Dr. Rusa, mchambuzi wa kisiasa nchini Rwanda, alipoulizwa maoni yake kuhusu maeneo ya Uganda na DRC kuwa maeneo ya Rwanda, miaka ya 1880 kabla ya kukatwa kwa mipaka ya sasa, mwaka 1885; alisema...
Mwanamke halisi hujulikana katika nyakati za umasikini wa mume wake, ama akiwa hajazipata pesa au akiwa kafilisika au kupoteza madaraka. Hapa utaijua sura halisi ya mwanamke wako.
Sura na tabia...
Kama kuna kitu kigumu maishani, ni kumiliki nyumba nchini Rwanda. Kuanzia ardhi, mpaka vibali, ni mtihani. Jambo hili husababisha walio wengi wajenge tu kutokana na uwezo wao. Mbaya zaidi, kila...
Pale unapoamka na kukuta wajomba wamechukua wanachokitaka. Hasa kama una Flat TV, ujue hiyo si mali yako, watunzie wenyewe siku wakihitaji wataijia.
Uzuri ukitoa taarifa mapema na ukawa na...
Mama yangu aliwahi kuniambia kuwa kwa mwanamke aliyeolewa, adui yake wa kwanza wa maisha na uhai wa ndoa yake ni mdomo wake meenyewe. Usinyanyue mdomo wako mwanaume anapoongea haijalishi...
Ministry of Health have been conducting outreach programs on mental health issues, but don’t you think it’s time to move beyond the generic playbook and focus on context-specific solutions...
Serikali ifikie hatua iwahurumie raia wake.
Pichani, ni watoto wanne wa mama mmoja aliekuwa akilea mwenyewe. Baada ya zoezi la kamati ya jiji la bomoa bomoa kuanza, lilimuathiri. mama huyu...
Wanawake jamani! Sijui laana! Maana hata Shetani wanaemsingizia, nina uhakika atakuwa anawacheka tu mkitaja jina lake.
Kamama hapo pichani, tayari kanaenda kutumikia kifungo cha maisha.
Alikuwa...
Pichani, ni mtambo wa kuvuta na kuchakata Gas iliyopo ziwani(Kivu), kati ya DRC na Rwanda. Gas hiyo ijulikanayo kama Methane, inajulikana kuwa ni hatari sana ikilipuka. Ziwa Kivu, lipo karibu na...
Baada ya Rwanda Investigation Bureau kuwasaidia watu wapatao 10, kurudi nchini wakitokea Myanmar,walikopelekwa na matapeli kwa ahadi ya kazi, uongozi wa RIB umefanya kikao na vyombo vya...
Kwa mjibu wa ujumbe huu, waalimu wanalazimishwa kufungua account kwenye SACCOS ya Mwalimu. Wao, hutumia Banks nyingine za kibiashara, kutokana na faida wanazozipata, ikiwemo mikopo ya kuweza...
1. Mi nakumbuka kipindi shule imelima mahindi, baada ya kuiva, tukawa tunaingia katikati, tunaiba tunaenda kuchoma. Siku moja mida kama ya saa tano usiku, walinzi wakawakamata jama wa4...
Ikiwa Burundi inaelekea kwenye uchaguzi mkuu, siku zisizofikia hata wiki, ndo orodha ya wagombea, chama chao na makabila yanawekwa wazi. Ikumbukwe, vyama vya upinzani, vilikataliwa kwa kinachoitwa...
Zimebaki siku chache sana kuelekea uchaguzi mkuu wa wabunge na rais nchini Burundi, ambapo ni tarehe 5 juni 2025.
Mpaka sasa, kila kona ya nchi, kutokana na hali ya usalama, na hofu kutokana na...
Asema mtoto wake, mwenye umri wa miaka mitatu. mpaka sasa ana tatizo la viungo vya mwili, ikiwemo mifupa kutokomaa.
Toka anaanza kula, amekuwa akitumia mpira. Kwa maelezo yake, ni kwamba...
Mu gihugu gituranyi cya Tanzania, Banki imwe yitwa CRDB iravugwaho kugaragaza amakuru ya konti y’umukuru wa Polisi, IGP Wambura.
Ese ni banki koko, ni abayinjiriye, iwacu byagenda bite!?
Mwamba akabiliwa na shitaka la kumnyanyasa mkewe kijinsia, kwa kilichotasiliwa kama mumpiga na kumuumiza mkewe kisa kunyimwa haki yake ya ndoa.
Baada ya kukaa ndani kwa muda wa wiki mbili sasa...
Bado tu mamia na mamia ya malori yanaendelea kusomba vitu kutoka Goma.
Inaonekana SADC,hasa Afrika kusini walijiandaa vya kutosha,bahati mbaya ndo hivo, safari ya fedheha ndo kama hii.
Shelia za...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.