afya

  1. P

    JamiiForums Tanzania Vyoo vya Wanafunzi Chuo cha Ardhi Morogoro ni hatari kwa afya za Wanachuo

    Chuo cha ARDHI Morogoro ni miongoni mwa Vyuo vikongwe vya Serikali ambavyo vinatoa wataalamu mbalimbali kwa ajili ya Sekta ya ARDHI Ni Jambo la kusikitisha ambalo inawezekana sio la kiungwana kuhusu hali ya vyoo vinavyotumiwa na wanachuo. Hakijulikani tatizo ni nini na nani anawajibika na...
  2. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Katibu Mkuu Wizara ya Afya ametoa siku 14 kwa wamiliki wa vituo vya mchana vya malezi ya watoto (Day Care) kurekebisha kasoro kabla havijafungiwa

    Serikali imetoa siku 14 kwa wamiliki wa vituo vya malezi vya watoto na (Day Care), kurekebisha kasoro ili watoto hao walelewe katika mazingira sahihi na kwa kujibu wa Sheria. Katibu Mkuu Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto (Idara Kuu ya Maendeleo ya Jamii), Dk. John...
  3. Infantry Soldier

    JamiiForums Tanzania Je, haya mazoea ya miaka mingi ya kuogea sabuni za kufulia ni sahihi kweli? Kama si sahihi, yana madhara gani kwa afya za watanzania hapo baadae?

    Habari za wakati huu kaka na dada zangu wote wa humu jamiiforums. Ndugu zangu watanzania; Je, haya mazoea ya miaka mingi ya baadhi ya watu kuogea sabuni za kufulia ni sahihi kweli? Kama si sahihi, yana madhara gani kwa afya za watanzania hapo baadae? Nimeamua kuandika haya kwa maana kwamba...
  4. J

    JamiiForums Tanzania Hotuba ya Mkurugenzi wa Kinga; Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia Wazee, Siku ya Maadhimisho ya Mtoto Njiti, tarehe 17 Novemba 2020

    Awali ya yote napenda kumshukuru Mwenyezi Mungu kwa kutujalia afya njema hadi kufika hapa siku ya leo, napenda kuwashukuru nyote kwa kuja, tunapoungana kwa ajili ya kuadhimisha siku ya mtoto njiti Duniani leo tarehe 17 Novemba 2020. Aidha ninayo furaha kuwa sehemu ya maadhimisho haya, jambo...
  5. B

    JamiiForums Tanzania Kitendo cha Lema na Familia yake kupewa Asylum Canada kinaashiria Taifa limeanza kutengeneza wakimbizi wa kisiasa, jambo ambalo halina afya

    Upo umuhimu wa wasomi na wataalam wetu kuliangalia hili suala kwa macho mapana na kuishauri serikali. Tusione Canada wanatoa hifadhi kwa Watanzania tukakaa kimya, tujiulize tumefikaje hapa? Ikumbuke kwa mujibu wa sheria za kimataifa ukimbizi ni hadhi unayopata baada ya wataalam kukaa na...
  6. The Spirit of Tanzania

    JamiiForums Tanzania Uongozi wa Chuo cha Afya Tanga, fanyeni kazi kwa weledi

    Nina vijana wangu wamepata nafasi chuo cha afya tanga moja kwa moja kutoka kidato cha nne. Katika mambo yalilonishangaza ni kama ifuatavyo: 1. Suala la chakula mwanafunzi anatakiwa kujitegemea ila kwenye form ya kujiunga hawajaandika kabisa habari hii. 2. Chuo kutoza fedha ya kujiunga NACTE...
  7. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Siku ya UKIMWI Duniani: Watu 10,000 hufa kila siku kwa kukosa access ya Huduma za Afya

    Umoja wa Mataifa (UN) umesema Afya ni Haki ya Binadamu lakini watu 10,000 hufa kila siku duniani kwa kukosa Huduma za Afya. Akizungumza kuhusu Siku ya UKIMWI Duniani Mkurugenzi Mkuu wa UN, Antonio Guterres amesema uwekezaji mkubwa unatakiwa ufanywe katika Sekta ya Afya. Mbali na uwepo wa...
  8. wanzagitalewa

    JamiiForums Tanzania Tanzania ifanye nini kuvuna faida za Huduma ya Afya kwa njia ya mtandao?

    Katika miaka ya hivi karibuni, mapinduzi ya teknolojia za kidijitali yamekuwa mengi. Hii imezipa nchi nyingi faida bunifu za kupambana na changamoto mbalimbali.Mfano wa faida hizo ni huduma za afya kwa njia ya mtandao (m-health). Kwa watoa huduma za afya wengi, m-health imeleta njia mpya za...
  9. joto la jiwe

    JamiiForums Tanzania Tanzania katika huduma za Afya za kibingwa, haina mpinzani ukanda huu

    MY TAKE: Wakati Kenya wanafurahia kufanya operations bila mgonjwa kulala usingizi, Tanzania tupo miaka 50 mbele ya Kenya. Jambo moja muhimu na tofauti kubwa ni kwamba, Tanzania Hospital bora zenye kufanya haya maajabu ni Hospitali za serikali wakati Kenya ni Private Hospitals, sio zaidi ya 5%...
  10. J

    JamiiForums Tanzania Matamko ya usiku kama tuko vitani hayana afya kwenye siasa

    Yaani makamanda tumekaa kuanzia asubuhi tunasubiri tamko la CHADEMA kuhusu Wabunge 19 na sasa ni usiku lakini tamko bado kutolewa. Matamko ya usiku hayasdhirii heri kabisa. Msituchoshe jamani. Maendeleo hayana vyama!
  11. yousaw

