afya

  1. BABU NYAU

    Haya ndo maajabu sita ya kula Nanasi kwa afya yako.. 🍍

    Nanasi ni tunda lenye virutubisho vingi vinavyosaidia afya ya mwili kwa ujumla. Likiwa limeiva vizuri, lina ladha tamu na pia lina faida nyingi kiafya.. 1. Husaidia mneng'enyo wa chakula.. Nanasi lina kimeng’enyo kinachoitwa bromelain, ambacho husaidia kuvunja protini kwenye chakula na...
  2. Gunner11

    Asikwambie mtu, kuishi single kunaharibu sana afya ya akili

    Niwachane tu ukweli wadau.. Kuishi single ni msala, kwanza unakuwa una hasira hasira tu. Ndugu zangu mlio single, Kamwe usije kudhani una enjoy, NY friend you are just surviving.. Kama jinsi mwili wako unavyo taka chakula hata viungo vyako vya siri vinadai... I need to reshape my love life...
  3. U

    Bima ya afya iliyo nzuri!

    Habari ya leo wanajf! Ninaomba anayeifahamu bima nzuri ya afya na gharama zake kwa mwezi ninaomba anijuze! Miongoni mwa bima hizo ninaomba NHIF isiwemo!!!
  4. Pakome

    Ningekuwa raisi wa Taifa lolote ningeanza kuwathamini Wananchi na kulinda afya zao kwasababu wakiwa wazima wataingizia Serikali Trillions of Revenue

    Ningekuwa raisi wa Taifa lolote ningeanza kuwathamini Wananchi na kulinda afya zao kwasababu wakiwa wazima wataingizia Serikali Trillions of Revenue Utajiri wa Serikali unapatikana kwa uwepo wa Wananchi hai/rasilimali watuSerikali yeyote duniani inatakiwa kutunza afya ya Wananchi wake ili ivune...
  5. A

    DOKEZO Wajawazito wanalipa 'cash' Kituo cha Afya Buza mwaka wa pili sasa, kwanini hawatumii Control Number?

    Sisi baadhi ya Watumishi tunataka kupaza sauti kuhusu utaratibu wa ukusanyaji wa fedha kwa wajawazito katika Kituo cha Afya Buza (Buza Health Center) kilichopo Dar es Salaam. Fedha zinakusanywa kwa mkono bila kutolewa risiti, wakati Serikali ina mfumo wa malipo kwa kutumia Control Number, hali...
  6. Crocodiletooth

    Naomba kuifahamu cv ya waziri wetu wa afya!

    Mwenye nayo aitupie hapa lengo ni kufahamu kwa nia iliyo njema elimu za viongozi wetu,ili nasi tuige na tufanikiwe. INSHAALLAH.
  7. M

    Tusisubiri ugonjwa utufundishe umuhimu wa bima ya afya. Tuchukue hatua mapema

    BIMA YA AFYA KWA WOTE NI WAKATI WA KILA MTANZANIA KUCHUKUA HATUA KULINDA AFYA NA UCHUMI WA FAMILIA YAKE Na GULATONE MASIGA Kuna mambo mengi ambayo mwanadamu anaweza kuyapanga katika maisha yake, lakini si rahisi kupanga siku atakayougua, aina ya ugonjwa utakaomkabili wala gharama atakazohitaji...
  8. A

    KERO Watumishi wa Afya Njombe DC tunahamishwa bila kupewa stahiki zetu

    Habari, tunaomba mamlaka husika zifuatilie changamoto inayotukabili watumishi wa Idara ya Afya katika Halmashauri ya Wilaya ya Njombe, ambapo DMO na Katibu wa Halmashauri wanafanya uhamisho wa watumishi mara kwa mara bila kuwalipa stahiki zinazotokana na uhamisho huo. Kwa mfano, mtumishi mwenye...
  9. O

    “Cetirizine Inabana Uke?” Wizara ya Afya Yaonya Wakenya Dhidi ya Matumizi Hatari ya Dawa Hiyo

    Wizara ya Afya nchini Kenya imewaonya wananchi dhidi ya kutumia dawa ya cetirizine kwa lengo la kuboresha tendo la ndoa, kufuatia madai yanayosambaa kwenye mitandao ya kijamii kuwa dawa hiyo inaweza kupunguza unyevunyevu na kufanya uke kuwa mbana zaidi. Akizungumza Jumatano, Novemba 4, 2026...
  10. A

    KERO Wizara ya Afya mbona mpo kimya kutoa mrejesho kwa Waombaji wa kushiriki CPHIA nchini Ethiopia?

