rwanda

Rwanda ( (listen); Kinyarwanda: u Rwanda [u.ɾɡwaː.nda] (listen)), officially the Republic of Rwanda (Kinyarwanda: Repubulika y'u Rwanda; Swahili: Jamhuri ya Rwanda; French: République du Rwanda), is a country in Central Africa and one of the smallest countries on the African mainland. Located a few degrees south of the Equator, Rwanda is bordered by Uganda, Tanzania, Burundi, and the Democratic Republic of the Congo. Rwanda is in the African Great Lakes region and is highly elevated; its geography is dominated by mountains in the west and savanna to the east, with numerous lakes throughout the country. The climate is temperate to subtropical, with two rainy seasons and two dry seasons each year.
The population is young and predominantly rural, with a density among the highest in Africa. Rwandans are drawn from just one cultural and linguistic group, the Banyarwanda, although within this group there are three subgroups: the Hutu, Tutsi and Twa. The Twa are a forest-dwelling pygmy people and are often considered descendants of Rwanda's earliest inhabitants. Scholars disagree on the origins of and differences between the Hutu and Tutsi; some believe differences are derived from former social castes within a single people, while others believe the Hutu and Tutsi arrived in the country separately, and from different locations. Christianity is the largest religion in the country; the principal language is Kinyarwanda, spoken by most Rwandans, with English and French serving as additional official languages. The sovereign state of Rwanda has a presidential system of government. The president is Paul Kagame of the Rwandan Patriotic Front (RPF), who has served continously since 2000. Today, Rwanda has low levels of corruption compared with neighbouring countries, although human rights organisations report suppression of opposition groups, intimidation and restrictions on freedom of speech. The country has been governed by a strict administrative hierarchy since precolonial times; there are five provinces delineated by borders drawn in 2006. Rwanda is one of only two countries in the world with a female majority in the national parliament, the other country being Bolivia.
Hunter-gatherers settled the territory in the stone and iron ages followed later by Bantu peoples. The population coalesced first into clans and then into kingdoms. The Kingdom of Rwanda dominated from the mid-eighteenth century, with the Tutsi kings conquering others militarily, centralising power and later enacting anti-Hutu policies. Germany colonised Rwanda in 1884 as part of German East Africa, followed by Belgium, which invaded in 1916 during World War I. Both European nations ruled through the kings and perpetuated a pro-Tutsi policy. The Hutu population revolted in 1959. They massacred numerous Tutsi and ultimately established an independent, Hutu-dominated republic in 1962. A 1973 military coup saw a change of leadership, but the pro-Hutu policy remained. The Tutsi-led Rwandan Patriotic Front launched a civil war in 1990. The presidents of Rwanda and Burundi, both Hutus, were killed when their aircraft was shot down on 6 April 1994. Social tensions erupted in the 1994 genocide that followed, in which Hutu extremists killed an estimated 500,000-1,000,000 Tutsi and moderate Hutu. The RPF ended the genocide with a military victory.
Rwanda's developing economy suffered heavily in wake of the 1994 genocide, but has since strengthened. The economy is based mostly on subsistence agriculture. Coffee and tea are the major cash crops for export. Tourism is a fast-growing sector and is now the country's leading foreign exchange earner. Rwanda is one of only two countries in which mountain gorillas can be visited safely, and visitors pay high prices for gorilla tracking permits. Music and dance are an integral part of Rwandan culture, particularly drums and the highly choreographed intore dance. Traditional arts and crafts are produced throughout the country, including imigongo, a unique cow dung art.
Rwanda has been governed as a unitary presidential system with a bicameral parliament ruled by Rwandan Patriotic Front since 1994. The country is member of the African Union, the United Nations, the Commonwealth of Nations, COMESA, OIF and the East African Community.

View More On Wikipedia.org
  1. Damaso

    JamiiForums Tanzania Rwanda wanaanda Formula One, Kenya wanawakaribisha Bayern na Ajax, Tanzania Samia anatosha

    Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) imechangamka ile mbaya, mambo yako moto fire, marais wa nchi wanachama wapo busy hapa na pale. Lakini ukweli mchungu ni kuwa kuna marais wa nchi majirani wanaopiga hatua za kiwango cha dunia huku wengine tukibaki kuwa watazamaji wa mechi za wenzetu. Ukiangalia...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Hakuna jeshi jirani litawaweza watutsi by 2050, JWTZ ilikuwa tishio kwa vikosi vya watutsi hadi kusarenda na kusubiri ruhusa ya Rwanda kurejea Tz

    Hapo zamani, JWTZ ilikuwa na uwezo mkubwa wa kukabiliana na vikosi vya Watutsi, wakiwemo wapiganaji wa M23 wanaoungwa mkono na Rwanda pamoja na Uganda (Muhoozi amewahi kutamka wazi M23 ni kaka zake) Hata kama vikosi vilipokuwa vya Sadc, walipopata taarifa kuwa Tanzania ni sehemu ya vikosi...
  3. D

