viongozi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. thegreat1510

    JamiiForums Tanzania Wanaharakati wakae mbali na taarifa za vifo vya viongozi vinahawaribia reputation.

    Mara Kikwete mgonjwa, Mara Samia mgonjwa , Mara hatuko naye nk. Taarifa kama hizi huenda zinavujishwa kwa maksudi kuwaharibia ila hawataki kujifunza, na zinarudiwa Mara nyingi nyingi kwa kutumia watu haohao still no lesson learned. Ilianza ya Kikwete , hii nayo still hawajifunzi.
  2. figganigga

    JamiiForums Tanzania CCM hawana Mifumo ya kulinda Viongozi wao wa Juu. Je, Samia Suluhu na Mwigulu wanalindwa kweli?

    Tunaweza kuona Viongozi wa juu wa CCM na Serikali wakipatwa na majanga ya kawaida kama yanayompata Mlalahoi wa Nangurukuru. Je, kuna Kiongozi Tanzania anaweza jivunia Usalama ukiacha kutembea na Askari wenye bunduki feki zisizo na risasi? Je, Tanzania ni kiongozi gani mwenye ulinzi japo nusu wa...
  3. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Unadhani hila na chuki za wasusia uchaguzi na wanaharakati uchwara zinaweza kudhoofisha uchapakazi wa viongozi wa wananchi hususani wa kitaifa?

    Maana sote ni mashahidi wa namna viongozi wa serikali sikivu ya CCM wanavyochapa kazi kwa weledi na bidii usiku na mchana, ili hatimae wananchi na waTanzania wote wanufaike kijamii, kisiasa na kiuchumi. Hata hivyo, licha ya kazi hizo kubwa na nzuri sana zinazofanywa na viongozi katika ngazi...
  4. S

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Huu ni ufisadi wa kutisha! Haujawahi kutokea katika kulihujumu Taifa, na unafanywa na viongozi wakuu wa Serikali!

    Ni aina kubwa ya ufisadi mkubwa wa kutisha ambao katika historia ya Tanzania na nchi nyingine duniani labda haujawahi kutokea. Na tatizo kubwa ni kwamba unafanywa na viongozi wakuu wa serikali pamoja na ndugu zao. Ni hivi. Kuna wakuu wa serikali na ndugu zao ambao wapo katika nafasi ya kuwa na...
  5. Kaka yake shetani

    JamiiForums Tanzania Nashindwa kuelewa viongozi wote znz na sio tanganyika mpaka mkuu wa mkoa.

    Ni kwamba nchi imefikia kujipendekeza hata kesho raisi hakitokea malawi mtaenda kushinda huko na kuendesha mambo ya nchi huko.
  6. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Lissu na Heche walipokuwa wakiomba kuwa viongozi wa CHADEMA Taifa, walidai Katiba ya CHADEMA ni mbovu sana wataibadilisha. Je, wamebadili nini?

    Au baada ya kupata uongozi ambao walioupata kwa hila, ghiliba na kutweza utu wa wengine, je, katiba hiyo waliyoiita mbovu sana ya chadema, sasa imekua nzuri, haina matatizo na sio mbovu tena na haihitaji marekebisho? Na mbona hakuna hata siku moja tangu hawa majamaa waropokaji wamekua viongozi...
  7. O

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Watoto 4 Wateketezwa kwa Maji Moto Wakati wa Ibada ya Kufukuza Pepo Bondo, Mchungaji na Viongozi Wawili Wakamatwa

    Mchungaji na viongozi wengine wawili wa kanisa la St Abraham Assemblies of God, linalojulikana kama Sayuni, wamekamatwa baada ya watoto wanne kudaiwa kuunguzwa kwa maji moto wakati wa ibada ya kufukuza pepo wabaya. Kwa mujibu wa taarifa, watoto hao walipata majeraha makubwa ya kuungua baada ya...
  8. cleokippo

    JamiiForums Tanzania Viongozi Wajenga Viwanja, Wengine Msikiti wa Bilioni

    Tumeona Majaliwa kajenga kiwanja cha mpira kwao , biteko pia kajenga kiwanja cha mpira kwao Vipi kuhusu uyu jamaa anayetaka kujenga msikiti wa bilioni 21? Na yeye kuna kitu chochote alichokifanya kwao? Maana tunaona tu mtandaon watu wa kwao wanavyolialia Oooh Mwanza hatuna barabara mara ooh...
  9. Yoda

    JamiiForums Tanzania Wanandoa wakigombana waende kwa therapists wa ndoa badala ya wazazi au viongozi wa dini.

    Sijui kama kuna professional therapists wa ndoa (LMFT) Tanzania ila hawa ndio watu sahihi wa kwenda endapo ndoa imefika kuwa na matatizo makubwa. Watu waache kupoteza muda kukimbilia sijui kwa padri, mchungaji, wazazi au wasimamazi wa ndoa kwani matatizo ya karne hii ya mahusiano ni tofauti...
  10. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Huenda viongozi wengi zaidi wa CHADEMA wa kanda, mikoa na wilaya mbalimbali nchini wakajuzulu kabla na mara tu baada ya hukumu ya Mwenyekiti wao Taifa

    My friends, ladies and gentleman, Kuna gharika ya viongozi wa chadema kuachia ngazi inaendelea... In fact, sote ni mashahidi wa wimbi hilo la viongozi wa chadema wa kanda mbalimbali, mikoa na wilaya mbalimbali nchini, wakistaafu siasa, kuomba kupumzika uongozi wa chadema na wengine wakijiuzulu...
  11. K

    JamiiForums Tanzania Historia Viongozi hasara Tanzania: Kikwete na ndugu zake, Samia na ndugu zake, Kabudi, Chenge, Jadi Chade

    Historia Viongozi hasara Tanzania: Kikwete na ndugu zake, Samia na ndugu zake hawa ni vilaza Kabudi, Chenge, Jadi Chade hawa wana akili lakini matumbo yamewafikisha hapo
  12. Kaka yake shetani

    JamiiForums Tanzania Kuna biashara zinafanywa na viongozi ndio maana miradi ya serikali kuendelea itakuwa ngumu.

