Wakongo wanasema NJO VILE (Ndio vile)

Wakongo wanasema NJO VILE (Ndio vile)

Of course imeagizwa kujilinda, tena kwa wivu mkubwa. Taifa letu lililindwa kwa wivu mkubwa okt 29 kutoka kwa majambazi yaliyotumwa na chadema na katoliki yao kuharibu hii nchi. Pole na pumziko la amani liwafikie waliouawa kwa bahati mbaya. Damu zao zitawadhuru (na zimeshaanza) vizuri wale washenzi waliowahadaa na Sasa, being hypocrites as they are, wanajifanya eti kuwatupia lawama wale walengwa wao waliopanga kuwatoa ile okt 29. Mbaya zaidi wasivyo na haya, eti inajifanya kuadhimisha mwaka kwa kufanya ibada maalum..... kimsingi haikuwa ibada Bali ni kumbukumbu yao ya kishetani ya kushindwa kwa jaribio lao la mapinduzi okt 29.

Pongezi nyingi ziwafikie wazalendo wa hili taifa waliopambana kuhakikisha linabaki salama. Hakika Mungu atawabariki sana.
Pole na hongera kwa kuuwa kwa mbwembwe.

Nakuuliza. Yale mankontena ya silaha yaliyoingizwa bandarini yaliingizwa na Chadema ???

Wale askari walioingizwa kutoka Uganda na Zanzibar waliingizwa na Chadema ????

Ama wewe ni mhusika wa mauaji moja kwa moja au ndiye uliyeamrisha kupiga risasi.

Mlijiandaa kuuwa na bado mnaendelea kuuwa hata baada ya uchaguzi.

Mlaaniwe, mlaaniwe tena mlaaniwe.
 
Hebu tupia picha au video ya hayo makontena ya silaha uliyoyaona wewe. Wakati inafanya hivyo naomba ,saada wa majibu ya maswali haya machache;
1.Tanzania Haina silaha?!!! Hazikuwepo huko nyuma kabla ya uharibifu wenu wa okt 29?!!!
2. Zilikuwa zinafikaje?!!! Unajua ratiba ya uagizaji wa silaha zinazofanywa na majeshi yetu?!!!
3. Kwa uzoefu wako, ni mara ya kwanza silaha kufika hapo bandarini?!!! 4. Ulitaka zisiwepo hizo silaha Ili iwe rahisi kwenu kuua na kujeruhi askari, kuharibu miundombinu, kuwadhuru wasiokuwa wanachama wa chadema na kupata urahisi wa kupora na kuharibu Mali za watu?!!!

Usisahau na video ya askari wa Uganda ee
 
Ni wewe mkuu au account yako inatumika na mtu mwingine
Ni mimi!kabisa!
Kila kitu under control mkuu!!

Unayoyaona ndio yalivyopangwa kuwa!!unafikiri Kuna bahati mbaya!!?

Walioumizwa na walioponea chupu chupu ni sehem ya mpango wenyewe!!

Lazima iwe hivyo kupata sababu Fulani fulani!!
 
Ipo sub ya kiaina na Ndeja ndiye kocha.

Pia ipo timu ya kulobby na ndo twataarifiwa nchi hii au nchi ile zishaingia dili za loans.

Hizo loans zaelekezwa 2030 and beyond.

Pia nasikia mzee kapunguza joggin naona msukumo huko kifuani umekuwa mkubwa kidogo.

Lakini njo vile tena.

Mwaga vitu pale Tlg tubarizi.
 
Uzu
Hebu tupia picha au video ya hayo makontena ya silaha uliyoyaona wewe. Wakati inafanya hivyo naomba ,saada wa majibu ya maswali haya machache;
1.Tanzania Haina silaha?!!! Hazikuwepo huko nyuma kabla ya uharibifu wenu wa okt 29?!!!
2. Zilikuwa zinafikaje?!!! Unajua ratiba ya uagizaji wa silaha zinazofanywa na majeshi yetu?!!!
3. Kwa uzoefu wako, ni mara ya kwanza silaha kufika hapo bandarini?!!! 4. Ulitaka zisiwepo hizo silaha Ili iwe rahisi kwenu kuua na kujeruhi askari, kuharibu miundombinu, kuwadhuru wasiokuwa wanachama wa chadema na kupata urahisi wa kupora na kuharibu Mali za watu?!!!

