biashara

  1. emmarki

    JamiiForums Tanzania Kwa mtaji wa 4,000,000 biashara gani inafaa Mafia

    Kwa mtaji wa 4,000,000 ni biashara gani inafaa kufanyika kisiwa cha Mafia. Mnipe muongozo
  2. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Tanzania na Namibia zasaini Mikataba Minne ya Ushirikiano Kuimarisha Ulinzi, Biashara na Maendeleo ya biashara ndogo na za kati

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan, na Rais wa Jamhuri ya Namibia, Mheshimiwa Dkt. Netumbo Nandi-Ndaitwah, wameshuhudia utiaji saini wa mikataba minne ya ushirikiano kati ya Jamhuri ya Muungano waTanzania na Jamhuri ya Namibia, hatua inayotarajiwa...
  3. L

    JamiiForums Tanzania Mfanya Biashara Bado Siku 10 Upigwe Penalty

    Habari mjasiriamali, Leo ni tarehe 19 June, Hii Ina maanisha kuwa Bado siku 10 tuu mpaka ufike deadline ya ku submit Audited financial statements kwa mwaka 2026. Deadline ni tarehe 30 June. Kama mmiliki wa biashara au Kampuni unatakiwa ku file na ku submit Audited financial statements kabla...
  4. aise

    JamiiForums Tanzania Kama uko nje ya mji, eneo ambalo mji unajengeka, Fanya biashara ya kukodisha mbao

    Fanya biashara ya kukodisha mbao za linta, Majukwaa Kwa ajili ya kujengea, Fox, Mapipa ya kuwekea maji Kodisha mpaka machepe, Suluku, majembe nk Changamoto yake kubwa utakayoipata ni mafundi kukata mbao ndefu. Kuitatua hiyo changamoto nenda saiti fundi apime vipande vyote anavyohitaji nenda...
  5. stabilityman

    JamiiForums Tanzania Biashara 5 ambazo haziwezi kufa milele

    1 Chakula 2 Biashara ya kufanya usafi 3 Hair and beauty 4. Kazi ya kurepea vitu vilivyo haribika 5. Biashara ya kupangisha nyumba
  6. youngkato

    JamiiForums Tanzania Biashara ya Kuuza Vinywaji: Fursa Kubwa Kama Utaanza Kwa Njia Sahihi

    Biashara ya kuuza vinywaji ni moja ya biashara zinazoweza kuwa na mzunguko mzuri wa fedha, hasa ukiifanya katika eneo lenye wateja wa uhakika. Vinywaji kama Konyagi, K-Vant, mvinyo, bia, soda, maji na vinywaji vingine vinaweza kuwa na soko kubwa kwenye maeneo ya makazi, karibu na migahawa, baa...
  7. masai dada

    JamiiForums Tanzania Ni rahisi mno kutoboa biashara ambayo una ujuzi,hobby,taaluma sawia

    kuna siku moja mtu aliniuliza unapenda kitu gani mbali na kazi yako kukifanya kutengeneza pesa bila kupepesa macho nikasema kupika, kuna uzi flani hapa jf ulianzishwaga nyakati za nyuma kidogo ,sikumbuki title ila nilicoment nikasema unaweza ukatengeneza brand yako hata ya chips tu ni swala la...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Hivi hali ya biashara huko kwenu ipoje.....

    Najiuliza tu kwa mikoa mingine huko Hali ipoje ndugu zangu. Sisi huku tunaangalia tu madukani . Tunajihoji ni mkoa wetu tu au na huko hali ipoje.
  9. pilato93

    JamiiForums Tanzania Kuna Biashara Jinsi Zinavyofanyia Market Nikisanga tu

    Habari za usiku utulivu wanajukwaa, Leo bhana katika kupitia pita mtandaoni Huku na kule nikakutana na Link ya dalali muuza utamu, nikaingia ili nisome some kidogo kusudi muda uende bhana. Kilichonishangaza ni jinsi wauza utamu wanavyo market biashara zao, mwingine anasema anashida ya 200k...
  10. N

    JamiiForums Tanzania Biashara ya mafuta ya alizet

    Wakuu mwenye uzoefu naomba maelekezo kuhusu biashara hii ya mafuta ya alizet.natoa dodoma au singida naenda kuyauza dar es salaam. Je biashara hii imekaaje? Nipeni mwangaza
  11. Msafiri mkusa

    JamiiForums Tanzania Mfumo wa kusimamia biashara

    Avialmax ni mfumo unaokupa udhibiti kamili wa bisahara yako kwa usalama na usahihi jiunge na avilamax software upate siku 14 za majiribio kwa maelezo zaidi tupigie kupitia 0623552355 kawaida au whatsapp
  12. Expensive life

