Rwanda yazindua rasmi 5G

Rwanda yazindua rasmi 5G

Willy NGOMA

JF-Expert Member
Joined
Feb 25, 2016
Posts
4,407
Reaction score
5,977
Nchi ya Rwanda imezindua huduma ya mtandao wa 5G. MTN Rwanda, imesema kwa sasa inapatikana Kigali Heights na Kigali Convention Center. Baada ya majaribio, itaanza kusambazwa nchi nzima.

Wakati huo, raia wengi wanalalamika kwamba hata 4G ya makampuni yatoayo huduma za kimtandao, inazidiwa ubora na 3G.
 
Back
Top Bottom