afya

  1. Mudawote

    JamiiForums Tanzania Upotoshaji wa Kauli ya Rais Ukomeshwe. Wizara ya Afya Toeni ufafanuzi

    Gts, Inasikitisha sana tena sana jamii inapoendelea kupotosha kauli ya Rais juu daktari aliyegeuka mkataba. Wizara ya afya toeni ufafanuzi. Inavyofahamika, ukiwa kazini halafu ukasomeshwa na Serikali huwa kuna mkataba wa kufanya kazi Serikalini kwa muda maalumu baada ya hapo mhusika huwa...
  2. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Wito kwa Watanzania , Afya yako ndio mtaji wako , Usiburuzwe na yeyote kwa sababu zozote zile , fuata mwongozo halali tu.

    Bila kumung'unya maneno naanza moja kwa moja kuwaasa wananchi wa Tanzania kulinda afya zenu wenyewe , hii ni kwa sababu usalama wa maisha yako ni HAKI YA KIKATIBA , mtu mdogo kama Meya wa Manispaa yoyote ile aliyetokana na udiwani wa kata hana mamlaka yoyote ya kisheria ya kuamuru mtu yeyote...
  3. E

    JamiiForums Tanzania Dawa ya kufukiza UDANOL hulinda Afya yako

    Taifa letu likiendelea kwa mwendo kama huu tutafika mbali sana. Katika video hii kuna dawa iliyotengenezwa hapa hapa Tanzania, ni dawa ya kufukiza inayoitwa UDANOL.
  4. Fantastic Beast

    JamiiForums Tanzania COVID-19: Watumishi wa Afya ni kama tumetolewa kafara?

    Ndugu Mh. Waziri wa Afya, Fieldmarshal Dr. Dorothy Gwajima naomba nichukue dakika zako chache tu kukuuliza jambo moja tuu wewe kama askari mwenye amri ya mwisho pindi tupo vitani. MMEAMUA KUTUTELEKEZA WAFANYAKAZI WA AFYA TUPAMBANE NA HALI ZETU? Watakaopoteza maisha yao kutokana na negligence...
  5. J

    JamiiForums Tanzania CHADEMA ni wazuri kwenye kukosoa mambo ya fedha na Ufisadi. Mambo ya afya tuwaachie wanasayansi, yaani Wakemia na Wanabaiolojia

    Ni ukweli ulio wazi kwamba kwenye mambo ya kuchanganua masuala ya fedha na ufisadi CHADEMA wako vizuri na tunawaheshimu katika hilo. Ila kwenye eneo la Kemia, Baiolojia na famasia hawana uwezo nalo kabisa wanajaribu tu kujiingiza lakini wanafeli. Hebu tuwaache CCM tuliwaamini na kuwapa uongozi...
  6. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Wizara ya Afya: Hakuna tishio la UVIKO-19, likiwepo tutatoa taarifa

    Wakati Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC) likiwataka waumini wake kuchukua tahadhari dhidi ya maambukizi mapya ya virusi vya corona ambavyo vimeshambulia nchi kadhaa, Serikali imewataka wananchi kutoingiwa na hofu bali wasubiri maelekezo ya Serikali. Waraka wa tahadhari wa TEC ulitolewa...
  7. The Assassin

    JamiiForums Tanzania Askofu mkuu Ruwa'ichi anasema corona bado ipo, amesihi tuendelee kuvaa barakoa, tunawe mikono, tufuate kanuni za afya

    Askofu mkuu wa jimbo katoliki la Dar es Salaam amewasihi waumini kufuata taratibu za kisayansi kupambana na corona. Askofu ameomba tusaidiane na Mungu kupambana na corona. Askofu amesisitiza kuwa corona bado ipo na kuwasihi waumini waendelee kuvaa baracoa, kunawa mikono na maji tiririka pamoja...
  8. Masokotz

    JamiiForums Tanzania Afya ya Akili na Ujasiriamali

    Habari za wakati huu; Leo nataka nizungumzie jambo tata sana ambalo wengi hukutana nalo ingawa hawajui kama ni tatizo.Jambo hili linahusu uhusiano uliopo kati ya afya yako ya akili na mafanikio yako ya kibiashara. Kwanza nianze kwa kueleza kwamba kuna uhusiano mkubwa sana kati afya ya akili ya...
  9. Wizara ya Afya Tanzania

    JamiiForums Tanzania Taarifa kwa Umma tamko la Wizara ya Afya kuhusu tukio la askari wa ulinzi SUMA – JKT kutuhumiwa kumpiga ndugu wa mgonjwa

    TAARIFA KWA UMMA TAMKO LA WIZARA YA AFYA KUHUSU TUKIO LA ASKARI WA ULINZI SUMA – JKT KUTUHUMIWA KUMPIGA NDUGU WA MGONJWA
  10. R

    JamiiForums Tanzania Vyuo vya afya kozi ya clinical medicine MARCH, 2021 intake

    Naomba anayejua vyuo vya afya vinavyochukua MARCH intake 2021 aniwekee hapa. Kiwe na Clinical Medicine please.
  11. D-enzo