    Kila mtu akiwa mbunge ni bora kuuwa miradi ya serikali ili mradi biashara zake ziwe mstari wa mbele. Tumeona sukari,reli na n.k. Kukitokea swala la kiongozi hakaweza kuanzisha biashara ya maji au umeme basi msitegemee serikali kupiga hatua.
  13. L

    JamiiForums Tanzania Ninamchukia Sanaaa Hilda Newton Wa CHADEMA Kwa Namna anavyowachafua na kuwadhalilisha Viongozi Wetu kila Uchao. Kufanyike Mikakati ya Kumkamata.

    Ndugu zangu Watanzania, Huyu Binti ni zahili na wazi kabisa alikosa Malezi ya Wazazi wake,Ni Wazi amezibuka kiakili, ni wazi amejikulia tu bila malezi ya aina yoyote ile, ni wazi ni Mwanamke fulani ambaye kichwani ana matatizo makubwa sana , ni wazi pengine hata wazazi na mama yake mzazi...
  14. Yoda

    JamiiForums Tanzania Kwa nini viongozi wa serikali hawachangii ujenzi wa mahekalu ya Wahindu ?

    Naona viongozi wa serikali wamejikita katika kuchangia na kusaidia ujenzi wa makanisa na misikiti na kuimarisha miradi ya hizi dini mbili tu huku wakisahau dini nyingine. Ni vyema viongozi wakumbuke Tanzania kuna dini zaidi ya mbili, ndugu zetu Wahindu tumewatenga sana linapokuja suala la...
  15. B

    JamiiForums Tanzania Mgomo wa Madereva: Je, Viongozi Wetu Wana Taarifa Sahihi au Wanaingizwa Mkenge?

    Mgomo wa madereva au wamiliki wa vyombo vya usafiri unapotokea, huathiri kwa kiasi kikubwa sana maisha ya wananchi wa kawaida—kama wapo wanaokosa kuhudhuria harusi, misiba ya wazazi, mahojiano ya kazi, au hata matibabu ya dharura. Poleni sana wote mliopatwa na madhara haya. Tathmini yangu...
  16. TAJIRI MKUU WA MATAJIRI

    JamiiForums Tanzania Rais Samia Suluhu Hassan je ndio kiongozi anayependwa kuliko wanasiasa, viongozi na marais wote waliowahi kuwepo Tanzania tangu tupate uhuru?

    Hapa jukwaani naona sifa zake zimejaa na kusheheni, kuanzia asubuhi hadi usiku, kina Lucas Mwashambwa, Tlaatlaah , kavulata, Pascal Mayalla , ChoiceVariable na CHAWA wengine wengi kutwa kumsia. Je hizo sifa ni halisi na wanamaanisha au wanafanya kumpamba ili wapate ugali wao wa kila siku...
  17. Stability

    JamiiForums Tanzania Hadi leo waafrika lukuki wanajiuliza kazi kubwa iliyokuwa inamfanya biggy kukutana na viongozi wa juu afrika ni ipi?

    jamaaa alikuwa muwekezaji kama dangote au alikuwa ni mtu wa tenda na supply za kimataifa?
  18. 4

    JamiiForums Tanzania Ushauri :ukiona upo karibu na viongozi wengi then unajisifu upo na connection jua hu mpumbavu

    Wakuu amani ya Bwana ikawe juu yenu , kila mmoja kwa imani yake popote mlipo wanajf. Rejea mada tajwa hapo juu, Usijigambe sana kwamba upo na connection sijui na kiongozi gani, uyu ulie na connection naye na unajua mambo yake mengi , siku akiona lipo jambo linaweza kumsanukia ,jua tu lazima...
  19. Q

    JamiiForums Tanzania Askofu Bagonza: Kuna kila dalili serikali inahusika na watu kupotea, kutokana na kauli za viongozi wake

    Kupitia ukurasa wake wa Facebook, Askofu Bagonza amesema kuna kauli za viongozi zinatolewa kwa vitisho kuwachukulia hatua watu wasiokubaliana au kutoisikiliza Serikali. Amesema, Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Albert Chalamila, alisikika akiwaambia madereva kuwa asiyemsikiliza ahakikishe ameiaga...
  20. K

    JamiiForums Tanzania Je viongozi wanatoka kaya masikini nao wanaakili za kimasikini mfano Mwigulu!?

    Je viongozi wanatoka kaya masikini nao wanaakili za kimasikini mfano Mwigulu!? Nasema hivi kwasababu nimegundua wakati mwingine ukitoka kwenye familia masikini sana sio wote lakini wengine bado wanabaki na akili za kimasikini. Wanafikiri utajiri ni kulimbikiza mali na kuiba lakini wanasahau...
Back
Top Bottom