Rwanda Forum

Murakaza neza ku rubuga rwa JamiiForums. Nezerwa n'amakuru n'ibiganiro bitandukanye mu rurimi rw'ikinyarwanda
Alisimulia akasema: Nilikuwa nimeoa, na mke wangu alikuwa mfupi wa kimo na mwenye mwili dhaifu ukinilinganisha na mimi… Mimi nilikuwa na urefu mkubwa na misuli mingi… Mwenyezi Mungu alinitunuku...
1 Reactions
1 Replies
242 Views
Hayo ni maneno ya General Maphwanya, mkuu wa jeshi la Afrika kusini. Aliesema vita vya DRC huenda vikapanuka na kuwa vya ukanda, aliona mbali. Je, atafanikiwa kweli? Taarifa zenyewe husema hii...
0 Reactions
2 Replies
236 Views
Kwa kichapo inachoendelea kupata Israel, ni wazi biashara na mataifa mbali mbali hazina priority. Inavoonekana, Israel haikutegemea itafumuliwa kwa kiasi tunachokiona. Watu wasio na makazi,miundo...
0 Reactions
1 Replies
137 Views
Hata kama uwezo mkubwa huna, harusi ni furaha ya moyo tuuuuuu
2 Reactions
5 Replies
213 Views
Kuna siku nliambiwa nimtaje rafiki yangu alaf atapigiwa simu nayye akinitaja me napewa 10000 nikamtaja aseee tena ni mtu nimekaa naye room moja kabisa na tunawasiliana kila siku alipoulizwa...
1 Reactions
3 Replies
142 Views
Breaking News Abarimu bagiye gusuzumwa abatazi Icyongereza bavanwe mu kazi.Minisitiri w’Intebe Dr Ngirente Edouard yatangaje ko Guverinoma y’u Rwanda irimo gutegura gahunda yo gusuzuma abarimu...
0 Reactions
3 Replies
191 Views
Siku ya leo, moto mkali umeshika mgahawa mmoja huko Goma. Uongozi wa jiji la Goma, uliomba msaada jeshi Polisi nchini Rwanda, kitengo cha zimamoto; MONUSCO, na yenyewe inasemekana ilileta gari...
1 Reactions
2 Replies
195 Views
Pichani, ni mwanamke raia wa Rwanda, aliekuwa akiishi nchini Uhalanzi. Miaka ya nyuma, alikuja Rwanda kugombea urais, kwa tiketi ya chama chake binafsi. Alipofika, alitembelea makumbusho ya...
0 Reactions
4 Replies
283 Views
Constant MUTAMBA(Pichani), alikuwa ameahidi kwamba atafanya kila analoliweza kuhakikisha Rwanda inakuwa mkoa wa 26 wa jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo. Badae, kupitia wizara yake ya sheria...
0 Reactions
7 Replies
327 Views
Watu wana ardhi zao toka enzi. Leo hii, walishazuiliwa kufanya chochote, baada ya kusema ni maeneo hatarishi, hivyo hayatakiwi kufanyiwa shughuli yoyote. Mpaka serikali iwalipe fidia, wakatafute...
0 Reactions
2 Replies
171 Views
Wale wanawake wanaojiona wao ni sawa na wanaume, njooni hapa mupewe darasa
1 Reactions
3 Replies
206 Views
Maisha ya wanyarwanda bado yanazidi kuwa kitendawili. Kwenye video, ni nguzo inayosafirisha umeme wa Kv30,000, iliyohalibiwa na wanaotafuta chuma chakavu kwa ajili ya kuuza.
1 Reactions
2 Replies
256 Views
Kama tunavyoambiwa Makombola ya Iran hayaui mtu huko Israel. Ripoti kutoka vyombo vya habari, zilidai wanajeshi 14 tuu wa SAMIDRC(Mission iliyofeli nchini Congo), ndo waliuliwa vitani na M23...
0 Reactions
2 Replies
179 Views
Hahahahahaha imagine ingekuwa ni Konyagi kweli wanaishusha kwa mtindo huo!!!
1 Reactions
2 Replies
171 Views
Wazee wa kazi huko DRC
1 Reactions
3 Replies
199 Views
Msemaji mkuu wa Serikali ya DRC, Patrick Muyaya, akisema kwamba, DRC ni nchi kubwa ya ukanda. Hii inatosha kuonyesha kwamba, Rwanda, Burundi na nchi nyingine jirani, haziwezi kuishi bila Congo...
0 Reactions
3 Replies
255 Views
Ujue Sasa hivi wanaume wanafanya mapenzi kupunguza hamu tu............. Kwanini nasema hivi?! Wanaume wa sasa hivi wanaonekana hawana nguvu za kiume kwa wadada wengi kitu ambacho sio kweli...
0 Reactions
1 Replies
227 Views
Chanzo cha yote pichani. Vitu kama hicyo,ongezea matango na karoti,vyote vinasokomezwa humo. Uchi ushakuwa kama dekio. Huo huo unatolewa kwa malipo. Mwenye kutoa chake,haijalishi anatumia dakika...
0 Reactions
1 Replies
151 Views
Back
Top Bottom