Rwanda Forum

Murakaza neza ku rubuga rwa JamiiForums. Nezerwa n'amakuru n'ibiganiro bitandukanye mu rurimi rw'ikinyarwanda
Si vingine, ni : 1. Waya wa umeme ulio uchi 2. Mwanamke alie uchi
0 Reactions
1 Replies
127 Views
Hivi, hujawahi jiuliza kwa nini baada ya kujikuna njia ya haja kubwa inapokuwasha,kuna sauti inayokusihi kunusa kidole!?
0 Reactions
1 Replies
146 Views
Kumshawishi mwanamke aliekutembelea ghetto, kuhama toka sebuleni mpaka chumbani, si kazi ndogo, yahitaji ufanisi wa hali ya juu.
0 Reactions
2 Replies
109 Views
Kwingine raha sana. Chakula hadi wanauza kwa debe,na wateje wa kusubiria. Rwanda, maisha kama haya yasikie kwa majirani hawa tu.
0 Reactions
2 Replies
231 Views
MWANANGU kama umezaa na Mwanamke na mkatengana kisha mkakubaliana kumlea Mtoto au Watoto wenu, hakuna ubaya wakati unatuma hela kwa ajili ya Watoto wako basi tia busara kumkumbuka pia Mama yake...
0 Reactions
1 Replies
208 Views
Ni mwanamitindo maarufu nchini Rwanda, mmiliki wa Moshions Fashions Design, aliejizolea umaarufu kwa kuwashonea viongozi wakubwa na viongozi wa mataifa mbali mbali. Hapo nyumba, kwenye ukurasa...
1 Reactions
2 Replies
301 Views
Haya ni makazi ya familia moja, ya watu wa nne. Kwa sasa, ni miaka mitau(3), tangu wameanza kuishi maisha haya. Cha ajabu, kila kiongozi anaeulizwa kwa nini, anadai hakuwa na taarifa. Nchini...
0 Reactions
1 Replies
117 Views
Kanisa la mchungaji maarufu Pastor Julienne Kabanda lafungiwa na RGB(Rwanda Governance Board). Sababu zilitajwa kufutiwa vibali, kulitokana na kuendesha shughuli zisizoendana na zilizokuwa...
0 Reactions
1 Replies
198 Views
Huko New Zealand, inasemekana ni nchi ambayo, kondoo ni wengi kuliko raia. Nchi hii ina watu milioni 5.3. Lakini ina kondoo milioni 23.6. Ni kama kila mtu ana kondoo 4.5 Kondoo nchini humu ni uti...
0 Reactions
1 Replies
192 Views
Huko nitokako. Kwenu vipi?
0 Reactions
1 Replies
123 Views
Siku za nyuma walirushiana maneno makali, na hakuna alietegemea kicheko cha namna hiyo, ila walionyesha kuwa siasa inaishia ofisini, na tofauti hazimaanishi watu ni maadui.
0 Reactions
3 Replies
205 Views
Dunia hii ni siku 3 tu: 1.Jana imepita na haitajirudia Tena 2.leo ni nzuri na haitodumu 3.kesho sijui tutakuwa wapi Yafanyie kazi
0 Reactions
1 Replies
137 Views
Baada ya kuelezwa taratibu za wanandoa kwa mjibu wa shelia za jamhuri ya Rwanda, nimekubali kuolewa hapa hapa
0 Reactions
1 Replies
153 Views
Jamani jamani, Nawakumbusha tu. Atakaekuwa wa mwisho kutoka duniani, atakumbushwa na nani kuzima taa
0 Reactions
1 Replies
100 Views
Nchi ya Rwanda imezindua huduma ya mtandao wa 5G. MTN Rwanda, imesema kwa sasa inapatikana Kigali Heights na Kigali Convention Center. Baada ya majaribio, itaanza kusambazwa nchi nzima. Wakati...
0 Reactions
1 Replies
137 Views
Bado malori mengi yanaendelea kusomba silaha za SADC zilizokuwa Goma na Sake,mashariki mwa DRC. Silaha hizi zilikosa kazi na kuangukia mikononi mwa M23,baada ya kuizidi nguvu SADC, FARDC,Wazalend...
0 Reactions
1 Replies
231 Views
Rwanda Investigation Bureau, imekabidhi watu mbali mbali simu zao zilizoibiwa kwa nyakati tofauti ndani ya miezi 5. Zoezi hilo limeambatana na kuwekwa wazi, watu 14 waliohusika na wizi huo. Ni...
0 Reactions
1 Replies
129 Views
Massad Boulos, mshauri mkuu wa serikali ya Marekani, kuhusu maswala ya Africa, ametangaza kuwa baada ya Rwanda na DRC kuwakilisha matakwa ya kila upande kuhakikisha nchi hizi mbili zinafikia...
0 Reactions
1 Replies
223 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…