    JamiiForums Tanzania Umepitia changamoto week moja tu kwenye biashara yako toka uianzishe umeshakata tamaa

    Ndugu zangu, biashara ni mchakato mrefu sana, nina shuhuda za baadhi ya ndugu jamaa na marafiki kuanza biashara kwa pupa kisha kuangukia pua. Mtu ana m10 yote anaitia kwenye biashara, matarajio yanakuwa makubwa sana kwa kipindi kifupi, kwenye hiyo biashara ambayo bado ni changa sana, ndio...
  13. ndege JOHN

    JamiiForums Tanzania Vita ya kwanza ya kijana si biashara, ni chakula

    kipindi cha nyuma tukiwa tunarudi safari za kikazi wilayani namuona boss wangu anajaza viroba vya vyakula mpaka cruiser inajaa ananishauri ninunue debe za mahindi me bishoo hapo naona huo ni ushamba nanunuaje mavyakula wilayani wakati mkoani masoko yapo na kibunda nitakuwa nacho.. nadharau...
  14. raisi wa dar

    JamiiForums Tanzania Nina mtaji wa Milioni 1.5, Biashara ya Chips Njombe inalipa?

    Habari za muda wana JF, Katika harakati zangu za maisha nimejikuta tu nadondokea Njombe. Nina wiki mpaka sasa. Maisha yamenichapa balaa. Mfukoni nina kama 1.5M, nikawa nawaza biashara ya viazi, kwa maana ya chips. Naomba wazoefu wa mkoa huu wanaoujua vizuri wanielekezee. Hii biashara inalipa...
  15. Fbn

    JamiiForums Tanzania Kwenye biashara, TRA kodi yenu kwenye kutoa risiti mbona mnachukua mpaka na mtaji?

    Kuna mambo ya kubadilishwa ili swala la ulipaji kodi kwenye makato ya risiti. Kwa nini asilimia 18 zijumuishwe kwenye mauzo na kwa nini zisijumuishwe kwenye faida niliyopata. Mfano umeagiza mzigo thamani yake yake mpaka hupo dukani 100000/= bei ya kuuza dukani 130000/=. Mteja kataka risit na...
  16. Tajiri Tanzanite

    JamiiForums Tanzania Namtafuta mganga mzuri wa ‘kunitengenezea’ biashara yangu

    Hapo vip! Jamani nina tatizo sereous,ninabiashara sehemu kila nikiweka mtaji then mtaji unakata..na nauza kidogo na pale ni stand kabisa ila majira wanauza na biashara zao haziyumbi kabisa. Mimi nipo Arusha ila nikimpta mganga mzuri wa kujija kunisindikia eneo langu la biashara itakuwa poa...
  17. Tanzanite klm

    JamiiForums Tanzania Biashara ya kusaga unga Dar

    Habari za saa hizi wataalamu. Nina mashine ya kukoboa na kusaga. Rolla tatu, mota 30hp zote mbili. Toka nianze hii biashara sijapata faida. Naomba ushauri kwa walio kwenye hii game muda mrefu. Nifanye nini niweze kunufaika na hii biashara?
  18. youngkato

    JamiiForums Tanzania Biashara ya Spea za Pikipiki Tanzania: Mwongozo Kamili wa Kuanzisha, Kufanikiwa na Kusajili Biashara Yako Kisheria

    Kwa Nini Biashara ya Spea za Pikipiki Ina Fursa Kubwa Tanzania? Katika miaka ya hivi karibuni, matumizi ya pikipiki nchini Tanzania yameongezeka kwa kasi kutokana na ukuaji wa huduma za usafiri wa bodaboda, usafirishaji wa mizigo na matumizi ya kawaida vijijini na mijini. Kadiri idadi ya...
  19. B

    JamiiForums Tanzania Biashara ya printing

    Kwa wale tunaofanya biashara ya printing hasa T shirt, mug, nk tupeane machimbo ya plain t shirt na material mengine kwa bei za jumla
  20. M

    JamiiForums Tanzania Baada ya kufunga duka mara kwa mara na kulalamikia simjali napomuelekeza, nilimpa mtaji afungue lake. Biashara imemnyoosha, anatamani kurudi

    Wakati mwingine sisi wenye biashara tunaonekana wakali au wenye roho mbaya kwa wasaidizi wetu, lakini ukweli ni kwamba wengi wao hawaoni mzigo tunaoubeba kila siku. Hawajui hasara tunazopata, kodi tunazolipa, gharama za vibali, pango, bidhaa zinazoharibika, na changamoto nyingine nyingi za...
Back
Top Bottom