Huyu mgombea kila kukicha anawapotosha wananchi kwa kuwaeleza mambo ambayo si sahihi. Anaongea mambo ambayo hayajui na hana utalaamu nayo. Hana wataalamu wa kumshauri ukweli wa kile anachokusudia kuwaeleza wananchi.
Moja ya upotoshaji anasema ni kuwa akichaguliwa atawaletea watanzania wote...
Huyu bwana anadai kuwa sasa afya yake imeimarika na kesho saa nane mchana atatua JNIA hivyo wanahabari waende.
Kumbe alikuwa anaumwa.
=====
Wana ACT- Wazalendo na Watanzania wenzangu wote! Kesho Jumanne ya tarehe 15 Sept.saa 8.40 mchana, nitatua DSM nikitokea Dubai na nitafanya Press...
MKINICHAGUA KUWA RAIS WA NCHI HII NITATOA HUDUMA BORA YA AFYA NA KUDHIBITI VIFO VYA WAJAWAZITO NA WATOTO."PROF.LIPUMBA" DODOMA MJINI
Nitahakikisha kuwa Bajeti ya Wizara ya Afya inapanda na kufikia asilimia 15 ya
Bajeti ndani ya miaka 10 ijayo.
Ongezeko la bajeti litawezesha katika kuandaa...
TAASISI ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa TAKUKURU Wilayani Kiteto Mkoani Manyara, inamshikilia Daktari na mtaalamu wa dawa za usingizi kwa tuhuma za kudaiwa kupokea rushwa ya shilingi 180,000 kutoka kwa mzee wa miaka 60 aliyekuwa anasumbuliwa na ugonjwa wa tezi dume .
Mkuu wa TAKUKURU Mkoani...
UTEKELEZAJI WA HII ILANI NA SIFA ZA KIONGOZI
Serikali itakayoongozwa na NCCR-Mageuzi itaweka mkazo katika kuimarisha mifumo ya kiutendaji ya serikali kuu na serikali za mitaa ili ufuatiliaji wa utekelezaji wa Ilani uwe wenye tija kwa umma wa watanzania. Serikali itahakikisha usimamizi wa miradi...
Serikali ya CCM imepiga hatua kubwa sana katika kuelekea lengo la Bima ya Afya kwa wote. Japo suala hili limeibuka kwa kasi katika kipindi cha kampeni mwaka huu natumaini Watanzania wenzangu mtakubaliana nami kwamba Serikali imekwisha piga hatua kubwa sana kuelekea katika bima ya Afya kwa wote...
Dkt. Magufuli asubuhi hii amefanya mkutano wa kampeni katika jimbo la Misungwi jijini Mwanza na kuwataka Watanzania tupendane.
Dkt. Magufuli amewasihi wananchi kutobaguana kwa misingi ya chama cha siasa, dini au kabila kwa mustakabali mwema wa taifa letu.
Kadhalika Dkt. Magufuli amewataka...
Rais Magufuli leo akiwa mkoani Mara amezungumzia kuhusu sera ya kutoa Bima ya afya kwa watanzania wote.
Ahadi hiyo ameitoa leo kwenye kampeni zake huko musoma mjini.
Kuthibitisha kuwa sera hiyo ni yake amesoma Ilani ya ccm ya uchaguzi 2020 katika ukurasa wa 139 kipengele "e".
Amesema ahadi hii...
Wasalaamu wanaJF tunaposema tufanye siasa za kistarabu na siasa za kweli tunamaanisha.
Ni jambo baya sana kuona baadhi ya wanasiasa wanabakia katika mirengo ile ile ya siasa za ulaghai za miaka iliyopita wakati tupo kwenye nyakati za teknolojia.
Mimi ni mdau mkubwa sana unapogusia suala la...
Nimeona CHADEMA ikijinadi kuwa ndani ya siku mia moja watahakikisha huduma za afya inatolewa bure kwa kushirikiana na taasisi binafsi. Kwangu hili itakuwa jambo jema kwa watu zaidi ya watu millioni 60 watapewa huduma bure kabisa bila kuchangia chochote.
Lakini nina mashaka na ahadi hii
1...
Kampeni za uchaguzi zishaanza.
Wagombea wanakatiza nyika sehemu mbalimbali za nchi kuzinadi sera zao. Wanatoa kila aina ya ahadi. ‘Mimi nitafanya hivi, nitafanya vile, nitafanya haya, nitafanya yale’.
Sasa mimi ni mmoja wa watu ambao huwa sitegemei mwanasiasa au mtu mwingine kuniboreshea...
Habari za siku, nataka kujua vyuo vya afya vinavyotoa elimu ngazi ya degree (DOCTOR OF MEDICINE) vyenye ada nafuu ukiachana na 1. MUHAS, 2.UDSM, 3. UDOM, 4........., 5........... 6.........
1. Dawa muhimu kwa wazee wameziondoa eti ni bei ghali
2. Wazee wanalipa hela kubwa wakati wakijua fika kuw wazee wamestaafu, hawana nguvu za kufanya kazi etc.
Mfano mdogo ni huu:
Fastum gel ya maumivu ya mgongo kwa wazee, a very effect dawa kwa sababu with aging maumivu ya mgongo inakuwa...
Taarifa ya Hali ya Huduma ya Afya ya Uzazi na Mtoto nchini Tanzania 2015/16-2019/20 na Mheshimiwa Ummy A Mwalimu, Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto kwa Wadau na Watoa Huduma za Afya, Jijini Dodoma, Tarehe 19 Agosti, 2020
Ndugu Viongozi wa Sekta ya Afya,
Mganga Mkuu wa...
Idadi ya vifo vinavyotokana na COVID-19 Afrika imeendelea kuwa chini huku idadi kubwa ya waathirika wamerudi kwenye hali ya kawaida pamoja na maangalizo mengi ya awali kutoka kwa wanataaluma wabobezi kwamba virusi hivyo vingeubomoa mfumo dhaifu wa afya barani Afrika na kuua watu kwa mamilioni...
Mpaka sasa maombi ya vyuo yaliyofunguliwa ni kwa vyo vya afya. Je, vyuo vingine apart from Afya maombi yanafunguliwa lini? Mwenye taarifa anijuze.
NACTE tunaomba majibu!
Nilikuwa naomba mnijuze kuhusu Join Instruction za Kozi za Afya kwa Vyuo vya Serikari, je vipi zimetoka au bado kwa anayejua naomba anijuze maan na dogo langu amechaguliwa Chuo cha Afya Kibaha. Pia, nikiangalia kwenye account yake ya NACTE uthibitisho naona hamna kipya asee.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.