    JamiiForums Tanzania Top 7 Reasons to Choose Uganda Rwanda Safaris for Your African Holiday

    Travel Company: Dav Safaris Website: www.davsafaris.com Email: info@davsafaris.com Tel: +256757795781 or +256701412430 Uganda Rwanda Safaris combine mountain gorilla trekking, chimpanzee tracking, wildlife game drives and cultural visits across two neighbouring East African countries. Visit...
  4. Kaka yake shetani

    JamiiForums Tanzania Ukifatilia Rwanda na Burundi mpaka kutokea kimbari ni mfano mjinga uliofanya funika kombe mwanaharamu hapite kusabisha matokeo hayo

    Huu msemo funika kombe mwanaharamu hapite naweza kusema hata Tanzania iliweza kuhusika japo kuwa na usalama wa taifa. Mfano bandari ya Tanzania iliwezaje kupitisha silahaa na mapanga bila kujua wakati kulikuwa na idara ya usalama kipindi chake ilikuwa hatari mpaka iliweza kipindi cha nyuma...
  5. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania 1994, Rwanda walikaa kimya dhidi ya unafiki na chuki zilizkua zinahamasishwa na vyama vya siasa na taasisi za kidini kama ambavyo inafanyika Tz sasa.

    Please Please, My friends, ladies and gentlemen, tusikae kimya, kutazama tu bila kukemea taasisi za kidini na vyama vya siasa vikiendelea kuhamasisha na kuchochea chuki, uhasama na migawanyiko, ambayo ni wazi inalenga kuamsha hasira na ghadhabu miongoni mwa jamii za waTanzania na pengine kuleta...
  6. C

    JamiiForums Tanzania Tanzania yashika nafasi ya tano kwa utawala Bora Afrika na duniani namba 80

    Tanzania imeshika nafasi ya tano barani Afrika na nafasi ya 80 duniani katika Kielezo cha Chandler cha Utawala Bora Serikalini cha mwaka 2026 (CGGI), baada ya kurekodi maboresho makubwa zaidi katika utendaji wa jumla wa Serikali miongoni mwa nchi 23 za Afrika zilizotathminiwa tangu mwaka 2021...
  7. ChoiceVariable

    JamiiForums Tanzania Tanzania Namba 5 Kwa Utawala Bora Afrika Ikitanguliwa na Mauritius,Botswana, Morocco na Rwanda.

    My Take Watakaoumia sana baada ya hii ripoti ni Chadomo na wale Jamaa wa Kanisa la Mitume wa Kirumi 😂😂👇👇 https://www.instagram.com/p/De84fu_gl6I/?dlrf=aTl4bXhodmk0MXdw
  8. Kaka yake shetani

    JamiiForums Tanzania Uganda na Rwanda wakiweza kufanikisha goma upande wote wa Congo basi Burundi na Kagera ni sehemu zao, mtanikumbuka!

    Mada zangu mnaona kama kichaa ila ukweli ndio huu. kwa sasa hawa pande hizi wamewekeza CCM na lile kusema kuna vikosi na majeshi yana toka huko mtabisha ila weka kumbu kumbukumbu. Kuna kitu CCM mtajialumu na huyu mtu kutoka UVCCM mwenye kauli tata zake za kuteka. Nchi inaenda kugawanywa na...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Kama Kenya nayo imepoteza sifa ya safe haven, wanaharakati wa kisiasa Afrika Mashariki wakimbilie wapi ? Tanzania, Uganda, Rwanda, Burundi, DRC ?

    Kenya ilikuwa ikionekana kama safe haven, kimbilio la wale wanaharakati wa siasa waliotafuta uhuru na usalama nje ya nchi zao matukio yanayohusisha wanaharakati wa kisiasa, akiwemo Kizza Besigye wa Uganda, Maria Sarungi na Twaha Mwaipaya, kukamatwa yameibua hofu kubwa kuhusu usalama wa...
  10. L

    JamiiForums Tanzania Wataalamu wa kilimo wa Rwanda wapata maarifa mapya kutoka mradi wa mafunzo wa China

    Ndani ya chumba cha mafunzo katika mji mkuu wa Rwanda, Kigali, mjadala kuhusu chakula, kilimo na teknolojia unaendelea wakati washiriki wakisikiliza, kuuliza maswali, na kubadilishana uzoefu na wataalamu wa China. Kwa wataalamu wa Rwanda wanaohudhuria kozi hiyo ya Teknolojia ya Uchakataji na...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Mtutsi ni mtu ambae hapendi kuongozwa na Mbantu, Pamoja na kuwa wachache atafanya lolote apate uongozi au usawa kwenye uongozi sehemu yenye wabantu

    Uganda – Inaongozwa na serikali ya Yoweri Museveni. Mtoto wake, Muhoozi Kainerugaba, amewahi kutoa kauli za kusifia asili yake ya kitutsi na kuonyesha uungaji mkono kwa kundi la M23. Rwanda – Kwa mujibu wa makadirio yanayotajwa mara nyingi, Watutsi ni takribani asilimia 14, huku Wahutu wakiwa...
  12. Messier 31

    JamiiForums Tanzania Rwanda Yaandika Historia! Kagame Afanikiwa Kuileta Formula 1 Afrika!