Usisahau na video ya askari wa Uganda ee
Uzuri unajua unachotetea ni tumbo mtawala akuone ama unalinda ugali wa hako ka cheo kwa Kodi zetu.

Lakini akili yako inagoma unachokiandika. Chadema hata wangemiliki manati, tu achillia mbali fimbo, mungewafuta asubuhi, sasa ndiyo iwe silaha !!!!!!!

Viongozi wote mliwakamata hadi 29/10/2025 sasa hayo maandamano yaliingozwa na nani.

Ona aibu

Pili, wana CCM tunachukizwa na mauaji ya kijinga na chuki
 
Watakwambia hayo ndo mambo ya siri kali au serikali tunavyopenda kuita, Kila kitu kinafanywa kwa siri na kuratibiwa kwa siri kali
 
Uzu

Uzuri unajua unachotetea ni tumbo mtawala akuone ama unalinda ugali wa hako ka cheo kwa Kodi zetu.

Lakini akili yako inagoma unachokiandika. Chadema hata wangemiliki manati, tu achillia mbali fimbo, mungewafuta asubuhi, sasa ndiyo iwe silaha !!!!!!!

Viongozi wote mliwakamata hadi 29/10/2025 sasa hayo maandamano yaliingozwa na nani.

Ona aibu

Pili, wana CCM tunachukizwa na mauaji ya kijinga na chuki
Na vipi kuhusu picha na video mkuu?!!!

Naona umeandika sana kuhusu Mimi kuwa na cheo, sijui ccm au serikalini, hivi una uhakika na ulichokiandika?!!! Kama hujui chochote kuhusu Mimi na Bado ukanizungumzia kama una uhakika, vipi kuhusu hayo mengine?!!!! Karibu liwale ndg'angu utanikuta, halafu ukione hiko cheo changu.
 
Tatizo team B haina plan na strategies za kueleweka.
Pili, haina wachezaji wazuri wenye vipaji na akili wa kujua kusogeza kete zao.
CHADEMA hii iliyokuwa na na Mbunge mmoja 1995 hadi leo, inaweza goma kushiriki uchaguzi na wananchi wakasusia then unasema hakina wachezaji wazuri? Brother you must be kidding.
Nne, hawana rasilimali Fedha za kuweza kuratibu na kununua wachezaji wa kueleweka.
Kwenye utawala mapenzi sio kitu. Huwezi tegemea kushika dola au madaraka kwa mapenzi sijui kupendwa au uzalendo. Hilo Sahar. Labda pawe na sheria za usawa.
Sijui unajitoa ufahamu au mimi sijakuelewa, dunia hii upinzani kote toka kale unaishi kwa kutegemea kuungwa mkono na wananchi. Na umeshika dola kwa kuungwa mkono na wananchi ambao mwisho wa siku waliweka pressure kubwa kiasi cha Dola kuona haina namna zaidi ya kupisha au kuelewana na wapinzani.

TANU (1954–1961): Ilipata uhuru bila rasilimali zza Serikali ya mkoloni bali ikitegemea nguvu/hamasa ya wananchi.

UKAWA (2015): Upinzani ulipata mafanikio kwa kuwa na rasilimali chache kuliko chama tawala.

Zambia : Vyama vya upinzani (MMD na UPND) viliwashinda waliokuwa madarakani licha ya changamoto za mfumo na rasilimali, kupitia uhamasishaji wa vijana, kulinda kura, na ajenda ya mabadiliko.

Kenya 2002 Muungano wa NARC uliishinda KANU madarakani baada ya miaka 39 kwa kuunganisha viongozi wenye ushawishi na kutumia hamasa ya wananchi kutaka mabadiliko.

Senegal : Faye alishinda urais dhidi ya mgombea wa chama tawala kwa nguvu ya umma bila utajiri wa rasilimali.

India : Gandhi aliushinda ukoloni kwa nguvu kubwa ya umma na maadili; chama cha AAP kilishinda chaguzi kwa michango midogo ya wananchi na ajenda ya kupambana na rushwa.