    Lalamiko langu linahusu Wizara ya Afya kuhusu ukosefu wa mrejesho kwa waombaji waliofanikiwa kupata nafasi ya kushiriki Kongamano la CPHIA litakalofanyika nchini Ethiopia mwezi Novemba. Wizara ilitoa tangazo la fursa hiyo na kueleza kuwa waombaji watakaofanikiwa kuchaguliwa watagharamiwa na...
  11. Nolen void

    KERO Uchafu kwenye machinjio ya Wilaya ya Hanang' iliyopo Katesh unahatarisha afya za Walaji

    Kumekua na changamoto ya usafi kwenye machinjio iliyopo wilaya ya Hanang katika mji mdogo wa katesh ambapo shimo la kutupia uchafu limejaa na kufurika jambo linalosababisha harufu kali kwa wananchi walioko jirani na kuleta wasiwasi kwa jamii juu ya usalama wa nyama inayoandaliwa machinjioni hapo...
  12. Tajiri wa kinyankole

    HOJA Bomoabomoa ya majengo Nzega na Tabora mjini haiana afya kwa Serikali. Waziri mwenye dhamana jiandae kutumbuliwa

    Tumeona waziri mwenye dhamana masanja kadogosa kaagiza TANROAD kubomoa majengo ambayo yamepita kwenye reserve ya barabara hasa maeneo ya mjini ambapo watu wanajitafutia kipato. Ni kweli watu walikosea kujenga katika maeneo hayo kwa sasa umewapa siku saba wabomoe wenyewe na wasipofanya hivo...
  13. D

    KERO Baadhi ya Vyuo vya Afya vinachelewesha matokeo ya Special na Supplementary

    Baadhi ya vyuo vya afya nchini vilikamilisha mitihani ya special na supplementary wiki mbili zilizopita, lakini hadi sasa havijatoa matokeo hayo. Kuchelewa kwa matokeo kunasababisha ucheleweshaji wa kuyawasilisha kwa Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB), hali inayoweza...
  14. A

    DOKEZO Ufanyike uchunguzi wa kina kuhusu uuzaji wa dawa katika Kituo cha Afya Katunguru

    Kuna malalamiko kuhusu mwenendo wa uuzaji wa dawa katika Kituo cha Afya Katunguru, kilichopo Wilaya ya Sengerema, Mkoa wa Mwanza. Tunaomba Wizara ya Afya na mamlaka nyingine husika zifuatilie suala hili ili kubaini ukweli na kuchukua hatua stahiki. Baadhi ya wafamasia wanapoingia zamu huleta...
  15. J

    KERO Malalamiko Kuhusu Makosa katika Transcript ya Mhitimu wa Chuo cha Afya

    Mimi ni mmoja wa wahitimu wa chuo cha afya chini ya NACTE mwaka 2019. Kero yangu inahusu transcript yangu ambayo niliipata baada ya kupitia usumbufu mkubwa. Nilipoipokea, sikuikagua kwa makini, lakini baadaye nilipogundua makosa, nilibaini kuwa somo ambalo nilipata alama ya A lilikuwa...
  16. A

    KERO Wizara ya Afya na NACTVET zishughulikie matokeo yetu ya diploma kwa haraka ili yafikishwe Vyuoni

    Baadhi ya vyuo vimefunguliwa tangu tarehe 19, na wanafunzi wanatakiwa kuripoti chuoni ili kuanza muhula mpya wa masomo. Hata hivyo, changamoto inayotukabili ni kwamba hatujapokea matokeo yetu, huku kuripoti chuoni kukihitaji kulipa ada na kujiandaa kwa mahitaji mengine ya masomo. Tunapouliza...
  17. A

    HOJA Wizara ifanye uchunguzi malalamiko ya Watumishi wa Chuo cha Afya na Sayansi Shirikishi Mtwara (COHAS)

    Watumishi wa Chuo cha Afya na Sayansi Shirikishi Mtwara (COHAS) tunaomba msaada wa Wizara ya Afya kutokana na changamoto tunazokabiliana nazo chini ya uongozi wa chuo chetu. Tunadai stahiki za watumishi wanaosafiri kikazi, hazilipwi, Kiongozi wetu mkuu na Mtu wa Fedha wakitajwa kujilipa katika...
  18. figganigga

    Bima ya afya kwa wote: Laki moja na nusu inakatia bima familia ya watu watano

    TUUMEWASHA MSHUMAA Tupo hapa Mtwara kwenye Uzinduzi wa Bima ya afya kwa wote awamu ya pili Viwanja vya sabasaba Awamu ya Kwanza ilikuwa Bima ya afya kwa watu wasio kuwa na uwezo kama wazee nk. Hii awamu ya pili inahusu watu wote mimi na wewe. Uzuri ni kwamba, bima hii ya afya, ukiwa na Laki...
  19. figganigga

    Mtwara: Waziri wa Afya Mchengerwa anazindua Bima ya Afya kesho. UVCCM hawataki niende kumsikiliza. Wananitishia

    Wakuu, Kesho Waziri wa Afya, Mhe. Mohamed Mchengerwa, anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika uzinduzi wa Bima ya Afya kwa Wote, Awamu ya Pili. Hapa nilipo nipo njiani naelekea Mtwara. Lakini nipo chonjo sana. Hawa UVCCM hawataki nihudhurie kisa niliandika habari ya wao kula Rushwa. Wanadai...
  20. A

    KERO Mtaro uliopo Arusha - Soko Kuu Barabara ya Mnazi Mmoja ni kero na hatarishi kwa afya

    Huu mtaro upo Arusha maeneo ya Soko Kuu Barabara ya Mnazi Mmoja ni kero sana na hatarishi, maji yametuama hayatembei kabisa. Hali ni mbaya sana na uongozi upo kimya paka vinyesi, maana hiyo ni chemba zinafunguliwa wakati wa usiku na mtaro umeziba maji yanajaa barabarani yenye vinyesi.
Back
Top Bottom