    Rwanda imeandika historia baada ya kufikia makubaliano ya miaka 10 na waandaaji wa mashindano ya Formula 1 (F1) kuandaa African Grand Prix, ambayo inatarajiwa kuingia kwenye ratiba mwanzoni mwa mwaka 2030. Hii si habari ndogo. Formula 1 ni moja ya mashindano makubwa zaidi ya magari duniani...
  13. Yesha

    JamiiForums Tanzania Rwanda Set to Host Formula 1 Grand Prix in Early 2030s

    🏎️ HISTORY IN THE MAKING! Rwanda is set to host a Formula One Grand Prix in the early 2030s, President Paul Kagame has announced. The planned race circuit in Bugesera, near Kigali, could bring the world’s biggest motorsport spectacle back to Africa for the first time since 1993.
  14. W

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Rwanda Yaelekeza Macho Kenya; Yapanga Kituo Cha Mizigo Kupokea Bidhaa Kutoka Mombasa Kupitia SGR

    Rwanda imepanga kuwekeza katika kituo cha usafirishaji na uhifadhi wa mizigo katika eneo la Mai Mahiu Special Economic Zone, Naivasha, hatua inayolenga kurahisisha usafirishaji wa bidhaa kutoka Bandari ya Mombasa kwenda nchini humo kupitia reli ya Standard Gauge Railway (SGR). Waziri wa...
  15. I

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Rwanda 🇷🇼 Yaanza Kuagiza Mafuta Mombasa 🇰🇪 - Je, Tanzania 🇹🇿 Imepigwa Chini?

    Rwanda imeanza kutumia Mombasa kama njia mpya ya kuingiza mafuta baada ya metri tani 40,000 za petrol na diseli kuwasili katika Bandari ya Mombasa, ikiwa hii ndiyo shehena ya kwanza chini ya makubaliano ya Kenya na Rwanda yaliyotiwa saini Juni 29, 2026. Meli MT Sea Wolf ilitia nanga Kipevu Oil...
  16. A

    JamiiForums Tanzania Akina Vozinha wamedhalilishwa kwao na Rwanda, wamepigwa 2-1. Mpira wa Africa umebadilika sana

    Licha ya kushindwa kufuzu Kombe la Dunia, Cape Verde imeendelea kuonesha ushindani mkubwa. Katika mechi zake nne zilizopita ilifanikiwa kupata matokeo ya kuvutia dhidi ya timu kubwa kama: Spain 0-0 Cape Verde Cape Verde 2-2 Uruguay Saudi Arabia 0-0 Cape Verde Argentina 2-2 Cape Verde Timu hiyo...
  17. M

    JamiiForums Tanzania Tetesi:Pori la Kigosi limejaa ng'ombe za raia wa Rwanda wanaofanya uharibifu mkubwa wa mazingira. Kigogo mmoja anawakingia kifua.

    Kigogo huyo nae anasadikiwa wazazazi wake wana asili ya Rwanda. Alishakuwa na cheo kikubwa hapa bongo baadae akatoswa. Anawakingia raia wa Rwanda kurundika mifugo yao na kuharibu mazingira.
  18. H

    JamiiForums Tanzania Tanzania na Rwanda zazungumzia kuimarisha ushirikiano

    Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Balozi Dkt. Mahmoud Thabit Kombo (Mb.), amefanya mazungumzo na Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa wa Rwanda, Mhe. Olivier Nduhungirehe, pembezoni mwa Mkutano wa 81 wa Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa, jijini New York...
  19. 3

    JamiiForums Tanzania Miss Rwanda: Wanaume wote ni wanyama

    Aliyekuwa mshindi wa pili wa Miss Rwanda 2015, Miss Uwase Raissa Vanessa, ameingia kwenye mzozo mkali na watumiaji wa mitandao ya kijamii baada ya kuchapisha ujumbe kwenye Instagram akidai kuwa wanaume wote ni 'wanyama'. Katika mfululizo wa jumbe alizochapisha, mrembo huyo alionekana...
  20. Jannatul Firdaus

    JamiiForums Tanzania Nguo fupi zapigwa marufuku nnchini Rwanda

    Mamlaka nchini Rwanda zimetangaza marufuku ya uvaaji wa mavazi mafupi kupindukia na yasiyo na staha katika maeneo ya umma pamoja na hafla mbalimbali nchini humo. Hatua hiyo imechukuliwa hivi karibuni na serikali kwa lengo la kulinda, kudumisha, na kuheshimu misingi ya utamaduni na maadili ya...
Back
Top Bottom