Chama chochote uhai wake ni kuungwa mkono na umma ulio tayari kujitolea.

Mwaka 2010 niliushuhudia uchaguzi wa Ubunge shinyanga mjini, Steven Masele akishindana na bwana mmoja alikuwa akiitwa Shilembi. Ule Uchaguzi, Pesa za Masele, Nguvu ya dola na Nguvu ya CCM, walisumbuliwa na yule jamaa muuza kuku sokoni. Yule jamaa kila mkutano ukiisha wananchi walikuwa wakimchangia pesa za mkutano unaofuata. CCM kutangaza yale matokeo ilikuwa mbinde, jengo la halmshauri lilichomowa moto baada ya kufanyika uhuni wa kumtangaza mgombea wa CHADEMA kashinda, baadae wakatangaza wa CCM kashinda.

Kama unadhani chama cha siasa ni kuwa na majengo na shopping malls, basi hujui maana ya vyama vya siasa.
 
Ipo sub ya kiaina na Ndeja ndiye kocha.

Pia ipo timu ya kulobby na ndo twataarifiwa nchi hii au nchi ile zishaingia dili za loans.

Hizo loans zaelekezwa 2030 and beyond.

Pia nasikia mzee kapunguza joggin naona msukumo huko kifuani umekuwa mkubwa kidogo.

Lakini njo vile tena.

Mwaga vitu pale Tlg tubarizi.
Yaani ndeja yupo pale kuingiza mtu mwingine kwenye kiti fulani!!?hiyo sishangai coz hata yule nyumbi bombi nae nahisi alitumika kusaidia DOA la October 29 ili ushahidi upatikane ukusanywe wa kutosha then wapeleke panapotakiwa kupelekwa!!!?

Kwamba nchi ishauzwa kwa mikopo itakua active kuanzia 2030!!?oh my God!!kwahiyo itabidi waingize mtu atakae fanikisha deals kuanzia 2030 ambalo lipo mezani tayari!!?

Ina maana tayari mapafu ya huyo Mzee na kifua chake kimeanza ku nock!!?ni mzee yupi!!?asiwe mama coz bado namtegemea are press button Fulani ili angalau na Mimi asali isinipite!!!asali ni tamu!!!!!au ni yule wa pwani huwezi jua kakasirika au kanuna coz hucheka muda wote kana kwamba ni shwari tu!!?

Hebu tiririka aiseh!!
 
Of course imeagizwa kujilinda, tena kwa wivu mkubwa. Taifa letu lililindwa kwa wivu mkubwa okt 29 kutoka kwa majambazi yaliyotumwa na chadema na katoliki yao kuharibu hii nchi. Pole na pumziko la amani liwafikie waliouawa kwa bahati mbaya. Damu zao zitawadhuru (na zimeshaanza) vizuri wale washenzi waliowahadaa na Sasa, being hypocrites as they are, wanajifanya eti kuwatupia lawama wale walengwa wao waliopanga kuwatoa ile okt 29. Mbaya zaidi wasivyo na haya, eti inajifanya kuadhimisha mwaka kwa kufanya ibada maalum..... kimsingi haikuwa ibada Bali ni kumbukumbu yao ya kishetani ya kushindwa kwa jaribio lao la mapinduzi okt 29.

Pongezi nyingi ziwafikie wazalendo wa hili taifa waliopambana kuhakikisha linabaki salama. Hakika Mungu atawabariki sana.
Kumbe ni mapinduzi yalikua!!?aiseh!!sio kwamba mlitegewa mtego TU mnase kwa kuua wasio na hatia kama kina Angel!!?
Sio kwamba mlitegwa mchafuke Hali iwe hivi ya kisakwa na ICC!!?
Unajua watz hatuna asili ya mambo hayo!!!sasa ilikuaje tena!!?
 
Basi mmejitega wenyewe, nyumbuz! Hakamatwi mtu Hadi Dunia itaisha.

Mbona huwazungumzii watu mliowaharibia maisha kwa kuwajeruhi, kuwaua, kuwaibia, kuwapora na kuwavunjia miundombinu yao?!! Hao walikuwa na kosa gani?!!!
Anyway, methali ya "vita Haina macho" ina maana kubwa hapa.
 
Back
Top Bottom