Ni wakati viongozi wawajibishwe

Ni wakati viongozi wawajibishwe

VERITE-NUE

JF-Expert Member
Joined
Jan 28, 2019
Posts
1,488
Reaction score
1,465
1747038852301.png


Haya ni makazi ya familia moja, ya watu wa nne. Kwa sasa, ni miaka mitau(3), tangu wameanza kuishi maisha haya.
Cha ajabu, kila kiongozi anaeulizwa kwa nini, anadai hakuwa na taarifa.

Nchini Rwanda, kila siku, nchi nzima inatoa ripotu ya mambo ambayo hayako sawa, na yanayofanana na hili yakiwemo.
Lakini, viongozi watasema kila kitu kiko sawa, kuonyesha wanafanya kazi nzuri, ila raia wanapitia magumu.
 
Back
Top Bottom