweza kujua hii Pepsi na hii coca cola.
Uwezi kwenda sehemu moja kila mtu wanapika kina fanana kama hupo gerezani.
Yani leo...
Serikali imesema haijauza wala haijakabidhi rasilimali za misitu au maliasili za Tanzania kwa mataifa ya nje kupitia makubaliano ya biashara ya kaboni, ikisisitiza kuwa hatua zinazoendelea zinalenga kuongeza manufaa ya kiuchumi kwa taifa huku zikilinda maslahi ya wananchi.
Akizungumza na...
Tangu zamani watu waliojenga nyumba kabla ya biashara wamekuwa wakiulizwa maswali ya kwa nini wasijenge biashara kubwa kwanza alafu ndio baadae wajenge nyumba, wanaouliza hayo maswali wanadai kujenga ni kuzika pesa!
Dhana ya kwamba ukijenga unazika pesa siku hizi imeshika kasi baada ya...
Wilaya ya Manyoni mkoani Singida inakabiliwa na tishio kubwa la kiusalama na kiuchumi kufuatia kushamiri kwa mtandao hatari wa wizi wa mafuta unaofanywa na baadhi ya madereva wa magari makubwa ya masanduku na yale ya kusafirisha mafuta kuelekea mikoa ya jirani na nchi za nje.
Uchunguzi na...
Anonymous
Thread
biashara
maeneo
mafuta
magari
magari makubwa
makubwa
manyoni
serikali
singida
wizi
wizi wa mafuta
Juzi juma tano Kuna mama Mmoja namfaham ni mfanya biashara wa muda sana japo siku wahi Fanya nae biashara, nikataka aniuzie mtambo Mmoja, nilimuhoji akadai ni mzima na utafanya hitajo langu bila shida, nika muamini, nikampatia pesa na alinifanyia discount kidogo.
Nimefika site naukagua mtambo...
Habari. Mimi ni mfanyabiashara wa salon ya kike katika Manispaa ya Morogoro, salon yangu imefungwabkwa wiki tatu sasa na makufuri ya Manispaa kwa kosa la kutolipia leseni.
Nilienda ofisini kwao wiki iliyopita na nilipewa control number za malipo ya jumla ya 150,000 (Faini na leseni) lakini...
Anonymous
Thread
biashara
kulipa
manispaa
manispaa ya morogoro
morogoro
wafanyabiashara
wiki
yako
Meya wa Kinondoni, Songoro Mnyonge, amesema waendesha bodaboda walioshiriki katika kampeni za vyama vya siasa hawakufanya hivyo bure, bali walilipwa kwa huduma zao kama sehemu ya shughuli za kibiashara.
"Nilikuwa namsikia mbunge mmoja juzi anazungumza kwenye bunge, kwamba hawa watu [Bodaboda]...
Kampuni za Algeria zatafuta wabia wa biashara na uwekezaji Tanzania
Kampuni za Algeria zinazojishughulisha na uzalishaji wa bidhaa mbalimbali zikiwemo za viwandani na kilimo zinatafuta wabia wa kufanya nazo biashara ya mazao na uwekezaji katika sekta ya viwanda nchini Tanzania.
Kampuni hizo...
Jipimie kuwazidi hawa waajiriwa wa taasisi kubwa kubwa, uweze kutengeneza angalau milioni 10 na zaidi kila mwezi, watumishi wachache sana wanavuka hapo ukiunganisha posho, mshahara na vidili. basi hio ndio iwe target yako.
Watumisi hasa wa serikali wana uhakika wa misahara, posho na vidili...
Niaje waungwana
Ikitokea mtu ana Mil 5 keshi, lakini anahitaji bajaji mpya. Akienda katika dula linalouza, au kukopesha bajaji Dar na mdhamini wake. Kisha awambie kuwa ana Mil 5, anaomba bajaji ya mkopo akaanzie kazi, halaf zitazobaki watalipana kwa mkataba wa malipo ya kila siku, hata ikibidi...
Kuna Mwalimu chuo kikuu mzumbe ndani ya Morogoro anafanya elimu Kama Biashara anatoa assignment ambayo tunatakiwa kuondoka Zaidi ya page 80 Na haturuhusiwi kuprint eti tukusanye softcopy Kwa CR's ndio wakaprint kwenye stationary yake tu yeye bila kuprint kwake unapata ziro imagine me Na printa...
Kitendo cha kuweka wadada walioumbika na kuwavalisha vimini vyenye mpasuo ili kuvutia wateja ni ukahaba.
Kuna vile vidada vinavyouza vinywaji na bites kila mara vinainama inama, paja linakaa wazi, guu la bia jicho lege yani kama tuko Ubungo Riverside.
Ni vijanja sana ukigusa kinajifanya...
Baadhi ya watu wanadhani fursa za huu utalii tena wa mikoa mingine unatakiwa kunufaisha kwao tu
Ni vita kubwa sana hii, kwa sasa tunasikia milio kila muda panaposikika habari za ujenzi wa uwanja na imeonyesha haijaanza leo bali ni ya muda mrefu sana kupiga sabotage uwanja huu, ila kwa sasa...
arusha
biashara
habari
hawapendi
hawataki
kelele
kiwanja
kufanya
kujengwa
kuona
kusikia
maeneo
maslahi
miaka
namna
ndugu
sababu
sababu za
sabotage
sana
serengeti
ubinafsi
ujenzi
ujenzi wa uwanja
uwanja
wabinafsi
wabunge
wanaopinga
wao
zao
CHANGAMOTO YA MASOKO KATIKA BIASHARA YA KUNUNUA MADINI:
GEMSTONES VS DHAHABU
Unapoingia kwenye biashara ya kununua madini tambua kuwa hii ni biashara kama biashara zingine, madini ni bidhaa kama bidhaa zingine unazoenda kununua na kuuza kwa wanunuzi hivo hata madini yako hivyo pia...
Kamwe...
Kuna jambo la kijiografia ambalo nimekuwa nikilitafakari kwa muda. Ukiangalia ramani ya dunia, maeneo mengi ya mashariki yanaonekana kuwa na mchanganyiko wa utajiri mkubwa wa rasilimali na migogoro mikubwa kuliko maeneo mengine.Mashariki ya Kati ina mafuta na gesi nyingi kuliko maeneo mengi...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan, na Rais wa Jamhuri ya Namibia, Mheshimiwa Dkt. Netumbo Nandi-Ndaitwah, wameshuhudia utiaji saini wa mikataba minne ya ushirikiano kati ya Jamhuri ya Muungano waTanzania na Jamhuri ya Namibia, hatua inayotarajiwa...
Habari mjasiriamali,
Leo ni tarehe 19 June,
Hii Ina maanisha kuwa Bado siku 10 tuu mpaka ufike deadline ya ku submit Audited financial statements kwa mwaka 2026.
Deadline ni tarehe 30 June.
Kama mmiliki wa biashara au Kampuni unatakiwa ku file na ku submit Audited financial statements kabla...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.