Licha ya kufunguliwa Kesi Mahakama Kuu Kanda ya Musoma Kesi ya Ardhi Namba 00000897 ya Mwaka 2026, Wananchi, dhidi ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali pamoja na Katibu Mkuu Wizara ya Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, lakini oparesheni iliyofanywa katika Kata ya Kisaka vijiji vya Bolenga Wilayani...
Pendekezo kwa Serikali: Dar es Salaam Institute of Technology (DIT) iwe Tanzania Institute of Technology (TIT).
Hadi sasa DIT ina Campus nne
DIT main Campus (imeanzishwa 1957)
DIT MWANZA Campus (Imeanzishwa 2010)
DIT SONGWE Campus (Imeanzishwa 2014)
DIT DODOMA Campus (Imeanzishwa 2024)
Na upo...
Msemo wa kukumbuka shuka kumekucha ni afrika.
Dejavu japo inapingwa ni ile kwamba unaweza kuzani kuwa ulishawahi kuwepo au lolote ila ndio umeshakuwa hapo ulivyo.
Afrika ni dejavu ya majuto na ningelijua.
Nimependa andiko la Martin Maranja Masese:
Dear, RANGO.
Hadi umemaliza muda wako wote wa kuongoza The Inter-Parliamentary Union (IPU) umeshindwa kabisa kuthubutu kukemea mauaji ya raia yaliyofanywa na Serikali yako katili ya CCM. Wewe ni KATILI
Rango, utamaduni wa mtu ndiyo utu wake
Vazi la...
Mchungaji na viongozi wengine wawili wa kanisa la St Abraham Assemblies of God, linalojulikana kama Sayuni, wamekamatwa baada ya watoto wanne kudaiwa kuunguzwa kwa maji moto wakati wa ibada ya kufukuza pepo wabaya.
Kwa mujibu wa taarifa, watoto hao walipata majeraha makubwa ya kuungua baada ya...
Mazishi yanapaswa kuwa wakati wa kuaga wapendwa, kutafakari maisha yao na kuwafariji waliofiwa. Lakini kwa Padri Gichure, hafla ya mazishi ilikuwa pia wakati wa kuhoji ukweli wa simulizi zinazotolewa kuhusu marehemu.
Padri huyo aliikosoa familia iliyokuwa ikiwasilisha historia ya marehemu...
Kumekuwa na mambo ya kutoridhisha yanayoendelea katika hospitali ya MZENGA, katika Kata ya Mzenga mkoani Pwani, kufuatia malalamiko mazito kutoka kwa wananchi kuhusu utozaji wa fedha kinyume cha taratibu kwa watumiaji wa Bima ya Afya, uzembe wa baadhi ya wauguzi, na ubadhirifu wa dawa za...
Familia ya Urassa imesema haitaruhusu ukoo wa Kweka kufika nyumbani kwao Kijiji cha Nkuu Sinde, Wilaya ya Hai, mkoani Kilimanjaro, wakati wa shughuli za kuaga mwili wa Jane Urassa, ikieleza kuwa wanaotaka kumuaga wataruhusiwa kuhudhuria ibada itakayofanyika kanisani pekee.
Msemaji wa familia...
Wana-JamiiForums,
Machozi ya furaha yananilenga nikitafakari mapenzi makubwa ambayo Rais wetu mpendwa anayo kwa Watanzania, hadi baadhi ya wanasiasa wa upande wa pili sasa hivi wanakunywa chai Ikulu na kusahau mikutano ya hadhara. Kwa wingi huu wa kura na asilimia tulizonazo, hivi kweli...
Kwa nini Wamachame, Wakibosho, Wamarangu, Warombo, Wasiha na Wa Old Moshi wote wanaitwa wachaga wakati lugha zao ni tofauti ?
Mbona kama utapeli ulianza mapema?!
Miaka 2016 nilikuwa na changamoto ya mtaji ili ni boost kufikisha malengo.
Ila nilipo waomba benk waligoma kabisa japo nilikuwa na account yao.
Nimejikokota we mungu si dotto magari mambo yapo mazuri.
Sasa ule mzunguko wa import na export pesa kwenye account kila siku wana lazimisha ni kope...
Ni kwamba CCM ukiweza kuisifu hata ukiwa muovu inakutunza na kukulinda.
Kwa taarifa za ndani hata ilo jina mwaipopo wanadai ni kujipandikiza watu wasigundue uraia wake.
Ila kigoma wana mfahamu vizuri kuwa alitokea burundi.
Hoja ya Mdau baada ya tangazo hilo 👇🏻
Mmh, hili ni ongezeko kubwa sana la gharama kutoka 97,400/= hadi 255,400/=, sawa na ongezeko la zaidi ya 100%.
Awali gharama za hosteli zilikuwa takribani Magufuli & CoICT 800-1,300/= na Mabibo 500-1,000/=. Ongezeko hili kwa wakati mmoja ni mzigo mkubwa...
Leo nimejionea kwa macho yangu pale Makao Makuu ya Ofisi ya Rais, Utumishi (OR-Utumishi), Dodoma, na kuthibitisha kwamba, kwa uzembe uliopo pale ofisini, hakuna mtu yeyote anayewaadhibu Maafisa Kazi na Maafisa Utumishi waliopo pale UTUMISHI-HQ. Ndiyo maana hawawajibiki ipasavyo.
Si Rais, Waziri...
Wananchi wa Morogoro Mjini, Kata ya Magadu, tunaomba kupaza sauti kuhusu hali mbaya ya barabara inayoelekea kwenye Kota za SUA zilizopo Kididimo.
Barabara hiyo imekuwa mbovu kwa muda mrefu, licha ya SUA kuwa na magari na uwezo wa kufanya matengenezo ili ipitike vizuri. Hali hii imekuwa kero...
Kwa mujibu wa The Road Traffic (Drivers Licence Point System) Regulations, 2014, G.N. No. 109 of 2014, as amended by G.N. No. 420 of 2025, kosa la barabarani linaweza kukupunguzia pointi 1 au 3, kulingana na aina ya kosa.
Points zikiisha, utafungiwa leseni kwa miezi sita. Ikiwa utaendesha chombo...
Ikiwa vituo holela vya mabasi vinachafua jiji, basi bajaji zinazosimama kila kona ya barabara kuu zinalichafua zaidi, na kuhatarisha maisha. Barabara kuu inapaswa kuwa na mtiririko unaotabirika. Ikiwa kila baada ya umbali mfupi kuna chombo kinachosimama ghafla kumchukua au kumshusha abiria...
Strategies ya bwana Deo kuhusu interns kwenye corporate entities za serikali eti ndio mpango wa serikali kuwapa vijana uzoefu wa kuajirika serikalini !
Hii ni reactive strategies isiyokuwa na sustainability yoyote ahead !
Kama mpaka leo bado tunawaza kuongeza wig kwa vijana kuajiriwa...
Halafu matokeo yake sasa,wakati muafaka wa kikatiba hususani wa uchaguzi ukifika, mayowe, visingizio na vilio vya mabadiliko vinaanza.
Ooh tume huru ya uchaguzi ibadilishewe, mara sijui sijui yafanyike mabadiliko madogo ya katiba na uchaguzi usogezwe mbele n.k, badala ya kujipanga na kujiandaa...
ccm
chama
chama tawala
chama tawala tanzania
kimkakati
kuendelea
kuongeza
mikakati
nchini
siasa
tanzania
vingine
viongozi
vyama
vyama vingine
wafuasi
wakati
wananchi
wengi
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.