Jinsi ya kumsaidia mtoto aweze kutambaa, haswa kwa wale watoto ambao wameshafikisha umri wa kutambaa lakini hawataki kutambaa wala kusimamia vitu.
Namna ya kumsaidia unatakiwa kumpa mtoto muda mwingi wa kulalia tumbo (Tummy time), unamlaza mtoto kwa tumbo akiwa macho na chini ya usimamizi, hii...
Wanawake walioko katika miezi ya mwisho kabla hawajajifungua, ambao wanalala chali au kwa maneno mengine kulalia mgongo wanakaribisha hatari ya kuzaa watoto njiti, kwa mujibu wa utafiti mpya.
Watafiti wamebaini kuwa aina hii ya mlalo inawaweka zaidi watoto walio tumboni katika shinikizo...
NJOMBE- MAKAMBAKO
Nitahakikisha kuwa Bajeti ya Wizara ya Afya inapanda na kufikia asilimia 15 ya Bajeti ndani ya miaka 10 ijayo.
Ongezeko la bajeti litawezesha katika kuandaa miundombinu ya kisasa, wataalam, vifaa tiba na vipimo vya kutosha kwa maradhi yote.
Aidha ongezeko la bajeti...
Ubalozi wa Marekani umeungana na Watanzania wote katika kumkumbuka ya kumuenzi Baba wa Taifa.
Kwenye statement waliyoitoa hivi leo tarehe 14/10/2020 ubalozi huo umesisitiza kuwa Kwa karibu miaka 60 Mwalimu alituelezea imani yake kuwa maendeleo endelevu yanamaanisha kuwekeza katika watu...
Katika kijiji cha Mtakuja walimpata Mfalme ambae alikuwa kipenzi cha watu. Watu walimpenda Mfalme na Mfalme aliwapenda raia wake. Mfalme alirithi ufalme kutoka kwa baba yake, na alikuwa bado na nguvu zake. Raia walimtegemea jemedari huyu kuwaongoza kwa muda mrefu.
Matatizo yalianza katika...
Habari wadau,
Leo nimekaa na kutafakari sana juu ya uwezekano wa laini za simu tunazotumia katika simu zetu kutumika kukusanya fedha zinazoweza kugharamia matibabu ya karibu kila mtanzania na pia kukusanya fedha zinazoweza kutumika kugharamia Elimu ya juu.
Kwanini simu ya mkononi kupitia laini...
Habari wana jf,husika na kichwa cha Uzi nimesoma PCB na matokeo ni kama ifuatavyo.
Phy-C
Chem-C
Bios-C
Bam-D
Sasa baada ya kuomba round ya kwanza sijabahatika kupata chuo,Naombeni ushauri ni course zip nzuri za afya ambazo naweza kupata kwa round 2.
Nawasilisha.
Marufuku wanafunzi kupewa vidonge vya ‘folic acid’ shuleni – Waziri Ummy
NA EMMANUEL MALEGI-MOROGORO
Shule zote nchini zimepigwa marufuku kuwapa wanafunzi (wasichana balehe) dawa aina ya Folic Acid badala yake zimesisitizwa kuhakikisha zinawajengea uwezo wa kulima maboga na mbogamboga katika...
Sifa ya kikatiba inadai mgombea awe na afya njema.
Swali la kujiuliza waliripotisha vyeti vya madaktari kwa ofisi za tume?
Je, huu mwenendo wa mgombea huyu kuwa na mapumziko mengi yanaashiria kuwa afya ya bwana Tundu sio nzuri hivyo hata chadema hawakuliangalia hili?
Hadi wachapishe form moja...
Kulingana na Sera ya wizara ya afya juu ya matibabu ya wazee,watoto na wajawazito kutibiwa bure,,lakini katika hiki kituo imekua balaa watoto chini ya miaka mitano hulipia bila hela ahudumiwi au mpaka ukanunue gloves ndo unahudumiwa, Sio hvo tu isitoshe wajawazito kujifungua huambiwa waandae...
Kulingana na Sera ya wizara ya afya juu ya matibabu ya wazee,watoto na wajawazito kutibiwa bure,,lakini katika hiki kituo imekua balaa watoto chini ya miaka mitano hulipia bila hela ahudumiwi au mpaka ukanunue gloves ndo unahudumiwa, Sio hvo tu isitoshe wajawazito kujifungua huambiwa waandae...
Kazi ya Urais ni majukumu mazito. Katiba inaposema sifa ni Mtanzania mwenye afya njema hiki ni kipengele muhimu sana. Uchovu wa kazi unaweza kupelekea kutokuwa na muda wa kuangalia afya yako binafsi na kusababisha madhara makubwa ya afya.
Ningeshauri wagombea wawe wanafanyiwa upimaji wa afya...
WANAWAKE NCHI HII HAWAPATI HUDUMA BORA WAKATI WA KUJIFUNGUA NICHAGUENI KUWA RAIS WA NCHI HII NITATOA HUDUMA BORA YA AFYA NA KUDHIBITI VIFO VYA WAJAWAZITO NA WATOTO."PROF.LIPUMBA
BUKOBA MJINI
Nitahakikisha kuwa Bajeti ya Wizara ya Afya inapanda na kufikia asilimia 15 ya
Bajeti ndani ya miaka...
Taasisi ya Kuzuia na kupambana na Rushwa wilayani Hanang mkoa wa Manyara imemuamuru Mzabuni Ayubu Iyaka aliyepewa kazi ya kutengeneza na kupachika milango kwenye jengo la kituo cha Afya cha Hirbadaw, kuondoa milango yote 83 aliyoweka kwenye kituo hicho baada ya kubainika haina Ubora.
Takukuru...
22 September 2020
Njombe, Tanzania
Shirika la Misaada la Kimataifa la Marekani USAID ambao ni wadau wa maendeleo wa serikali ya Tanzania wameandaa semina juu ya Afya ya Mama na Mtoto mkoani Njombe uliopo nyanda za juu kusini nchini Tanzania.
Mradi huo umejikita kuondoa udumavu wilaya ya...
Peter Msigwa akosa watu wa kumfanyia kampeni na kumnadi amuomba binti yake wa Kwanza amnadi kwenye mkutano wa Kampeni Iringa aliouandaa
Hapa akimwita binti yake kuwa njoo uninadi kwa wapiga kura
Hospitali ya Taifa Muhimbili-Mloganzila inapitia kipindi cha ukata uliokithiri kwa sasa kiasi kwamba, inashindwa mpaka kugharimia baadhi ya vitendea kazi muhimu kama gloves, mabomba ya sindano (syringes) na vingine vingi. Hali hii imepelekea ubora wa huduma kuwa hafifu sana.
Pia ulipaji wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.