Kupitia ukurasa wake wa Facebook, Askofu Bagonza amesema kuna kauli za viongozi zinatolewa kwa vitisho kuwachukulia hatua watu wasiokubaliana au kutoisikiliza Serikali.
Amesema, Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Albert Chalamila, alisikika akiwaambia madereva kuwa asiyemsikiliza ahakikishe ameiaga...
Je viongozi wanatoka kaya masikini nao wanaakili za kimasikini mfano Mwigulu!?
Nasema hivi kwasababu nimegundua wakati mwingine ukitoka kwenye familia masikini sana sio wote lakini wengine bado wanabaki na akili za kimasikini. Wanafikiri utajiri ni kulimbikiza mali na kuiba lakini wanasahau...
Kila jambo lina mwisho wake. Mauaji ya Oktoba 29 mwaka 2025 bado yapo kwenye mioyo ya Watanganyika.
Huko mbeleni Paul Chacha na wenzako mtakuja kuona na kutambua nini maana ya nguvu ya umma.
Mageti ya ikulu yatavunjwa kwa kutumia meno.
Halafu matokeo yake sasa,wakati muafaka wa kikatiba hususani wa uchaguzi ukifika, mayowe, visingizio na vilio vya mabadiliko vinaanza.
Ooh tume huru ya uchaguzi ibadilishewe, mara sijui sijui yafanyike mabadiliko madogo ya katiba na uchaguzi usogezwe mbele n.k, badala ya kujipanga na kujiandaa...
ccm
chama
chama tawala
chama tawala tanzania
kimkakati
kuendelea
kuongeza
mikakati
nchini
siasa
tanzania
vingine
viongozi
vyama
vyama vingine
wafuasi
wakati
wananchi
wengi
Wakati wenzetu wanapeleka wananchi kwenda nje kufanya kazi ambazo nchi itafaidika watakaporudi sisi tunapeleka madereva kazi ambazo zimesuswa. Tumepeleka mayaya na waosha sahani lakini wakirudi hatufaidiki kiuchumi! Wenzetu wamepeleka vijana Israeli ambako wanajifunza kilimo chenye tija kupitia...
Kibanda: Nakujibu swali lako uliyosema tufanye nini. Sisi kama taifa lazima tuseme turejee katika misingi. Na pili tufanye kile ambacho Baba wa Taifa na Mwanzilishi alisema 'tujisahikishe'. Na hili la kujisahikisha hili...
Ukiwaangalia viongozi wa serikali, wanataka sisi tujisahikishe...
Namuona waziri wa michezo ndugu makonda amekomaa kutoa matamko eti
Viongozi wa dini hawapaswi kuikosoa serikali bali kuiombea.
Kama wana haki ya kuisifia lazima pia wawe na haki ya kuikemea inapofanya vibaya.
Kuwa serikali haina maana kwamba mtapatia kila kitu na kukosolewa na kiongozi wa dini...
Ahadi za mwana TANU
1. Binadamu wote ni ndugu zangu na Afrika ni moja
2. Nitaitumikia nchi yangu na watu wake wote
3. Nitajitolea nafsi yangu kuondoa umaskini, ujinga, magonjwa na dhuluma
4. Rushwa ni adui wa haki. Sitapokea wala kutoa rushwa
5. Cheo ni dhamana. Sitakitumia cheo changu wala cha...
👉 Umoja wa Mataifa (United Nations – UN) ulianzishwa rasmi tarehe 24 Oktoba 1945, baada ya kumalizika kwa Vita Kuu ya Pili ya Dunia. Ulianzishwa kama jukwaa la mataifa duniani kwa ajili ya kudumisha amani na usalama wa kimataifa, kuimarisha ushirikiano wa kimataifa na kushughulikia changamoto...
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (OWM–TAMISEMI), Prof. Riziki Shemdoe, amefanya kikao kazi na Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma, wabunge na viongozi wa Wilaya ya Mbinga, kwa lengo la kujadili namna bora ya kuimarisha na kuharakisha utekelezaji wa miradi ya...
Habari!
Naitwa Julius, nina umri wa miaka 42, na natafuta kazi ya udereva kwa mtu binafsi, familia, viongozi au safari za barabarani (road trips), ikiwemo safari ndefu za kifamilia.
Nina uzoefu wa miaka 10 katika kuendesha safari fupi na ndefu, ndani na nje ya Tanzania. Pia nimepata mafunzo...
Hiki ni kioja kingine toka CCM. Chama kikongwe kuliko vyote nchini badala ya kuajiri Msemaji mwenye Weledi kimeleta Msema chochote (MC).
Cheo chake cha asili kinahusu Uenezi wa Itikadi ya Chama chake lakini yeye anaeneza kashfa juu ya Kilimo cha Maparachichi. Anaeneza maisha binafsi ya...
Hii ni mifano jinsi gani mahakama kuu za kiislam zilivyokaa na kuamua kesi
1. Myahudi akapata haki mbele ya Umar رضي الله عنه
Imepokelewa kwamba mtu Myahudi alikuwa na mgogoro na Muislamu mbele ya Umar ibn al-Khattab رضي الله عنه. Baada ya kusikiliza suala hilo, Umar alimhukumia Myahudi huyo...
Ndugu wana-JamiiForums,Mnamo tarehe 18 Septemba 2026, Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma, chini ya Brigedia Jenerali Ahmed Abbas Ahmed, ilizindua rasmi basi jipya aina ya Toyota Coaster lenye thamani ya Shilingi Milioni 334 za Kitanzania.
Lengo lililoelezwa na uongozi huo kupitia Wakala wa Huduma...
Tanzania ni moja ya nchi chache sana za ajabu.
Nikisema ajabu namaanisha ajabu kweli.
KABLA YA KUPIGA KURA
Viongozi wetu kabla ya uchaguzi huwa wanatutambua,kutupenda,kutushirikisha na kutuheshimu sana sisi Raia wa Tanzania, kama watu na raia wenye Mamlaka na nchi hii.
Wakati wa kampeni hao...
AMANI HAIPO SAWA.
Kwa mjibu wa Civilian-Coin:
"Nchi ni yetu lakini Sheria inatuzuia kuishi Kama Wananchi eti Viongozi ndio wanaishi Kama raia halali. Ndio maana watu huandamana au kufanya vurugu". Civilian-Coin
Kama hizi mbinu zote mmefeli
CHADEMA ni dude kubwa
1.Divide and rule>kugawa kundi Ili lisipate nguvu ya pamoja
2.Reward and punishment>kutumia zawadi na adhabu kusimamia tabia
3.Framing>Kueleza jambo kwa mtazamo frani Ili wanaokusikiliza waelewe kwa namna hyo
4.Complomise>Kila upande kutoa...
ccm
chadema
chama
chama cha siasa
dead
imara
kuolewa
malalamiko
mali
maneno
michezo
ndani
ndo
sana
sanaa
sanaa na michezo
siasa
siasa ccm
viongozi
wanawake
waziri
waziri wa sanaa
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.