    JamiiForums Tanzania Naomba kujuzwa vyuo vya serekali vya afya vinavyotoa diploma ya medicine(clinical officer)

    Naomba kujuzwa vyuo vya serekali kada ya afya vinavyotoa diploma ya medicine(clinical officer)
  12. J

    JamiiForums Tanzania AFYA: Kwanini watu wanang’ata kucha? Zijue Dalili, Sababu na Matibabu

    Kung’ata kucha(Onychophagia) Tabia ya Kung’ata kucha inaweza kuwa haina madhara iwapo itakuwa ya muda labda wasiwasi wa urembo wa kucha lakini tabia hii inaweza kuendelea na kulifanya tatizo la kudumu. Kung’ata kucha kulikopitiliza(Onychophagia) kunaharibu kucha na tishu zilizozizunguka DALILI...
  13. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Mongolia: Waziri Mkuu na Waziri wa Afya wajiuzulu baada ya Maandamano makubwa kufanyika

    Waziri Mkuu wa Mongolia Khurelsukh Ukhnaa amewasilisha barua ya kujiuzulu mbele ya Bunge leo kufuatia maandamano ya umma kulaani jinsi serikali yake inavyoshughulika janga la virusi vya Corona. Shirika la Habari la Taifa limeripoti kuwa Ukhnaa amesema anachukua uamuzi huo kama sehemu ya...
  14. J

    JamiiForums Tanzania Ijue Afya yako kupitia aina ya kinyesi unachokitoa

    Chati ya kinyesi ya Bristol ilitengenezwa mnamo 1997 kama zana ya tathmini ya kliniki. Kuna aina saba za kinyesi kulingana na Chati ya hiyo. Chati ya kinyesi ya Bristol ni msaada wa matibabu ulioundwa na kuainisha kinyesi katika vikundi saba. Baada ya kujisaidia, kile unachokiona chooni...
  15. Superbug

    JamiiForums Tanzania Mfanyakazi yeyote mwenye akili hawezi kuwa na urafiki wenye afya na Mwanasiasa

    1. Ndie anaeamua ulipwe kiasi gani. 2. Ndie anayebutua mkataba wako wa ajira Kama ilikuwa ya kudumu inakuwa on temporary basis. 3. Ndie anayeweza kuamua uongezwe makato au uongezewe Kodi kwenye mshahara wako. 4. Ndie anayeweza kuamua ulipwe au usilipwe mafao yako. Mfano fao la kujitoa au wale...
  16. J

    JamiiForums Tanzania Je, unajua watu wanaokunywa sana pombe wako kwenye hatari ya kupata Nimonia?

    Nini Chanzo Cha Pneumonia Pneumonia husababishwa na bacteria, virusi, fangasi na vyanzo vingine. Hapa chini tutaona baadhi ya vyanzo hivi kwa undani zaidi: Bacterial Pneumonia Wagonjwa wengi wa pneumonia hushambuliwa na bacteria aitwaye Streptococcus pneumoniae. Watu wanaougua kwa muda mrefu...
  17. J

    JamiiForums Tanzania Homa ya mapafu/Pneumonia au nimonia ni kitu gani?

    Pneumonia Ni Nini? Pneumonia ni ugonjwa unaoshambulia vifuko vya hewa kwenye pafu moja au yote mawili. Vifuko hivi huweza kujaa maji au usaha na kusababibisha kikohozi kinachotoa uchafu unaotoka kwenye mapafu, homa na kupata shida katika kupumua. Vijidudu wa aina nyingi wanaweza kuhusika katika...
  18. funaku

    JamiiForums Tanzania Yaliyofanikishwa na Dr Dorothy Gwajima ndani ya wiki chache pale Wizara ya Afya

    1-Fedha za dawa awamu ya kwanza zimeingia MSD 2-Ameyaamsha mabaraza ya kiataaluma ambayo yalikuwa yanakusanya fedha tu kutoka kwa wataalamu bila kutekeleza majukumu yao kikamilifu.kwa mara ya kwanza nimeona wasajili wa mabaraza ya kitaaluma wakianza kujiwajibisha. 3-Amewezesha viongozi wakuu...
  19. F

    JamiiForums Tanzania Waziri wa Afya Dkt. Dorothy Gwajima anafanya kazi nzuri. Mnyonge mnyongeni lakini mpeni haki yake

    Binafsi sina chama cha siasa na sijawahi kuwa mshabiki wa chama chochote cha siasa katika maisha yangu yote. Naomba niseme yafuatayo, kwanza sina chuki na kiongozi wowote wa aidha CCM au CHADEMA au chama chochote cha siasa. Nimefuatilia ziara na ufanyaji kazi wa waziri wa Afya Dr. Dorothy...
  20. Sarikiaeli

    JamiiForums Tanzania Taarifa ya majina 300 waliopata ufadhili wa masomo ya Uzamili kwa mwaka 2020/2021

    Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, anawatangazia watumishi walioomba ufadhili wa masomo ya Uzamili kwa mwaka wa masomo 2020/2021 kuwa zoezi la uchaguzi limekamilika. Jumla ya watumishi 300 wamechaguliwa kupata ufadhili kwa mwaka 2020/2021, ufadhili huu...
Back
Top Bottom