    JamiiForums Tanzania Naomba udhamini wa elimu ya juu

    Wakuu, Kama kuna anayefahamu kuhusu taasisi, jumuiya au hata shirika linalojihusisha na udhamini wa wanafunzi wa elimu ya juu anisaidie nina shida ya udhamini. AHSANTE
  12. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Afya ya akili yahusishwa migogoro ya ndoa

    JAMII imetakiwa kufahamu namna bora ya kuzuia, kuhudumia na kutibu wenye matatizo ya afya ya akili kuepusha mateso, vifo na mfarakano katika jamii hasa wanandoa . Wakizungumza kwa nyakati tofauti, madaktari, wanasaikolojia , viongozi wa dini na taasisi zinazoshughulikia afya, wamesema kudorora...
  13. G Sam

    JamiiForums Tanzania Mchezaji wa timu ya taifa ya Kenya aondolewa kikosini baada ya kugundulika kuwana COVID 19 akitokea Tanzania

    Joash Onyango mchezaji wa timu ya taifa ya Kenya leo muda mfupi kabla ya mechi ya kimataifa aneondolewa kikosi cha timu yake ya taifa baada ya kugundulika kuwa na COVID 19 baada ya vipimo akiwa ametokea Tanzania ambapo anaichezea timu ya soka ya Simba.
  14. Intelligence Justice

    JamiiForums Tanzania Mgombea Urais, Ubunge, Uwakilishi na Udiwani-Awe mkazi eneo la jimbo husika, apimwe afya ya akili na asiwe mtoro wa kesi jinai

    Wakuu, Hili ni bandiko la Pendekezo, 1. Inapendekezwa kwamba mtu yeyote atakayejitathimini kuwa na nafasi ya kugombea uongozi wa kisiasa itamkwe kwenye katiba na sheria husika ni sharti apimwe afya ya akili na cheti cha uthibitisho kitolewe na kuambatanishwa kwenye fomu ya maombi ya nafasi ya...
  15. J

    JamiiForums Tanzania Jifunze kuhusu umuhimu na athari za upungufu wa madini chuma kwa Watoto

    UPUNGUFU WA MADINI YA CHUMA KWA MTOTO Madini ya chuma yaliyopo kwenye maziwa ya Mama hunyonywa vizuri zaidi yale kwenye vyanzo vingine. Vitamin C na kiasi kikubwa cha lactose kwenye maziwa mama husaidia kunyonywa kwa madini ya chuma kwa urahisi sana. Watoto wanaonyonya maziwa ya mama...
  16. Pastory Kimaryo

    JamiiForums Tanzania Chakula kipi ni kizuri kwa kufanya watoto wa nguruwe wakue na wawe na afya?

    Habari ya muda huu wajasiriamali wenzangu. Kama mada inavyojieleza kwenye kichwa cha habari hapo juu ni vyakula gani vizuri kwa ajili ya vibwagala, mimi binafsi natumiaga makombo ila bado sioni kama yanaleta tija sana kwao sasa nataka nijue kama kuna chakula cha dukani ambacho ni kizuri au...
  17. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Ummy Mwalimu amewashukuru Watumishi wa Sekta ya Afya na Watanzania kwa ushirikiano alioupata kipindi cha Uwaziri wake

    "Ninawashukuru watumishi wa sekta ya Afya na Maendeleo ya jamii wa ngazi zote kwa ushirikiano mzuri walionipatia katika kutekeleza majukumu Nawashukuru kwa imani na upendo wao mkubwa kwangu.Siku zote wamekuwa wakiniamini na kuniheshimu licha ya kuwa sio mwanataaluma wa Afya." "Kwa unyenyekevu...
  18. Masokotz

    JamiiForums Tanzania Mjadala maalum wa Afya ya Akili-Msongo wa Mawazo, Hasira na Hofu

    Habari za wati huu; Leo nimeona nilete mjadala kidgo ili tujadili kuhusu afya ya akili na upatikanaji wa huduma rafiki za afya ya akili(Mental health services)Kwa Tanzania Nitaanza kwa kufafanua tafsiri ndogo inayohusu afya ya akili-Afya ya akili inahusiana zaidi na hali ya kiakili/ubongo ya...
  19. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Waziri wa afya Ujerumani akutwa na COVID19

    Waziri wa Afya wa Ujerumani, Jens Spahn amethibitishwa kukutwa na #CoronaVirus na ana dalili kama za mafua Wizara ya Afya imesema waziri huyo amejitenga lakini watumishi wengine wa wizara hiyo hawatajitenga. Wote waliochangamana naye wameshataarifiwa Spahn ni mmoja kati ya wanasiasa wa wakubwa...
  20. J

    JamiiForums Tanzania Shehe Kishk: Kiongozi anapaswa kuwe ni mtu wa Amani, mwenye Afya njema na akiba ya Chakula!

    Shehe Kushk wa Jumuiya ya Temeke amesema kwa mujibu wa Qur'an tukufu Kiongozi wa kutawala duniani anapaswa kuwa na sifa kuu tatu, ambazo ni: 1.Mtu wa Amani 2. Mtu mwenye Afya njema 3. Mtu mwenye akiba ya Chakula Kiongozi wa ngazi yoyote anapaswa kuwa na sifa kuu hizo tatu ili aweze...
Back
Top Bottom